Friday 7 October 2016

Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF

Bifabusha: Mimi ni mshirika mkubwa wa UKAWA kwa sababu nyingi moja kubwa ikiwa ni hii: katiba inayoongelewa ni ya watanzania nami ni mmoja wao.
Siwezi kuwasakama unaowataja kwa sababu nilipokuwa nafundishwa mijadala nilifundishwa maadili ya kutochanganya agenda
--------------------------------------------
On Fri, 10/7/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
To: "'ELISA" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 7, 2016, 8:45 AM

Muhingo ww si mshirika wa UKAWA
huwezi kuongelea UKAWA. Ulidhani lengo lilikuwa Katiba mpya
tu? Kwanini usimsakame aliyezika mchakato wa Katiba Mpya
badala ya kusakama kikundi kilichotaka katiba mpya? Nani wa
kulaumu?On 7 Oct 2016 00:34, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> UKAWA ipi inaongelewa na Heri? Mbona iikufa zamani? Ni
lini umesikia habari za Katiba Mpya ya wananchi ikiongelewa?
Hata wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana haikuwa
agenda. Toka tumemaliza uchaguzi haiongelewi. Nani anasema
UKAWA inaishi? Kama ilikufa zamani nani anashughulika nayo
kuiua????
> --------------------------------------------
> On Thu, 10/6/16, 'herirashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa
kuimeza CUF
> To: wanabidii@googlegroups.com

> Date: Thursday, October 6, 2016, 7:59 PM
>
> Nlimsikiliza Mtatiro alipokuwa akihojiwa Cloud fm,
> nlimwelewa kabisa. Tusipindishe maneno kuna kitu nyuma
ya
> pazia. Prof Lipumba na taasisi ya usajili wa vyama vya
siasa
> kuna juhudi za majusudi kabisa kuua UKAWA. Kama
hukupata
> fursa ya kumsikiliza Mtatiro tafuta mtapata kwa undani

> zaidi.
>
>
>
>
> Sent from
> Samsung Mobile
>
> -------- Original message --------
> From: 'Lesian' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>

> Date:
> 04/10/2016  21:08  (GMT+03:00)
> To:
> wanabidii@googlegroups.com

> Subject: Re:
> [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof.
> Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
>
> Bro muganda
> Wanaopika hizi news ni wale wale wasioitakia
> mema CDM but kwa kweli chama kinasonga mbele kwa kasi
ya
> ajabu, vita ni ya yakutaka kuiua CUF na
kuisambarartisha
> UKAWA
> Prof atengewe pesa a nn wkt
> ashakwishaa
>
> Emmanuel
> Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
>
> Sounds like
> habari hii ni ya kupikwa. Who is
> Tazama?em
> 2016-10-04 13:22 GMT-04:00
> 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

> CHAMA
> cha demokrasia na maendeleo (chadema), kimeelezwa
kutenga
> mamilioni ya shilling kwa lengo mahususi la kummaliza
> kisiasa mwenyekiti
>   wa Cuf, Profesa Ibrahim Lipumba.
>
>
>
> Habari za uhakika kutoka vyanzo kadhaa vya taarifa hivi

> zinabainisha
> wazi chadema kutenga mamilioni hayo kwa lengo la
> kuhahikisha, pamoja na
> mambo mengine Profesa halejei katika uongozi wa juu wa

> Cuf.
>
>
>
> Kwa mujibu wa taarifa hizo, hofu kuu ya chadema kwa
profesa
> Lipumba
> iwapo ikatokea akarejea kwenye nafasi yake ya
mwenyekiti, ni
> kuvurugika
> kwa mpango wao kabambe wa wa kuimeza CUF, ambao ulianza

> kuratibiwa kwa
> mafanikio na aliyekuwa mgombea urais wao katika
uchaguzi wa
> mwaka wa
> jana, Edward Lowassa.
>
>
>
> Mpango huo mpya wa kuimeza Cuf, chadema yenye nguvu ya

> kisiasa kwa
> upande wa Tanzania Bara na ilikuwa na mpango wa
kuunganisha
> nguvu za
> kisiasa za chama hicho kwa upande wa Zanzibar ili
> ikiwezekana, kufikia
> mwaka 2020 vyama hivyo viwe vimeungana na kuwa chama
> kimoja.
>
>
>
> Mpango huo mpya ulilenga kuunganisha umaarufu wa
wanasiasa
> kisiasa wa
> wanasiasa wawili pande mbili za muungano, Edward
Lowassa na
> Maalim Seif
> Sharif Hamad, ili kukiwezesha chadema kukamata dola 
katika
> pande zote
> mbili za muungano 2020.
>
>
>
> Hata hivyo hatua ya sasa kurejea profesa Lipumba kutaka

> kurejea kwenye
> uongozi wa CUF na kwa sababu ya kulindwa nakatiba ya
chama
> hicho, huku
> pia msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis
Mutungi,
> akionekana
> kubariki hatua hiyo, imezidi kuuchanganya uongozi wa
juu wa
> chadema,
> hali iliyowalazimu kutenga mamilioni ya shilling katika

> kuhakikisha kuwa
>   suala hilo haliwezekani.
>
>
>
> Mbali na kutenga fedha hizo zinazodaiwa kutoka kwa wale

> wanaoitwa
> marafiki wa Lowassa ili kummaliza kisiasa profesa
Lipumba,
> uongozi wa
> chadema unadaiwa kujipanga kutumia kila aina ya silaha,

> ikiwemo vyombo
> vya habari na baadhi ya wasomi nchi kumdhalilisha
Profesa
> Lipumba ili
> aonekana hafai machoni mwa jamii ya kitanzania.
>
>
>
> Hata hivyo, pamoja na mikakati hiyo ya chadema
kummaliza
> kisiasa Profesa
>   Lipumba, kambi ya mwanasiasa huyo, ambayo tayari
inakalia
> ofisi ya kuu
> ya Buguruni, Dar es Salam, imeapa kupambana hadi
mwisho,
> huku ikiweka
> bayana "daima haki itashinda".
>
>
>
> Kwa mujibu wa kambi ya Profesa Lipumba mgogoro wa sasa
ni
> baina ya kundi
>   la waasi nan a wavunjaji wa katiba wakiongozwa na
katibu
> mkuu Maalim
> Seif Sharif Hamadi na kundi la watetezi, walinzi na
walinzi
> wa katiba ya
>   chama hicho wakiongozwa na Profesa Lipumba.
>
>
>
> Kutokana na hali hiyo kundi la Profesa Lipumba linasema
wazi
> kwamba hata
>   kama uongozi wa chadema utaamua kukusanya mamilioni
ya
> shilingi kwa
> ajili kwa ajili ya kufadhili kundi la la waasi
linaloongozwa
> na Maarif
> Seif Sharifu Hamadi, ni wazi fedha hizo zitateketea
bure kwa
> maelezo
> kuwa hakuna mahala popote duniani ambako dhulma
> ikashinda.
>
>
>
> Afisa mmoja wa Cuf, aliyeko kambi ya Profesa Lipumba,
Abdul
> Kambaya,
> amekiri kufahamu mpango huo wa chadema kutenga
mamilioni ya
> shilingi kwa
>   ajili ya kummaliza mwenyekiti wao, ikiwa ni pamoja

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment