Friday, 7 October 2016

Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF

Ha haha ha! Siku ukitelemka uwanja wa ndege itabidi nikuhoji neno moja uliloandika humu.
Lakini nadhani hakandamizi upinzani bali anaondoa machizi barabarani. Machizi wanaodhani kupinga ni kupinga hata moja ongeza moja ni mbili wapinge?
majuzi walienda ujerumani wakaulizwa ni jambo gani hasa mnaipinga serikali hii mnaloona wananchi wanapata shida mpaka mnataka kuandamana likakosa. Wakashauriwa kutafuta namna ya kuendesha siasa kuliko kuwa machizi wanaopinga kila kilichochema.
Dhana ya Katiba mpya haijafa. Lakini kilichokufa ni UKAWA uenyewe.
Emma unajua mwili ni mikono, migii, kichwa etc. Kikitoka kimoja n si mwili.
UKAWA ni CUF CDM etc. Kinapotoka kimoja si UKAWA tena
--------------------------------------------
On Fri, 10/7/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 7, 2016, 9:20 PM

Wazo la
UKAWA halijafa. Tumemaliza uchaguzi na yule chizi mliyempa
rungu ameanza na harakati za kusambaratisha upinzani.
Tunashughulikia hilo kwanza.Hatuwezi kwenda kila mahali
kila siku tukipaaza sauti katiba mpya katiba
mpya.em
2016-10-07 13:29 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kuna
mahala nilipita majuzi na kukuta maandishi VIATU BORA.
Siamini kama kweli maduka ya bora yanaishi kwa sababu ya
maandishi. UKAWA iliumbwa kuisemea katiba ya wananchi.
haiwezi kusemwa inaishoi wakati viongoi wake
wakig'ang'ana kutaka kuruhusiwa kuzurura. Ndiyo
maana ya kifo chake. Uhai wake unaweza kuuelezea ili
ijulikane haijafa. La sivyo imebaki kwa maandishi ukutani
tu.

------------------------------ --------------

On Fri, 10/7/16, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote: Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa
kuimeza CUF

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Friday, October 7, 2016, 5:46 PM Elisa,Uliiua wewe UKAWA? Mbona sisi wafuasi

 wake tunaona bado ipo? Ndio maana
mmemkazania Lipumba arudi

 kuwa mwenyekiti ili CUF iwe kama NCCR chini ya Mrema,

 eeh?em

 2016-10-06 17:34 GMT-04:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 UKAWA ipi

 inaongelewa na Heri? Mbona iikufa zamani? Ni lini
umesikia

 habari za Katiba Mpya ya wananchi ikiongelewa? Hata
wakati

 wa kampeni za uchaguzi mwaka jana haikuwa agenda. Toka

 tumemaliza uchaguzi haiongelewi. Nani anasema UKAWA
inaishi?

 Kama ilikufa zamani nani anashughulika nayo kuiua???? ------------------------------ -------------- On Thu, 10/6/16,

 'herirashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:  Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni

 kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao
wa

 kuimeza CUF  To: wanabidii@googlegroups.com  Date: Thursday, October 6, 2016, 7:59 PM  Nlimsikiliza Mtatiro alipokuwa akihojiwa Cloud fm,  nlimwelewa kabisa. Tusipindishe maneno kuna kitu
nyuma

 ya  pazia. Prof Lipumba na taasisi ya usajili wa vyama
vya

 siasa  kuna juhudi za majusudi kabisa kuua UKAWA. Kama

 hukupata  fursa ya kumsikiliza Mtatiro tafuta mtapata kwa
undani  zaidi.  Sent from  Samsung Mobile  -------- Original message --------  From: 'Lesian' via Wanabidii  <wanabidii@googlegroups.com>  Date:  04/10/2016  21:08  (GMT+03:00)  To:  wanabidii@googlegroups.com  Subject: Re:  [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof.  Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF  Bro muganda  Wanaopika hizi news ni wale wale wasioitakia  mema CDM but kwa kweli chama kinasonga mbele kwa kasi

 ya  ajabu, vita ni ya yakutaka kuiua CUF na

 kuisambarartisha  UKAWA  Prof atengewe pesa a nn wkt  ashakwishaa  Emmanuel  Muganda <emuganda@gmail.com>

 wrote:  Sounds like  habari hii ni ya kupikwa. Who is  Tazama?em  2016-10-04 13:22 GMT-04:00  'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:  CHAMA  cha demokrasia na maendeleo (chadema), kimeelezwa

 kutenga  mamilioni ya shilling kwa lengo mahususi la kummaliza  kisiasa mwenyekiti   wa Cuf, Profesa Ibrahim Lipumba.  Habari za uhakika kutoka vyanzo kadhaa vya taarifa
hivi  zinabainisha  wazi chadema kutenga mamilioni hayo kwa lengo la  kuhahikisha, pamoja na  mambo mengine Profesa halejei katika uongozi wa juu
wa  Cuf.  Kwa mujibu wa taarifa hizo, hofu kuu ya chadema kwa

 profesa  Lipumba  iwapo ikatokea akarejea kwenye nafasi yake ya
mwenyekiti,

 ni  kuvurugika  kwa mpango wao kabambe wa wa kuimeza CUF, ambao
ulianza  kuratibiwa kwa  mafanikio na aliyekuwa mgombea urais wao katika
uchaguzi

 wa  mwaka wa  jana, Edward Lowassa.  Mpango huo mpya wa kuimeza Cuf, chadema yenye nguvu
ya  kisiasa kwa  upande wa Tanzania Bara na ilikuwa na mpango wa

 kuunganisha  nguvu za  kisiasa za chama hicho kwa upande wa Zanzibar ili  ikiwezekana, kufikia  mwaka 2020 vyama hivyo viwe vimeungana na kuwa chama  kimoja.  Mpango huo mpya ulilenga kuunganisha umaarufu wa

 wanasiasa  kisiasa wa  wanasiasa wawili pande mbili za muungano, Edward
Lowassa

 na  Maalim Seif  Sharif Hamad, ili kukiwezesha chadema kukamata dola 

 katika  pande zote  mbili za muungano 2020.  Hata hivyo hatua ya sasa kurejea profesa Lipumba
kutaka  kurejea kwenye  uongozi wa CUF na kwa sababu ya kulindwa nakatiba ya

 chama  hicho, huku  pia msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis

 Mutungi,  akionekana  kubariki hatua hiyo, imezidi kuuchanganya uongozi wa
juu

 wa  chadema,  hali iliyowalazimu kutenga mamilioni ya shilling
katika  kuhakikisha kuwa   suala hilo haliwezekani.  Mbali na kutenga fedha hizo zinazodaiwa kutoka kwa
wale  wanaoitwa  marafiki wa Lowassa ili kummaliza kisiasa profesa

 Lipumba,  uongozi wa  chadema unadaiwa kujipanga kutumia kila aina ya
silaha,  ikiwemo vyombo  vya habari na baadhi ya wasomi nchi kumdhalilisha

 Profesa  Lipumba ili  aonekana hafai machoni mwa jamii ya kitanzania.  Hata hivyo, pamoja na mikakati hiyo ya chadema

 kummaliza  kisiasa Profesa   Lipumba, kambi ya mwanasiasa huyo, ambayo tayari

 inakalia  ofisi ya kuu  ya Buguruni, Dar es Salam, imeapa kupambana hadi

 mwisho,  huku ikiweka  bayana "daima haki itashinda".  Kwa mujibu wa kambi ya Profesa Lipumba mgogoro wa
sasa

 ni  baina ya kundi   la waasi nan a wavunjaji wa katiba wakiongozwa na

 katibu  mkuu Maalim  Seif Sharif Hamadi na kundi la watetezi, walinzi na

 walinzi  wa katiba ya   chama hicho wakiongozwa na Profesa Lipumba.  Kutokana na hali hiyo kundi la Profesa Lipumba
linasema

 wazi  kwamba hata   kama uongozi wa chadema utaamua kukusanya mamilioni
ya  shilingi kwa  ajili kwa ajili ya kufadhili kundi la la waasi

 linaloongozwa  na Maarif  Seif Sharifu Hamadi, ni wazi fedha hizo zitateketea
bure

 kwa  maelezo  kuwa hakuna mahala popote duniani ambako dhulma  ikashinda.  Afisa mmoja wa Cuf, aliyeko kambi ya Profesa Lipumba,

 Abdul  Kambaya,  amekiri kufahamu mpango huo wa chadema kutenga
mamilioni

 ya  shilingi kwa   ajili ya kummaliza mwenyekiti wao, ikiwa ni pamoja  kuhakikisha harejei  tena kwenye uongozi wa juu wa chama hicho.  "Tunafahamu sana kundi la maarim Seif linaendeshwa
na  chadema na wao  ndio wanaoamua cha kufanya. Tunafahamu chadema

 wametenga  fedha nyingi  sana kwa ajili ya kuhahikisha profesa Lipumba harejei

 kwenye  uongozi wa  juu wa Cuf, lakini niwahakikishie daima haki
itashinda  dhulma tu"  anasema Kambaya na kuongeza  "sisi tupo ofisini, wao wapo msituni. Hii ni vita
kati

 ya  watetezi wa  katiba, hivyo basi kamwe hawaezi kushinda vita hii,
na

 ndio  maana  Profesa Lipumba anaendelea na  majukumu yakle ya

 kukisuka  upya chama  chetu, huku wao wakihangaika huko nje, wakidhani

 Chadema  itawasaidia.  Chanzo Tazama                                      
 
    --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha  ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence  statements and facts must be presented responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to abide by our Rules and  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed
to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/  optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence  statements and facts must be presented responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to abide by our Rules and  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed
to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@

Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.

 -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatumaDisclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment