Friday, 7 October 2016

Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF

Ha,ha,ha! Nihoji tu lakini usininukulu. Lakini point  bado ni ile ile kuwa katika demokrasia mtawala hana mamlaka ya kuamulia mtawaliwa ni lini aandamane.
Hapa Marekani petitioning the government ni fundamental right, sijui huko kwenu. Nilikuwa nasoma  mahali kuwa maandamano ya 1963 ya civil rights yalimhangaisha sana rais Kennedy.
Alijaribu kuwaita akina Martin Luther King jr. wasitishe au kuahirisha akihofia serikali yake itaonekanaje, lakini mwishowe maandamano yalifanyika vizuri na kuandika ukurasa muruwa
katika historia ya Marekani.
em

2016-10-07 15:28 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ha haha ha! Siku ukitelemka uwanja wa ndege itabidi nikuhoji neno moja uliloandika humu.
Lakini nadhani hakandamizi upinzani bali anaondoa machizi barabarani. Machizi wanaodhani kupinga ni kupinga hata moja ongeza moja ni mbili wapinge?
majuzi walienda ujerumani wakaulizwa ni jambo gani hasa mnaipinga serikali hii mnaloona wananchi wanapata shida mpaka mnataka kuandamana likakosa. Wakashauriwa kutafuta namna ya kuendesha siasa kuliko kuwa machizi wanaopinga kila kilichochema.
Dhana ya Katiba mpya haijafa. Lakini kilichokufa ni UKAWA uenyewe.
Emma unajua mwili ni mikono, migii, kichwa etc. Kikitoka kimoja n si mwili.
UKAWA ni CUF CDM etc. Kinapotoka kimoja si UKAWA tena
--------------------------------------------
On Fri, 10/7/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Friday, October 7, 2016, 9:20 PM

 Wazo la
 UKAWA halijafa. Tumemaliza uchaguzi na yule chizi mliyempa
 rungu ameanza na harakati za kusambaratisha upinzani.
 Tunashughulikia hilo kwanza.Hatuwezi kwenda kila mahali
 kila siku tukipaaza sauti katiba mpya katiba
 mpya.em
 2016-10-07 13:29 GMT-04:00
 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 Kuna
 mahala nilipita majuzi na kukuta maandishi VIATU BORA.
 Siamini kama kweli maduka ya bora yanaishi kwa sababu ya
 maandishi. UKAWA iliumbwa kuisemea katiba ya wananchi.
 haiwezi kusemwa inaishoi wakati viongoi wake
 wakig'ang'ana kutaka kuruhusiwa kuzurura. Ndiyo
 maana ya kifo chake. Uhai wake unaweza kuuelezea ili
 ijulikane haijafa. La sivyo imebaki kwa maandishi ukutani
 tu.

 ------------------------------ --------------

 On Fri, 10/7/16, Emmanuel
 Muganda <emuganda@gmail.com>
 wrote:  Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
 kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa
 kuimeza CUF

  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Friday, October 7, 2016, 5:46 PM  Elisa,Uliiua wewe UKAWA? Mbona sisi wafuasi

  wake tunaona bado ipo? Ndio maana
 mmemkazania Lipumba arudi

  kuwa mwenyekiti ili CUF iwe kama NCCR chini ya Mrema,

  eeh?em

  2016-10-06 17:34 GMT-04:00

  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

  UKAWA ipi

  inaongelewa na Heri? Mbona iikufa zamani? Ni lini
 umesikia

  habari za Katiba Mpya ya wananchi ikiongelewa? Hata
 wakati

  wa kampeni za uchaguzi mwaka jana haikuwa agenda. Toka

  tumemaliza uchaguzi haiongelewi. Nani anasema UKAWA
 inaishi?

  Kama ilikufa zamani nani anashughulika nayo kuiua????  ------------------------------ --------------  On Thu, 10/6/16,

  'herirashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:   Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni

  kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao
 wa

  kuimeza CUF   To: wanabidii@googlegroups.com   Date: Thursday, October 6, 2016, 7:59 PM   Nlimsikiliza Mtatiro alipokuwa akihojiwa Cloud fm,   nlimwelewa kabisa. Tusipindishe maneno kuna kitu
 nyuma

  ya   pazia. Prof Lipumba na taasisi ya usajili wa vyama
 vya

  siasa   kuna juhudi za majusudi kabisa kuua UKAWA. Kama

  hukupata   fursa ya kumsikiliza Mtatiro tafuta mtapata kwa
 undani   zaidi.   Sent from   Samsung Mobile   -------- Original message --------   From: 'Lesian' via Wanabidii   <wanabidii@googlegroups.com>   Date:   04/10/2016  21:08  (GMT+03:00)   To:   wanabidii@googlegroups.com   Subject: Re:   [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof.   Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF   Bro muganda   Wanaopika hizi news ni wale wale wasioitakia   mema CDM but kwa kweli chama kinasonga mbele kwa kasi

  ya   ajabu, vita ni ya yakutaka kuiua CUF na

  kuisambarartisha   UKAWA   Prof atengewe pesa a nn wkt   ashakwishaa   Emmanuel   Muganda <emuganda@gmail.com>

  wrote:   Sounds like   habari hii ni ya kupikwa. Who is   Tazama?em   2016-10-04 13:22 GMT-04:00   'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:   CHAMA   cha demokrasia na maendeleo (chadema), kimeelezwa

  kutenga   mamilioni ya shilling kwa lengo mahususi la kummaliza   kisiasa mwenyekiti    wa Cuf, Profesa Ibrahim Lipumba.   Habari za uhakika kutoka vyanzo kadhaa vya taarifa
 hivi   zinabainisha   wazi chadema kutenga mamilioni hayo kwa lengo la   kuhahikisha, pamoja na   mambo mengine Profesa halejei katika uongozi wa juu
 wa   Cuf.   Kwa mujibu wa taarifa hizo, hofu kuu ya chadema kwa

  profesa   Lipumba   iwapo ikatokea akarejea kwenye nafasi yake ya
 mwenyekiti,

  ni   kuvurugika   kwa mpango wao kabambe wa wa kuimeza CUF, ambao
 ulianza   kuratibiwa kwa   mafanikio na aliyekuwa mgombea urais wao katika
 uchaguzi

  wa   mwaka wa   jana, Edward Lowassa.   Mpango huo mpya wa kuimeza Cuf, chadema yenye nguvu
 ya   kisiasa kwa   upande wa Tanzania Bara na ilikuwa na mpango wa

  kuunganisha   nguvu za   kisiasa za chama hicho kwa upande wa Zanzibar ili   ikiwezekana, kufikia   mwaka 2020 vyama hivyo viwe vimeungana na kuwa chama   kimoja.   Mpango huo mpya ulilenga kuunganisha umaarufu wa

  wanasiasa   kisiasa wa   wanasiasa wawili pande mbili za muungano, Edward
 Lowassa

  na   Maalim Seif   Sharif Hamad, ili kukiwezesha chadema kukamata dola 

  katika   pande zote   mbili za muungano 2020.   Hata hivyo hatua ya sasa kurejea profesa Lipumba
 kutaka   kurejea kwenye   uongozi wa CUF na kwa sababu ya kulindwa nakatiba ya

  chama   hicho, huku   pia msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis

  Mutungi,   akionekana   kubariki hatua hiyo, imezidi kuuchanganya uongozi wa
 juu

  wa   chadema,   hali iliyowalazimu kutenga mamilioni ya shilling
 katika   kuhakikisha kuwa    suala hilo haliwezekani.   Mbali na kutenga fedha hizo zinazodaiwa kutoka kwa
 wale   wanaoitwa   marafiki wa Lowassa ili kummaliza kisiasa profesa

  Lipumba,   uongozi wa   chadema unadaiwa kujipanga kutumia kila aina ya
 silaha,   ikiwemo vyombo   vya habari na baadhi ya wasomi nchi kumdhalilisha

  Profesa   Lipumba ili   aonekana hafai machoni mwa jamii ya kitanzania.   Hata hivyo, pamoja na mikakati hiyo ya chadema

  kummaliza   kisiasa Profesa    Lipumba, kambi ya mwanasiasa huyo, ambayo tayari

  inakalia   ofisi ya kuu   ya Buguruni, Dar es Salam, imeapa kupambana hadi

  mwisho,   huku ikiweka   bayana "daima haki itashinda".   Kwa mujibu wa kambi ya Profesa Lipumba mgogoro wa
 sasa

  ni   baina ya kundi    la waasi nan a wavunjaji wa katiba wakiongozwa na

  katibu   mkuu Maalim   Seif Sharif Hamadi na kundi la watetezi, walinzi na

  walinzi   wa katiba ya    chama hicho wakiongozwa na Profesa Lipumba.   Kutokana na hali hiyo kundi la Profesa Lipumba
 linasema

  wazi   kwamba hata    kama uongozi wa chadema utaamua kukusanya mamilioni
 ya   shilingi kwa   ajili kwa ajili ya kufadhili kundi la la waasi

  linaloongozwa   na Maarif   Seif Sharifu Hamadi, ni wazi fedha hizo zitateketea
 bure

  kwa   maelezo   kuwa hakuna mahala popote duniani ambako dhulma   ikashinda.   Afisa mmoja wa Cuf, aliyeko kambi ya Profesa Lipumba,

  Abdul   Kambaya,   amekiri kufahamu mpango huo wa chadema kutenga
 mamilioni

  ya   shilingi kwa    ajili ya kummaliza mwenyekiti wao, ikiwa ni pamoja   kuhakikisha harejei   tena kwenye uongozi wa juu wa chama hicho.   "Tunafahamu sana kundi la maarim Seif linaendeshwa
 na   chadema na wao   ndio wanaoamua cha kufanya. Tunafahamu chadema

  wametenga   fedha nyingi   sana kwa ajili ya kuhahikisha profesa Lipumba harejei

  kwenye   uongozi wa   juu wa Cuf, lakini niwahakikishie daima haki
 itashinda   dhulma tu"   anasema Kambaya na kuongeza   "sisi tupo ofisini, wao wapo msituni. Hii ni vita
 kati

  ya   watetezi wa   katiba, hivyo basi kamwe hawaezi kushinda vita hii,
 na

  ndio   maana   Profesa Lipumba anaendelea na  majukumu yakle ya

  kukisuka   upya chama   chetu, huku wao wakihangaika huko nje, wakidhani

  Chadema   itawasaidia.   Chanzo Tazama                                       
  
      --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com       Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@   googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha   ukishatuma       Disclaimer:   Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility   for any legal consequences of his or her postings,
 and

  hence   statements and facts must be presented responsibly.

  Your   continued membership signifies that you agree to this   disclaimer and pledge to abide by our Rules and   Guidelines.   ---   You received this message because you are subscribed
 to

  the   Google Groups "Wanabidii" group.   To unsubscribe from this group and stop receiving

  emails   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@   googlegroups.com.   For more options, visit https://groups.google.com/d/   optout.   --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com       Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com 
 Utapata Email ya   kudhibitisha ukishatuma       Disclaimer:   Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility   for any legal consequences of his or her postings,
 and

  hence   statements and facts must be presented responsibly.

  Your   continued membership signifies that you agree to this   disclaimer and pledge to abide by our Rules and   Guidelines.   ---   You received this message because you are subscribed
 to

  the   Google Groups "Wanabidii" group.   To unsubscribe from this group and stop receiving

  emails   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com.   For more options, visit https://groups.google.com/d/

  optout.   --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com       Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@

 Utapata Email ya kudhibitisha

  ukishatuma  Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/

  optout.

  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment