Friday, 7 October 2016

Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF

Point ni Kwa nini wanaandamana. Wangekuwa wanaandamana bila kuwa na sababu inayowagusa watu angeweza kufanya kama Magufuli.
Hawa wa huku wana kitu cha ajabu. Wanataka kuandamana kwa sababu rais ameshughulikia matatizo ya wananchi. alipowazuia kuwazuia kukakuzwa na watu wengine wakaanza kuwasikiliza. Walipowaelewa huko ujerumani kuwa hawana sababu inayowafanya waandamane wakaamua kumsifu magufuli adharani ili waelewe. naona wameelewa wameamua kuufukia msingi wa UKUTA. Nielewe sawasawa.
--------------------------------------------
On Sat, 10/8/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, October 8, 2016, 12:14 AM

Ha,ha,ha!
Nihoji tu lakini usininukulu. Lakini point  bado ni ile ile
kuwa katika demokrasia mtawala hana mamlaka ya kuamulia
mtawaliwa ni lini aandamane.Hapa Marekani petitioning
the government ni fundamental right, sijui huko kwenu.
Nilikuwa nasoma  mahali kuwa maandamano ya 1963 ya civil
rights yalimhangaisha sana rais Kennedy.Alijaribu
kuwaita akina Martin Luther King jr. wasitishe au kuahirisha
akihofia serikali yake itaonekanaje, lakini mwishowe
maandamano yalifanyika vizuri na kuandika ukurasa
muruwakatika historia ya Marekani.
em
2016-10-07 15:28 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ha haha
ha! Siku ukitelemka uwanja wa ndege itabidi nikuhoji neno
moja uliloandika humu.

Lakini nadhani hakandamizi upinzani bali anaondoa machizi
barabarani. Machizi wanaodhani kupinga ni kupinga hata moja
ongeza moja ni mbili wapinge?

majuzi walienda ujerumani wakaulizwa ni jambo gani hasa
mnaipinga serikali hii mnaloona wananchi wanapata shida
mpaka mnataka kuandamana likakosa. Wakashauriwa kutafuta
namna ya kuendesha siasa kuliko kuwa machizi wanaopinga kila
kilichochema.

Dhana ya Katiba mpya haijafa. Lakini kilichokufa ni UKAWA
uenyewe.

Emma unajua mwili ni mikono, migii, kichwa etc. Kikitoka
kimoja n si mwili.

UKAWA ni CUF CDM etc. Kinapotoka kimoja si UKAWA tena

------------------------------
--------------

On Fri, 10/7/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote: Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa
kuimeza CUF

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Friday, October 7, 2016, 9:20 PM Wazo la

 UKAWA halijafa. Tumemaliza uchaguzi na yule chizi
mliyempa

 rungu ameanza na harakati za kusambaratisha upinzani.

 Tunashughulikia hilo kwanza.Hatuwezi kwenda kila
mahali

 kila siku tukipaaza sauti katiba
mpya katiba

 mpya.em

 2016-10-07 13:29 GMT-04:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Kuna

 mahala nilipita majuzi na kukuta maandishi VIATU BORA.

 Siamini kama kweli maduka ya bora yanaishi kwa sababu
ya

 maandishi. UKAWA iliumbwa kuisemea katiba ya wananchi.

 haiwezi kusemwa inaishoi wakati viongoi wake

 wakig'ang'ana kutaka kuruhusiwa kuzurura. Ndiyo

 maana ya kifo chake. Uhai wake unaweza kuuelezea ili

 ijulikane haijafa. La sivyo imebaki kwa maandishi
ukutani

 tu. ------------------------------ -------------- On Fri, 10/7/16, Emmanuel

 Muganda <emuganda@gmail.com>

 wrote:  Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni

 kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao
wa

 kuimeza CUF  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>  Date: Friday, October 7, 2016, 5:46 PM  Elisa,Uliiua wewe UKAWA? Mbona sisi wafuasi  wake tunaona bado ipo? Ndio maana

 mmemkazania Lipumba arudi  kuwa mwenyekiti ili CUF iwe kama NCCR chini ya Mrema,  eeh?em  2016-10-06 17:34 GMT-04:00  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:  UKAWA ipi  inaongelewa na Heri? Mbona iikufa zamani? Ni lini

 umesikia  habari za Katiba Mpya ya wananchi ikiongelewa? Hata

 wakati  wa kampeni za uchaguzi mwaka jana haikuwa agenda.
Toka  tumemaliza uchaguzi haiongelewi. Nani anasema UKAWA

 inaishi?  Kama ilikufa zamani nani anashughulika nayo kuiua????  ----------------------------- - --------------  On Thu, 10/6/16,  'herirashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>  wrote:   Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni  kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango
wao

 wa  kuimeza CUF   To: wanabidii@googlegroups.com   Date: Thursday, October 6, 2016, 7:59 PM   Nlimsikiliza Mtatiro alipokuwa akihojiwa Cloud fm,   nlimwelewa kabisa. Tusipindishe maneno kuna kitu

 nyuma  ya   pazia. Prof Lipumba na taasisi ya usajili wa vyama

 vya  siasa   kuna juhudi za majusudi kabisa kuua UKAWA. Kama  hukupata   fursa ya kumsikiliza Mtatiro tafuta mtapata kwa

 undani   zaidi.   Sent from   Samsung Mobile   -------- Original message --------   From: 'Lesian' via Wanabidii   <wanabidii@googlegroups.com>   Date:   04/10/2016  21:08  (GMT+03:00)   To:   wanabidii@googlegroups.com   Subject: Re:   [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza
Prof.   Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza
CUF   Bro muganda   Wanaopika hizi news ni wale wale wasioitakia   mema CDM but kwa kweli chama kinasonga mbele kwa
kasi  ya   ajabu, vita ni ya yakutaka kuiua CUF na  kuisambarartisha   UKAWA   Prof atengewe pesa a nn wkt   ashakwishaa   Emmanuel   Muganda <emuganda@gmail.com>  wrote:   Sounds like   habari hii ni ya kupikwa. Who is   Tazama?em   2016-10-04 13:22 GMT-04:00   'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:   CHAMA   cha demokrasia na maendeleo (chadema), kimeelezwa  kutenga   mamilioni ya shilling kwa lengo mahususi la
kummaliza   kisiasa mwenyekiti    wa Cuf, Profesa Ibrahim Lipumba.   Habari za uhakika kutoka vyanzo kadhaa vya taarifa

 hivi   zinabainisha   wazi chadema kutenga mamilioni hayo kwa lengo la   kuhahikisha, pamoja na   mambo mengine Profesa halejei katika uongozi wa juu

 wa   Cuf.   Kwa mujibu wa taarifa hizo, hofu kuu ya chadema kwa  profesa   Lipumba   iwapo ikatokea akarejea kwenye nafasi yake ya

 mwenyekiti,  ni   kuvurugika   kwa mpango wao kabambe wa wa kuimeza CUF, ambao

 ulianza   kuratibiwa kwa   mafanikio na aliyekuwa mgombea urais wao katika

 uchaguzi  wa   mwaka wa   jana, Edward Lowassa.   Mpango huo mpya wa kuimeza Cuf, chadema yenye nguvu

 ya   kisiasa kwa   upande wa Tanzania Bara na ilikuwa na mpango wa  kuunganisha   nguvu za   kisiasa za chama hicho kwa upande wa Zanzibar ili   ikiwezekana, kufikia   mwaka 2020 vyama hivyo viwe vimeungana na kuwa
chama   kimoja.   Mpango huo mpya ulilenga kuunganisha umaarufu wa  wanasiasa   kisiasa wa   wanasiasa wawili pande mbili za muungano, Edward

 Lowassa  na   Maalim Seif   Sharif Hamad, ili kukiwezesha chadema kukamata
dola   katika   pande zote   mbili za muungano 2020.   Hata hivyo hatua ya sasa kurejea profesa Lipumba

 kutaka   kurejea kwenye   uongozi wa CUF na kwa sababu ya kulindwa nakatiba
ya  chama   hicho, huku   pia msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis  Mutungi,   akionekana   kubariki hatua hiyo, imezidi kuuchanganya uongozi
wa

 juu  wa   chadema,   hali iliyowalazimu kutenga mamilioni ya shilling

 katika   kuhakikisha kuwa    suala hilo haliwezekani.   Mbali na kutenga fedha hizo zinazodaiwa kutoka kwa

 wale   wanaoitwa   marafiki wa Lowassa ili kummaliza kisiasa profesa  Lipumba,   uongozi wa   chadema unadaiwa kujipanga kutumia kila aina ya

 silaha,   ikiwemo vyombo   vya habari na baadhi ya wasomi nchi kumdhalilisha  Profesa   Lipumba ili   aonekana hafai machoni mwa jamii ya kitanzania.   Hata hivyo, pamoja na mikakati hiyo ya chadema  kummaliza   kisiasa Profesa    Lipumba, kambi ya mwanasiasa huyo, ambayo tayari  inakalia   ofisi ya kuu   ya Buguruni, Dar es Salam, imeapa kupambana hadi  mwisho,   huku ikiweka   bayana "daima haki itashinda".   Kwa mujibu wa kambi ya Profesa Lipumba mgogoro wa

 sasa  ni   baina ya kundi    la waasi nan a wavunjaji wa katiba wakiongozwa na  katibu   mkuu Maalim   Seif Sharif Hamadi na kundi la watetezi, walinzi na  walinzi   wa katiba ya    chama hicho wakiongozwa na Profesa Lipumba.   Kutokana na hali hiyo kundi la Profesa Lipumba

 linasema  wazi   kwamba hata    kama uongozi wa chadema utaamua kukusanya
mamilioni

 ya   shilingi kwa   ajili kwa ajili ya kufadhili kundi la la waasi  linaloongozwa   na Maarif   Seif Sharifu Hamadi, ni wazi fedha hizo zitateketea

 bure  kwa   maelezo   kuwa hakuna mahala popote duniani ambako dhulma   ikashinda.   Afisa mmoja wa Cuf, aliyeko kambi ya Profesa
Lipumba,  Abdul   Kambaya,   amekiri kufahamu mpango huo wa chadema kutenga

 mamilioni  ya   shilingi kwa    ajili ya kummaliza mwenyekiti wao, ikiwa ni pamoja   kuhakikisha harejei   tena kwenye uongozi wa juu wa chama hicho.   "Tunafahamu sana kundi la maarim Seif
linaendeshwa

 na   chadema na wao   ndio wanaoamua cha kufanya. Tunafahamu chadema  wametenga   fedha nyingi   sana kwa ajili ya kuhahikisha profesa Lipumba
harejei  kwenye   uongozi wa   juu wa Cuf, lakini niwahakikishie daima haki

 itashinda   dhulma tu"   anasema Kambaya na kuongeza   "sisi tupo ofisini, wao wapo msituni. Hii ni vita

 kati  ya   watetezi wa   katiba, hivyo basi kamwe hawaezi kushinda vita hii,

 na  ndio   maana   Profesa Lipumba anaendelea na  majukumu yakle ya  kukisuka   upya chama   chetu, huku wao wakihangaika huko nje, wakidhani  Chadema   itawasaidia.   Chanzo Tazama                                     
 
        --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com       Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@   googlegroups.com   Utapata Email ya kudhibitisha   ukishatuma       Disclaimer:   Everyone posting to this Forum bears the sole  responsibility   for any legal consequences of his or her postings,

 and  hence   statements and facts must be presented responsibly.  Your   continued membership signifies that you agree to
this   disclaimer and pledge to abide by our Rules and   Guidelines.   ---   You received this message because you are
subscribed

 to  the   Google Groups "Wanabidii" group.   To unsubscribe from this group and stop receiving  emails   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@   googlegroups.com.   For more options, visit https://groups.google.com/d/   optout.   --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com       Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com 

 Utapata Email ya   kudhibitisha ukishatuma       Disclaimer:   Everyone posting to this Forum bears the sole  responsibility   for any legal consequences of his or her postings,

 Utapata Email ya kudhibitisha  ukishatuma  Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence  statements and facts must be presented responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to abide by our Rules and  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed
to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/  optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence  statements and facts must be presented responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to abide by our Rules and  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed
to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.

 -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatumaDisclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment