Wednesday, 15 June 2016

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] KUELEKEA MIAKA KUMI YA MJENGWABLOG- Imezaliwa Sept 19, 2006 - " Time For Girls Football"

Elisa,
Michezo inamfanya mtu hasa watoto wapate cha kufanya badala ya kushinda na kukesha mpaka usiku wa manane wakitazama video za matusi au wakiwa majumba ya majirani kucheza karata au vigengeni kuongea matusi na kujifunza maovu. Akicheza anachoka akifika analala. Ila ni kucheza baada ya kumaliza kazi na wajibu wake nyumbani. Badala ya kukaa kijiweni kujifunza mabaya daima wanakuwa busy na timu yao isishindwe. Michezo inaunda kujuana pia sifa timu inaweza kwenda safari mfano Kilombero to Mikumi au to DSM ambapo hujawahi kufika. Ile michezo ya riadha kimikoa baada ya kumaliza wilaya hadi kufika Kitaifa-imeinua wengi wa ndani na nje ya shule wengine kufika hadi ulaya au kupata ajira JKT au Jeshini ili achezee jeshi. Hata kuimba kumewapaisha wengi mfano Marehemu Komba (MP). Akina Ikangaa (Mke akitupa mkuki mume mkimbiaji), Jamal Lwambo (Basketball); Wambura na wengineo wengi listi kubwa me na ke. Tatizo mtaani tuishiko hata kulikopimwa viwanja vya michezo ktk makazi ya NHC-vyote vimevamiwa na wazazi hao hao wameweka biashara na frame za mambo kibao-serikali iliangalie hili na sasa wanabomolewa.


Mimba za utotoni:
Tunazitengeneza wazazi na ndugu na majirani. Nimekuwekea kiambata na kesi chache za ubakaji lakini takwimu za ubakaji zinapanda kila mwaka na hizo ni chache tu zilizofika polisi na mahakamai. Nyingi hazifikishwi na wabakaji ni watu wazima kuliko vijana wadogo. Ngono zembe unakuta zipo hata kwa watu wazima wasiopenda kondom. Wasichanywa hudanganywa jinsi mimba inavyoingia mradi tu akubali bila condom au anapewa pesa nyingi akikubali bila ya kondo. Ukiongea na changudoa watakwambia kuwa bila condom au abnormal sex ni pesa zaidi kuliko the reverse. Halafu tunajidai eti tuna maadili sana kuliko wazungu. Yapo mengi maovu hapa bongoland na africa wala hayajatoka ulaya hata!!

Nimehusika na Evaluation ya health programs mpaka zile za occupational health kwa makampuni ambapo mnatakiwa kuwapima damu, mkojo kuona maradhi ya malaria, ukimwi, na magonjwa ya ngono-gono, kaswende. Wanawafundisha masuala ya afya na kuwapa mlo, protective gear pamoja na condom za bure. Unakuta-wanaoongoza ktk maradhi yanayosababishwa na ngono zembe 80-90% ni wenye ndoa ambao hao hawatumii condom hata. Hao ni watu wazima. Ambao hawajaoa wanatumia condom zaidi. Kama mtu mzima haambiliki-unategemea nini kwa mtoto mdogo mjinga asiye na exposure yoyote?

Nimefanya tafiti vijijini na mashuleni. Nina faili kibao za karatasi walizoandika watoto-wanafunzi. Madaktari wa Muhimbili wa Public Health Association wamefanya tafiti za sexuality na zinaa mashuleni pia.

Ukizisoma karatasi wanazotuandikia mawafunzi wa ndani na watoto wa nje ya shule utalia sana sana na hutolala usingizi. Utajiuliza mengi kichwani. NGO yetu ilikuwa na Ofisi Tarafa ya Mikumi na tukiwa na field staff kama extension workers wa NGO yetu ambao wote walikuwa na degree-wakisha kunipa karatasi hizo walikuwa wanafunga simu zao usiku. Kwani, katika kuchanganyikiwa-nitapiga simu usiku mzima kuwasumbua kuuliza walifanya nini hapa kwa huyu na yule aliyeandika matatizo haya na yale. Tulifanya tafiti pamoja kisha ilikuwa wanaendelea kupita madarasani na kijijini kuhoji wasiosoma kwa umri na kulinganisha matokeo na waliomaliza shule au kutokusoma wapo vijijini pia.

Tafiti za AYA TZ pia zilikuwa na kuhoji age at first sexual intercourse na sexual behaviours. Nasi huhoji kama alianza zinaa alianza anzaje, ilikuwaje na nani na mahusiano gani. Kama nikuangalia matatizokwa ujumla wakato wa monitoring au baada ya mafunzo baada ya baseline studies-huwauliza sababu ya matatizo aliyonayo na amesaidiwaje na mzazi au mlezi au alipotoataarifa shule, home. Tafiti za migodini tunahoji mengi pia na pia tafiti za Sodomy TZ nimefanya mid 1990s na kuendeleza kuurudia 2011-2013 ni makubwa yanayoendelea. Nimefanya hivyo tafiti kwa wanafunzi shule za msingi kuhoji kwasiri anaandika kikaratasi huko Lindi Rural vijiji viwili. Nimeona yanafanana na ya Mikumi nikasaidia binafsi kuwanunulia kadi za afya watoto 200 kwa hela yangu.

Kuna wazazi wanatesa watoto bila kujijua au kufahamu. Kuna wazazi wanafanya makusudi. Kuna wazazi/walezi wanawatuma watoto kufanya zinaa ili kupata pesa za matumizi nyumbani. Kuna watoto hawapendi hivyo wanakuambia anataka kusoma afike hapa na pale. Akiomba hela mzazi mwingine anaambiwa akatafute mwenyewe apate hizo za madaftari. Baadhi ya wazazi wakiona dreva wa lori anasimama nyumba fulani na kushusha vifurushi wanamlazimisha mtoto wao wa kike nae akatafute chumvi kwa kujipeleka kwa madreva haoni nyumba hiyo inavyopata vifurushi? Bado ni mengi sana kuyaandika hapa. Tumekuta cases kwamba baba ana deni dukani halipi, yule mwenyeduka anatumia nafasi hiyo kumbaka mtoto wa kike-kama vile kulipa deni. Mtoto akimwambia mama anayofanyiwa-anatishiwa asiseme ama sivyo atapigwa anaaibisha familia. Baba anakula jiwe.

Kuna wanaume wabakaji watoto hawa watu wazima anaweza kumwita mtoto akiwa shamba au nyumbani amtume amletee kitu nyumbani. Akiingia tu-humbaka na kumtishia. Watoto wanaogopa wazazi hawasemi. Wabakaji wengi vijijini ni watu wazima. wanafunzi walioanza kujamiiana asilimia 80 walisema walianza kwa hiyari yao kumfurahisha mpenzi. Na mpenzi ni mwanafunzi mwenzake. Asilimia 20 ndio kubakwa, tamaa ya hela anampa senti ya matumizi na kulazimishwa na mzazi etc. Na sasa hizo pikipiki ndio balaa dezo ya usafiri na hao wa pikipiki ndio wanamaliza wanafunzi. Wanafunzi wengi wanakuwa wanaumwa na akikuandikia anaumwa unawapeleka zahanati mmeshafanya mpango-wakipimwa STDs. Wanatibiwa, tunawaonya na kuwaelimisha.

Bado mijini kulaza watoto wa kiume wadogo na wakubwa pamoja kutokana na uhaba wa vyumba vya kuwatenga, au majirani/wapangaji mnagawa wewe chumba chako walale wa kiume tu wangu na wako (Wakubwa na wadogo) na kwangu wa kike to (wa tabia mbali mbali). Wale wadogo wa kiume hutendeana uovu na wakike pia hufundishana mengi kinyume na maadili. Epuka kulaza watoto me wadogo na wakubwa kwani 80% ya mashoga walitueleza chanzo ni nyumbani kwao na ndugu zake walimfanya hivyo. Sasa amezoea.

Kuelimisha watoto wasomao na wale nje ya shule, vijana, wazazi na wazee ni muhimu ili kuondoa maovu mengi nchini kwetu. Uonevu na uchafu mwingi upo. Tunajidai kujifanya haya ni ya ulaya si kweli yapo. Inapotokea mtoto kubakwa na mbakaji kukamatwa live-tunapokea hongo, kufuta kesi ili kufuta aibu ya familia. Halafu kesi inachukua muda mrefu na kuishia. Eti mbakaji, mdhalilishaji alipe fidia akitoka jela-miaka 32 ndio aje alipe. Hata ikiwa miaka 10 msichana hatotaka kuhusishwa na kesi keshapata mchumba au keshaolewa. Fidia ilipwe kabla hajaingia jela-afirisiwe mali. Miaka hiyo akitoka jela aliyeathirika atakuwa hai au yeye mkosaji akifia jela jee fidia atatoa nani? Tumetumia mbinu za kuelimisha jamii mpaka sheria ya kujamiiana, kuunda kamati za watoto ndani na nje ya shule na za watu wazima wakiwemo wazee wa mila. taarifa inaletwa kwa ofisi yetu ya NGO, tyunafuatilia lakini ni ngumu sana. Mafunzo tumefanya kwa police, walimu viongozi vijiji, kata, tarafa na wa wilaya (kilosa kuja MIkumi) eneo mojawapo la mradi-lakini kesi iletwayo inakuwa tata bora Ujali Maisha yako-watakumaliza. Hao ni wazazi wa mwathirika, jamaa za mbakaji na UNYUMBU wa rushwa na kulinda heshima ya familia, ukoo wakati kuna mtu katonya au mtoto kaja kujieleza anavyotendewa na daktari anaona ukweli wake.

Watoto kuwa bar au kilabuni kuuyza biashara za wazazi au zao mpaka usiku wa manane. Ni matatizo makubwa na huko kilabuni anaona wazee wakitomasana, kukokoa hovyo hawajali kutoa miili yao mbele za watu anakojoa, wanakumbatiana na kukaliana miguuni. Hii yote unakaa nao vikao lakini -sikio la kufa.

Tuangalie television zetu zinavyoonyesha dansiza matusi ya kuoni akina dada wanacheza wamevaa vichupi. Kama television inaangaliwa hata na watoto na kucheza dansi ni viuono na michezo mingine ambao utaona kipindi cha watoto na watoto nao wadogo wanakata mauno ya sexual rythm. Ukatili wa kubaka watoto na wasichana utaisha na unamuona hapo akijifyaragua sexually?


Akina mama watu wazima wanapita mitaani wanacheza matusi ya nguoni- ni wazazi, wake za watu wana ndugu pia. Watazamani wakubwa wa dansi hizo za kujilowesha matako maji na kugalagala ni watoto wanajaa kibao.

Bado mila za kuoza underage girls ili kupata mahari in cash au mifugo. Mzazi anachukua uhamisho eti anakwenda kusoka Dar kwa mjombae kumbe kapelekwa kwa mume. Unafika unafanya utafiti wanasema ni mtoto wa hapo kumbe ni mke wa mtu humo na ni age 12. Baadae kasichana kanatafuta nafasi kanakupakibarua kisiri umsaidie. Mwingine wanaondoka kumuacha alinde nyumba ila wamepatana na mchumba aje ambake apate mimba ili afukuzwe shule amalizie mahari aondoke nae. Ndio NGO za jinsia zinaomba wazae kisha wamalizie kusoma shule. Jee-wote watakuwa na uwezo wa kuwacha maziwa ya mtoto home, kuwa na msichana au mama wa kukaa na mtoto au shule itakuwa na facilities za kulea watoto hao wa wanafunzi?Ataingia na mtoto darasani? Atakuwa mfano gani kwa wengine?

Ukifika machimboni unakuta vibanda vya sinema za matusi na vibanda vya sex chapu chapu. Lodges za chapuchapu zimejaa nyingi DSM. Ukiwauliza waliooana migodinikwa kukutana hapo na kukaa kama wapenzi-99% hawakupima HIV na STDs kabla ya kuishi pamoja na walitumia kondom mwanzoni kisha wakaacha-tumezoeana. Kama hawa ni watu wazima-unategemea nini kwa wavulana na wasichana na mabango ya HIV yapo kijijini na hapo mgodinikibao. Nenda Mererani, Geita machimbo yote utaona mabango haya and so what? watabeba vitoto tu!

Zahanati za vyuo vya elimu ya juu zitakueleza jinsi HVI/STDs zilivyo highly prevalent-jee vitoto vidogo visivyo elimu na ufahamu mkubwa jee?! Bado tuna kazi kubwa.

Bado wale waathirika wafanyao makusudi kumuambukiza mkeo au mtoto wako wa kike kutokana na uadui wenu kikazi au kibiashara. Anakukomoa. Anamsaka mkeo au mwanao mpaka anafanikiwa. Wapo wadada wanaolipwa kuja kujitongozesha na kukugawia maradhi ua HIV. Tunaweza tukaugua kwa namna moja na sababu nyingi lakini kwa contract na malipo navyo vipo. Tutamaliza uonevu bila ya kubadilika?

Mtu anamkataje mikono mwanamke au kumtoboa macho mtoto halafu asifungwe maisha? unamuwekeaje dhamana? Kuna watoto wa kike waliopata mimba umri mdogo na baadae kupata fistula ya kuvuja kinyesi na mkojo (Rectal Vagina Fistula-VVF). Unakuta mume anamwacha anaoa mke mwingine. Mkimchukua mumpeleke CCBRT akashonwe-mume hachangii alikwisha kulipa mahari! Hela hata wala ndugu hawachangii. Juu yenu ninyi wa kimbelembele eti alikuwa mwoga kuzaa akielekezwa hazingatii ndio kapasuka! Kwa upumbavu-akirudi kutoka CCBRT kapona na mmemnunulia mitumba ya nguo, viatu wanawake wametoa nguo zao binafsi zinazowabana, sanduku mnamrudisha kwao anapendeza-mume anamfuata! Naye anakwenda kuishi kwake!

Kama Kawa





--------------------------------------------
On Wed, 15/6/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] KUELEKEA MIAKA KUMI YA MJENGWABLOG- Imezaliwa Sept 19, 2006 - " Time For Girls Football"
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 15 June, 2016, 12:12

Hatjajadii baadhi ya mambo muhimu
aliyoyataja Mjengwa katika andiko la msingi: Mimba za
utotoni (na zisizotarajiwa) Bila shaka kutokana na ngono
zembe.
Mwaka jana nilipita Kasulu mjini. Kwa haraka niliona jambo
la kutisha na kusikitisha: Ukikutana na watoto wakike wa
umri wa miaka 25-20 hivi kati ya 10 wanne wana mtoto
mgongoni. Bila kuhojiana na mmoja wao niliona hilo ni tatizo
linalohitaji ufumbuzi wa haraka. Kwa bahati mbaya
nililotarajia kulifanya siwezi maana sikuweza kuweka makazi
pale.
Hili ni jambo la kuangalia japo siamini kuwa uanzishhwaji wa
mpira wa wanawake laweza kutatua hili. Kwanza ni utafiti
mkubwa kujua tatizo na mizizi yake. Naamini hili liko Kasulu
na maeneo mengi nchini kwetu.
--------------------------------------------
On Fri, 6/10/16, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] KUELEKEA MIAKA
KUMI YA MJENGWABLOG- Imezaliwa Sept 19, 2006 - " Time For
Girls Football"
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 10, 2016, 2:08 PM

Hongera
Mwenyekiti. Hongera Mjengwablog.
On 10 Jun 2016 12:45,
"'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Tumia tu
picha Mjengwa ili tuhamasishe vijana me na ke na wazee
kucheza michezo.



Mbona sisi siku hiyo inakuwa ni siku ya vituko? Uwanja
unajaa hasa watoto na wakubwa. Watoto wanaona baba au mama
anakimbia wanapokezana vijiti. Utacheka ufe!!



Sio kushindana kwa vijiji ktk Tarafa tuu,  tunawaalika na
wakilombero lakini pia mikumi mjini  mashindano kwa
vitongoji Mfano Kidoma kuungana na kingineko na Kushindana
na Mikumi Green kwa akina mama watu wazima kuvutana kamba
na
kufukuza kuku, kukimbia kupokezana vijiti. Inaanza na
maandamano Traffic police wanatusaidia. Tunaalika na
viongozi wa Wilaya-Maendeleo na Youth kuja kutoa Zawadi na
kukagua Team na kuanzisha mpira. Lakini ni gharama haya
yote
nauli, ngao, kukodo jezi na night allowance ya wageni na
nauli na malazi kwa watokao Kilombero na vijiji vya mbali
kuwakodia lori. Sababu Tarafa ya Mikumi inafika
kilometa100
kutoka Ruaha mbuyuni kuelekea ndani (Kisanga, Malolo),
hadi
Ruaha ya kuelekea Kidatu na kuelekea Mhenda-Kilosa (Vijiji
vya Madizini, Mfirisi, Ihombwe). Sasa wanaifanya Tarafa
kuwa
wilaya na mikumi sasa ni Mji mdogo. Tarafa is too big kuwa
tarafa.



Huwezi kuboresha michezo kama hakuna capital. Watu
wanacheza
na kukimbia miguu pekupeku au na ndala. Akiwa na viatu
kukimbia anaona hawezi atachelewa. Ukimpa nauli ya elfu 5
na
iwe ya lunch hatokuja bora ukodi gari ukambebe. Hiyo elfu
tano atanunuadawa, sabuni, sukari na mafuta ya taa.
Chakula
anacho ila vya kununua hela hana soko limejaa madalali
vibaka. Sasa ndoio hali mbaya sana-mashamba yamejaa mifugo
inamaliza chakula mashambani. Huwezi kufanya michezo kama
huna peace nyumbani au akilini, huna vifaa, usafiri
ujilipie
nauli na ujinunuliejezi kwa hela yako. Haya ni ya
kuangalia.



Mama Ntilie wa mikumi anakimbiza kuku, kuvutana kamba
kushindana kwa vitongoji, anacheza football na kukimbia
kupokezana vijiji na kucheza mipira vs timu ya watoto.
Ila-uandae police wawepo. Kila mmoja anamtaka huyokuku
akapike msosi na hiyohela ya ushindikatika timu yao-NGUMI
zinawakaga moto! Akina mama ni hatari huwa wanatuchanganya
akili.



Watoto wa siku hizi nao wanajali kubofya simu na kuvaa
suruali za mlegezo kutwa kitako kwenye sofa na TV.
Utajaribu
kuwabidiisha vijukuu vipende riadha, vikimbie, vifanye
mazoezi na kuunda timu za hata jumuiya za dini lakini
wapi-waliowengi hawapendi kujituma kimichezo. Wakija
mazoezi-wanataka posho. A posho disease. sasa hili jipu la
posho limetumbuliwa!!

Kazi jema.





--------------------------------------------

On Fri, 10/6/16, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] KUELEKEA MIAKA
KUMI YA MJENGWABLOG- Imezaliwa Sept 19, 2006 - " Time
For Girls Football"

 To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Friday, 10 June, 2016, 11:50



 Dada

 Hilda, 

 Asante sana. Kazi

 njema hii, nimependa picha pia. Naweza

 kuzitumia?

 Maggid

 2016-06-10 0:50 GMT-07:00

 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Mjengwa,



 Mbona wengine tuna timu za mpira za wasichana karne na

 tunacheza lakini hatujitangazi. Ukiitaka ITV ije kuna
hela

 za kulipa na ikitolewa katika TV inapitishwa mwendo wa
ukope

 kufumba na kufumbua.







 Tuna team za wazee na vijana za football kwa wanaume na

 wanawake. Tunacheza siku za sherehe za kitaifa na za

 kimataifa na siku hiyo elimu inatolewa kwa jamii. Kukiwa
na

 sherehe za kitaifa katika mji wa mkoa mkiomba mcheze

 kimkoa-hela zinazotakiwa ni nyingi mno za kuleta timu

 nyingine hata Twiga, kulipa refa, usafiri etc
mnashindwa.







 Cha kushangaza, timu ya mpira hasa ya vijana wa kiume

 kufungwa na team ya wazee (wenye viji vijiji, Kata,
Tarafa

 na wazee wa mila ambao ni washauri wa vijana). Wazee

 walicheza mpira enzi zile  za ujana sasa wapo 60
years+

 lakini wanamudu mbio. Wao vijana-bhangi na madawa ya
kulevya

 yanawamaliza na lishe duni (chips, maugali meupe sumba
wazee

 wanakula vyakula natural-mnavu na ugali usiokobolewa,
samaki

 toka mto kilombero etc). Nilikuwa mwana riadha na
mchezaji

 football hivyo ktk miradi ninayosimamia timu za  mpira
wa

 miguu hazikosekani, kuvutana kamba, kukimbia na
kupokezana

 vijiji, kukimbiza kuku ukimpata kamle. Michezo inajaza
sana

 watu viwanjani kwani ni sehemu ya burudani na
kichekesho

 kumuona mama mtu mzima anakimbiza kuku, kuvutana kamba
na

 kucheza football akipiga teke mpira anaanguka mwenyewe.
Watu

 wazima wanawake hucheza na watoto wadogo wa shule ya
msingi

 std 1-5 ambao huwasukuma wamama sana kiasi kwamba mama

 anaogopa kumsukuma mtoto na kumuacha aende na mpira.
Wale
wa

 Std 6-7 ni wakubwa mno watawavunja miguu wamama.







 Tunacheza ila tatuna hela za kujitangaza na wahisani

 hatupati. NGO ya jinsia (WRDP) yenye Miradi ya Vijana
Mikumi

 na Kilombero tuna timu kali sana ya Wasichana ya Mikumi
na

 Kilombero tunaomba Msaada Mjengwa.



 Hata tunapocheza kushindana hiyo michezo ni gharama
zangu
za

 mshahara wangu kwa sababu miradi ya kuhisaniwa
haiangalii

 masuala haya. Ila sisi tunayatumia kuvutia watu waje na

 kutoa elimu husika hapokabla ya mpira kuanza. Huwezi
kutoa

 elimu baada ya mpira kwisha wanakimbia. Hii ni nyogeza
baada

 ya makundi kusika kupata mafunzo unayatoa kwa
waliovutiwa
na

 mchezo na kukataa mikutano au kufika ktk makundi ya

 mafunzo.







 Msichana kucheza mpira kusimfanye ajione kuwa ni
mwanaume.

 Haturuhusu tabia ya kukata mapanki, kuvaa kihuni na
kusuka

 nywele mitindo ya ajabu ajabu hata kama hiyo mitindo
karne

 ya mababu ilisukwa. Tunawafundisha stadi za maisha za

 kujitambua, kujiheshimu, kujituma, kuwa na malengo na

 kufanya juhudikuyafikia.







 Wengine huona michezo kwa mtoto wa kike ni umalaya au

 kukimbia na kuruka ruka kutampotezea usichana wake
(Ubikira)

 na kushindwa kuzaa pia mishipa ndani inasogea. Imani
hizi
ni

 potovu ni uongo kabisa. Tulicheza footbal in 1960s
tukiwa

 shule ya msingi na tulicheza na watoto wa Masheikh na

 Sharif. Tukicheza riadha sekondari na pia kuungana
kimkoa
na

 majeshi (police, magereza, JWTZ) tukisafiri timu
kambambe
za

 mkoa to DSM Tabora, Kibaha, Zanzibar na baadhi ya
wachezaji

 hao ni wasomina viongozi mashuhuri nchini me na ke. Mtu

 asiishie kucheza mpira tu au kuwa mwana riadha tu bila
ya

 kufanyakazi nyingine ya kipato kama michezo haimpi
kipato 

 kwani atachanganyikiwa, kuwa muhuni mvuta bangi.







 Kuboresha michezo kwa ujumla sio Mpira tu nikitu cha
maana

 nchini. Tuna wakimbiaji kutoka mkoa wa Mara, Arusha.
Watupa

 mikuki maeneo hayo wana uwezo mkubwa. Tuna majitu marefu
ya

 kucheza basketball-lakini hatuwatumii. Wakiingizwa ktk
team

 hizo za michezo eti hawafanyi mazoezi mpaka wawekwe
kambini

 wapate posho! Hivyo wanafanya mazoezi kambini sio daima
iwe

 ndio desturi yao. Daima kushindwa michezo yote
kulinganisha

 na Kenya ambao wana makabila ya wafugaji na wakimbiaji
sana

 (Maasai, Kurya, Arusha, Mang'ati). Pamoja na kuwa
maeneo

 mengine ya makabila mengine yana uwezo lakinikuna
makabila

 mbio, kurusha tufe (mawe), mkuki ni tradition yao.
Zanzibar

 pamoja na kuwa ni coastal area ikitutoa jasho sana
katika

 michezo ya riadha na mpira. zawadi ya mwana riadha wa
mkoa

 ilikuwa kwenda na kurudi shule kwa Ndege sio kwa bus la

 abiria ambalolilikuwa linachukua hata wiki kutokana na

 barabara mbaya (Dar-Rufiji-Mtwara; Dar-

 Lukumburu-Songea-Mtwara) ndegea ya EAC. Bonus hiyo sio
pesa

 na zawadi ya michezo umepata ngao ya mbao au kukombe
cha

 chuma.











  Picha za Mpira wa Kike Mikumi za mfano
zimeambatishwa.







 --------------------------------------------



 On Fri, 10/6/16, Maggid Mjengwa mjengwamaggid@gmail.com

 [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>

 wrote:







  Subject: [Wanazuoni] KUELEKEA MIAKA KUMI YA
MJENGWABLOG-

 Imezaliwa Sept 19, 2006 - " Time For Girls

 Football"



  To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,

 "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>,

 Wanazuoni@yahoogroups.com



  Date: Friday, 10 June, 2016, 9:26











   











































  - " Time For Girls Football"



  ( My article, Africa Bloggers Network, Dec,



  2015)The



  fact is, one in three women lack basic literacy
skills.



  Dropout rates due to pregnancy in Tanzania are

 alarming,



  leaving many girls and young mothers extremely

 vulnerable.



  Unemployment rate for young women is high. Women's



  educational attainment level has been proven to have
a



  crucial positive influence on social, economic, and



  health spheres.Therefore, interest in girls' and

 women's



  football in Tanzania is

 rapidly growing. There are many



  talented women around the Tanzania who have the
potential

 to



  be great football players, coaches, referees,



  administrators, and sports medicine practitioners.



  However.. Read More..



  http://www.africablogging.org/time-for-girls-football/































      __._,_.___











































          Posted by: Maggid Mjengwa



  <mjengwamaggid@gmail.com>



















                            Reply



  via web post



                        •







                 Reply to sender



            •







                Reply to group



            •



              Start a New



  Topic



            •



                              Messages in

 this



  topic



                  (1)











































                  Have you tried the highest

 rated



  email app?



                  With 4.5 stars in iTunes, the

 Yahoo Mail app is the



  highest rated email app on the market. What are you

 waiting



  for? Now you can access all your inboxes (Gmail,

 Outlook,



  AOL and more) in one place. Never delete an email
again

 with



  1000GB of free cloud storage.















































































      Visit Your Group











        New Members



        1



























     • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use



























































































    .































  __,_._,___















  #yiv8401448191 #yiv8401448191 --



    #yiv8401448191ygrp-mkp {



  border:1px solid
#d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px



  0;padding:0 10px;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp hr {



  border:1px solid #d8d8d8;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp
#yiv8401448191hd

 {



  color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px



  0;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp
#yiv8401448191ads

 {



  margin-bottom:10px;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp
.yiv8401448191ad

 {



  padding:0 0;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp .yiv8401448191ad
p

 {



  margin:0;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp .yiv8401448191ad
a

 {



  color:#0000ff;text-decoration:none;}



  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor



  #yiv8401448191ygrp-lc {



  font-family:Arial;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor



  #yiv8401448191ygrp-lc #yiv8401448191hd {



  margin:10px



  0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor



  #yiv8401448191ygrp-lc .yiv8401448191ad {



  margin-bottom:10px;padding:0 0;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191actions {



  font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191activity {



  background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span {



  font-weight:700;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191activity
span:first-child

 {



  text-transform:uppercase;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span a {



  color:#5085b6;text-decoration:none;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span span {



  color:#ff7900;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span



  .yiv8401448191underline {



  text-decoration:underline;}







  #yiv8401448191 .yiv8401448191attach {



  clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px



  0;width:400px;}







  #yiv8401448191 .yiv8401448191attach div a {



  text-decoration:none;}







  #yiv8401448191 .yiv8401448191attach img {



  border:none;padding-right:5px;}







  #yiv8401448191 .yiv8401448191attach label {



  display:block;margin-bottom:5px;}







  #yiv8401448191 .yiv8401448191attach label a {



  text-decoration:none;}







  #yiv8401448191 blockquote {



  margin:0 0 0 4px;}







  #yiv8401448191 .yiv8401448191bold {



  font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}







  #yiv8401448191 .yiv8401448191bold a {



  text-decoration:none;}







  #yiv8401448191 dd.yiv8401448191last p a {



  font-family:Verdana;font-weight:700;}







  #yiv8401448191 dd.yiv8401448191last p span {



  margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}







  #yiv8401448191 dd.yiv8401448191last p



  span.yiv8401448191yshortcuts {



  margin-right:0;}







  #yiv8401448191 div.yiv8401448191attach-table div div
a

 {



  text-decoration:none;}







  #yiv8401448191 div.yiv8401448191attach-table {



  width:400px;}







  #yiv8401448191 div.yiv8401448191file-title a,

 #yiv8401448191



  div.yiv8401448191file-title a:active, #yiv8401448191



  div.yiv8401448191file-title a:hover, #yiv8401448191



  div.yiv8401448191file-title a:visited {



  text-decoration:none;}







  #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a,



  #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a:active,



  #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a:hover,



  #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a:visited
{



  text-decoration:none;}







  #yiv8401448191 div#yiv8401448191ygrp-mlmsg



  #yiv8401448191ygrp-msg p a
span.yiv8401448191yshortcuts

 {



  font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}







  #yiv8401448191 .yiv8401448191green {



  color:#628c2a;}







  #yiv8401448191 .yiv8401448191MsoNormal {



  margin:0 0 0 0;}







  #yiv8401448191 o {



  font-size:0;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191photos div {



  float:left;width:72px;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191photos div div {



  border:1px solid



  #666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191photos div label {



  color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191reco-category {



  font-size:77%;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191reco-desc {



  font-size:77%;}







  #yiv8401448191 .yiv8401448191replbq {



  margin:4px;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-actbar div
a:first-child

 {



  margin-right:2px;padding-right:5px;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg {



  font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,



  sans-serif;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg table {



  font-size:inherit;font:100%;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg select,



  #yiv8401448191 input, #yiv8401448191 textarea {



  font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg pre,

 #yiv8401448191



  code {



  font:115% monospace;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg * {



  line-height:1.22em;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg
#yiv8401448191logo

 {



  padding-bottom:10px;}











  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-msg p a {



  font-family:Verdana;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-msg



  p#yiv8401448191attach-count span {



  color:#1E66AE;font-weight:700;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-reco



  #yiv8401448191reco-head {



  color:#ff7900;font-weight:700;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-reco {



  margin-bottom:20px;padding:0px;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor

 #yiv8401448191ov



  li a {



  font-size:130%;text-decoration:none;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor

 #yiv8401448191ov



  li {



  font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor

 #yiv8401448191ov



  ul {



  margin:0;padding:0 0 0 8px;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-text {



  font-family:Georgia;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-text p {



  margin:0 0 1em 0;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-text tt {



  font-size:120%;}







  #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-vital ul
li:last-child

 {



  border-right:none !important;



  }



  #yiv8401448191







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma







 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.













 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment