Sunday, 30 October 2016

[wanabidii] TIGO HUU NI UZEMBE AU WIZI?

Nilituma kimakosa fedha kutoka TIGO kwenda M PESA. Mhudumu wa TIGO akaniambia fedha zingelirudishwa ndani ya Masaa 72. Ajabu tangu tar 19 octoba mpaka LEO, Masaa 72 kwenye SAA za TIGO, hayajafika. Kinachoudhi ni kuwa nimeuliza na kuuliza bila msaada wowote.
Nimeamua hata kwenda Voda wamenisaidia na kukuta fedha haikuingia kwenye namba niliyokosea kuitumia! Lakini Tigo wamekomaa eti hela ilienda Voda! Sasa maana yake hamna mpango wa kurudisha hela yangu? Maana Nina uhakika haikwenda huko ilikokosea njia! 
Ama hata vitu kidogo kama hivi viwe vinamalizikia mahakamani? Tigo mjirekebishe haraka.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment