Najua huwezi kuchanganya agenda.On 7 Oct 2016 10:19, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Bifabusha: Mimi ni mshirika mkubwa wa UKAWA kwa sababu nyingi moja kubwa ikiwa ni hii: katiba inayoongelewa ni ya watanzania nami ni mmoja wao.
> Siwezi kuwasakama unaowataja kwa sababu nilipokuwa nafundishwa mijadala nilifundishwa maadili ya kutochanganya agenda
> --------------------------------------------
> On Fri, 10/7/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
> To: "'ELISA" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, October 7, 2016, 8:45 AM
>
> Muhingo ww si mshirika wa UKAWA
> huwezi kuongelea UKAWA. Ulidhani lengo lilikuwa Katiba mpya
> tu? Kwanini usimsakame aliyezika mchakato wa Katiba Mpya
> badala ya kusakama kikundi kilichotaka katiba mpya? Nani wa
> kulaumu?On 7 Oct 2016 00:34, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> >
> > UKAWA ipi inaongelewa na Heri? Mbona iikufa zamani? Ni
> lini umesikia habari za Katiba Mpya ya wananchi ikiongelewa?
> Hata wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana haikuwa
> agenda. Toka tumemaliza uchaguzi haiongelewi. Nani anasema
> UKAWA inaishi? Kama ilikufa zamani nani anashughulika nayo
> kuiua????
> > --------------------------------------------
> > On Thu, 10/6/16, 'herirashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
> kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa
> kuimeza CUF
> > To: wanabidii@googlegroups.com
>
> > Date: Thursday, October 6, 2016, 7:59 PM
> >
> > Nlimsikiliza Mtatiro alipokuwa akihojiwa Cloud fm,
> > nlimwelewa kabisa. Tusipindishe maneno kuna kitu nyuma
> ya
> > pazia. Prof Lipumba na taasisi ya usajili wa vyama vya
> siasa
> > kuna juhudi za majusudi kabisa kuua UKAWA. Kama
> hukupata
> > fursa ya kumsikiliza Mtatiro tafuta mtapata kwa undani
>
> > zaidi.
> >
> >
> >
> >
> > Sent from
> > Samsung Mobile
> >
> > -------- Original message --------
> > From: 'Lesian' via Wanabidii
> > <wanabidii@googlegroups.com>
>
> > Date:
> > 04/10/2016 21:08 (GMT+03:00)
> > To:
> > wanabidii@googlegroups.com
>
> > Subject: Re:
> > [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof.
> > Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
> >
> > Bro muganda
> > Wanaopika hizi news ni wale wale wasioitakia
> > mema CDM but kwa kweli chama kinasonga mbele kwa kasi
> ya
> > ajabu, vita ni ya yakutaka kuiua CUF na
> kuisambarartisha
> > UKAWA
> > Prof atengewe pesa a nn wkt
> > ashakwishaa
> >
> > Emmanuel
> > Muganda <emuganda@gmail.com>
> wrote:
> >
> > Sounds like
> > habari hii ni ya kupikwa. Who is
> > Tazama?em
> > 2016-10-04 13:22 GMT-04:00
> > 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
> > CHAMA
> > cha demokrasia na maendeleo (chadema), kimeelezwa
> kutenga
> > mamilioni ya shilling kwa lengo mahususi la kummaliza
> > kisiasa mwenyekiti
> > wa Cuf, Profesa Ibrahim Lipumba.
> >
> >
> >
> > Habari za uhakika kutoka vyanzo kadhaa vya taarifa hivi
>
> > zinabainisha
> > wazi chadema kutenga mamilioni hayo kwa lengo la
> > kuhahikisha, pamoja na
> > mambo mengine Profesa halejei katika uongozi wa juu wa
>
> > Cuf.
> >
> >
> >
> > Kwa mujibu wa taarifa hizo, hofu kuu ya chadema kwa
> profesa
> > Lipumba
> > iwapo ikatokea akarejea kwenye nafasi yake ya
> mwenyekiti, ni
> > kuvurugika
> > kwa mpango wao kabambe wa wa kuimeza CUF, ambao ulianza
>
> > kuratibiwa kwa
> > mafanikio na aliyekuwa mgombea urais wao katika
> uchaguzi wa
> > mwaka wa
> > jana, Edward Lowassa.
> >
> >
> >
> > Mpango huo mpya wa kuimeza Cuf, chadema yenye nguvu ya
>
> > kisiasa kwa
> > upande wa Tanzania Bara na ilikuwa na mpango wa
> kuunganisha
> > nguvu za
> > kisiasa za chama hicho kwa upande wa Zanzibar ili
> > ikiwezekana, kufikia
> > mwaka 2020 vyama hivyo viwe vimeungana na kuwa chama
> > kimoja.
> >
> >
> >
> > Mpango huo mpya ulilenga kuunganisha umaarufu wa
> wanasiasa
> > kisiasa wa
> > wanasiasa wawili pande mbili za muungano, Edward
> Lowassa na
> > Maalim Seif
> > Sharif Hamad, ili kukiwezesha chadema kukamata dola
> katika
> > pande zote
> > mbili za muungano 2020.
> >
> >
> >
> > Hata hivyo hatua ya sasa kurejea profesa Lipumba kutaka
>
> > kurejea kwenye
> > uongozi wa CUF na kwa sababu ya kulindwa nakatiba ya
> chama
> > hicho, huku
> > pia msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis
> Mutungi,
> > akionekana
> > kubariki hatua hiyo, imezidi kuuchanganya uongozi wa
> juu wa
> > chadema,
> > hali iliyowalazimu kutenga mamilioni ya shilling katika
>
> > kuhakikisha kuwa
> > suala hilo haliwezekani.
> >
> >
> >
> > Mbali na kutenga fedha hizo zinazodaiwa kutoka kwa wale
>
> > wanaoitwa
> > marafiki wa Lowassa ili kummaliza kisiasa profesa
> Lipumba,
> > uongozi wa
> > chadema unadaiwa kujipanga kutum
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment