Wednesday 26 October 2016

Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

Naisubir kwa hamu naandaa miwani ya kuisomea
--------------------------------------------
On Wed, 10/26/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 26, 2016, 10:20 PM

Muhingo
Nimefanya utafiti.  Nitakushirikisha pa kupata
report yangu
On Oct 26, 2016 9:56 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Pamoja na
hayo yote lakini ni muhimu pia kuweka wazi kuwa mila za
Buhaya hakuna inayoona mapacha kama laana au balaa. Na kwa
kweli nimetembesa karibu nchi zote za Africa Mashariki
sikumbuki kusikia hilo. Mapacha mara nyingi wametumika
kuondoa migogoro katika familia kama ilikuwepo..

Mnajua wadau kuna notion ya kudhaalilisha mila zetu.
Tunaapokea mila za hovyo kutoka nje na haziguswi kwa
visingizio mbalimbali. Inapofika zetu tunazidhalilisha. Ni
muhimu jambo hili kuwa wazi katika mjadala huu-HAKUNA MILA
YA BUHAYA INAYOWAONA MAPACHA KAMA BALAA WALA MIKOSI.
Anayejua tofauti afafanue tujue.

Muhingo

------------------------------ --------------

On Wed, 10/26/16, 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Wednesday, October 26, 2016, 4:00 PM

 Nipo mkoa wa Mtwara. Nimeshuhudia wanawake

 wakikimbiwa na waume sababu ya kuzaa

 mapacha. 

 Darasa zito linatakiwa katika jamii kuondokana na

 mwono huu. Naunga mkono Bwana Dominick kuwa Mapacha ni

 baraka ya pekee kwa familia. Mbona si hivyo kwa wote.

 Mapacha ni neema. Na wakilelewa vizuri wanaleta
mapinduri

 makubwa katika familia. Nimeshughudia

 hayo. 

   From: 'Dominick

 Rukokelwa' via Wanabidii

 <wanabidii@googlegroups.com>

  To:

 "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>;

 "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>

  Sent: Wednesday,

 October 26, 2016 1:00 AM

  Subject: Re:

 [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

 Hakika

 watoto mapacha hawana ubaya wowote na hawana uhusiano
wowote

 na mabalaa au majanga. MUNGU anapokupa watoto mapacha
anajua

 ndani yako kuna uwezo mkubwa wa kuwatunza. Ukiona
unataabika

 kuwatunza ujue kuna mahali umezembea ila ndani yako upo

 uwezo usiotumika(dormant power). Mapacha ni baraka ndani
ya

 baraka. Ukiona baraka unapata baraka. Ukiona laana na
mikosi

 unapata laana na mikosi. Hata mtoto mmoja ukitaka awe
mkosi

 anakuwa. Kwa maana MUNGU aliviumba vitu vyote ili
vipate

 kuwako na nguvu za uzazi zilizomo ulimwenguni ni za
kuleta

 siha wala hakuna ndani yake sumu yoyote ya uharibifu.

 Senaili

 from Yahoo Mail on Android

    On

 Tue, Oct 25, 2016 at 12:58, 'ELISA MUHINGO' via

 Wanabidii<wanabidii@
googlegroups.com>

 wrote:   Kamala wacha kabisa

 kujidanganya na kudanganya watu.

 Mimi

 nilizaliwa saa nane usiku wa kuamkia 5 September 1952.

 Nimezaliwa Bukoba na kukulia Bukoba mpaka shule
zilipoanza

 kunitoa. katika familia yetu kumezaliwa mapacha.. Haya

 unayoyasema kiasi cha kuomba msaada wa kuzuia mapacha

 kunyanyapaliwa ni jambo jipya kulisikia. Ni Buhaya gani
hiyo

 ambayo unaileta hapa? Una umri gani ambao huenda hayo

 yalikuwepo kabla yangu. Nimezaliwa kiziba na kutembea
maeneo

 mengi ya Buhaya. Nina maana na Karagwe ambayo siku hizo

 ilikuwa sehemu ya wilaya ya Bukoba.

 Unahitaji kufanya kazi kudhibitisha maneno yako

 au omba mssamaha haraka

 ------------------------------ --------------

 On Tue, 10/25/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com>

 wrote:

  Subject:

 [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

 To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Tuesday, October 25, 2016, 5:41 AM

  ---------- Forwarded

  message ----------

  From:

 "J L Kamala" <jlkamala@gmail.com>

 Date: Oct 25, 2016 05:38

  Subject: Mapacha n

 Laana, mikosi?

  To: "Wanazuoni"

 <Wanazuoni@yahoogroups.com>

  Cc:

  Wakuu

 nimekuwa nikizitafakali jamii Za mkoa wa

 kagera na haswa wahaya.  Jamii hii inachukulia
kuzaliwa

 kwa

  mapacha ktk familia Kama laana fulani

 au mikosi tena mibaya

  inayoweza kuleta

 balaa isipotambikiwa vyema.

  Moja wapo ya

 mabalaa ni Yale majanga ya asili

  kama vile

 ukame, vimbunga, kukosa mvua na hata tetemeko la

  ardhi

  Wazee wa mkoa huu

 wanasisitiza kuwepo Kwa

  umakini wa hali ya

 juu ili mapacha wasilete Tabu kama vile

 kuugua ugonjwa WA ngozi ujulikanao kama viligo yaan mtu

  anakuwa kama albino fulani

 Hii kwa vyovyte inapelekea kunyanyapaliwa kwa

  mapacha.  Je kuna maoni yapi au uhakika Juu

 ya hili?  Nini

  kifanyike kusaidia watu

 hawa ambao yawezekana wanauwawa au

 kubaguliwa kimyakimya?

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata

 Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences

 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

  continued membership signifies that you agree

 to this

  disclaimer and pledge to abide by

 our Rules and Guidelines.

 ---

  You received this

 message because you are subscribed to the

 Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop

 receiving emails

  from it, send an email to

 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

  For more options, visit

 https://groups.google.com/d/
optout.

 --

 Send

 Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata

 Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to

 this Forum bears the sole responsibility for any legal

 consequences of his or her postings, and hence
statements

 and facts must be presented responsibly. Your continued

 membership signifies that you agree to this disclaimer
and

 pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message

 because you are subscribed to the Google Groups

 "Wanabidii" group.

 To unsubscribe

 from this group and stop receiving emails from it, send
an

 email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

 For more options, visit

 https://groups.google.com/d/
optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/

googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment