Friday 7 October 2016

[wanabidii] Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Unapokwenda Kutoa Hotuba..(1)


Ndugu zangu,

Kuna walioniomba nirejee mada kuhusu sanaa ya kuzungumza mbele ya hadhara . Bila shaka, sababu kuu ni ukweli, wengi tunapata tabu sana kila tunapotakiwa kuongea hadharani.

Kwa vile hata waliozaliwa na vipaji vya kuongea hadharani na kuvuta watu wanahitaji kujifunza zaidi, basi, hata asiye na kipaji, anaweza kujifunza na akawa mzungumzaji mzuri mwenye kuvutia hadhira yake.

Leo nitazungumzia kile kilicho muhimu kabisa kwa mtu anayehutubia. Kinaitwa ' actio' kwa Kigiriki.

Actio inahusu zaidi kinachoonekana kwa nje na hadhira ama wasikilizaji pale mzungumzaji anapokuwa akihutubia...Soma zaidi..http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/28117-mambo-muhimu-ya-kuzingatia-unapokwenda-kutoa-hotuba-1.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment