Friday, 10 June 2016

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] KUELEKEA MIAKA KUMI YA MJENGWABLOG- Imezaliwa Sept 19, 2006 - " Time For Girls Football"

Tumia tu picha Mjengwa ili tuhamasishe vijana me na ke na wazee kucheza michezo.

Mbona sisi siku hiyo inakuwa ni siku ya vituko? Uwanja unajaa hasa watoto na wakubwa. Watoto wanaona baba au mama anakimbia wanapokezana vijiti. Utacheka ufe!!

Sio kushindana kwa vijiji ktk Tarafa tuu, tunawaalika na wakilombero lakini pia mikumi mjini mashindano kwa vitongoji Mfano Kidoma kuungana na kingineko na Kushindana na Mikumi Green kwa akina mama watu wazima kuvutana kamba na kufukuza kuku, kukimbia kupokezana vijiti. Inaanza na maandamano Traffic police wanatusaidia. Tunaalika na viongozi wa Wilaya-Maendeleo na Youth kuja kutoa Zawadi na kukagua Team na kuanzisha mpira. Lakini ni gharama haya yote nauli, ngao, kukodo jezi na night allowance ya wageni na nauli na malazi kwa watokao Kilombero na vijiji vya mbali kuwakodia lori. Sababu Tarafa ya Mikumi inafika kilometa100 kutoka Ruaha mbuyuni kuelekea ndani (Kisanga, Malolo), hadi Ruaha ya kuelekea Kidatu na kuelekea Mhenda-Kilosa (Vijiji vya Madizini, Mfirisi, Ihombwe). Sasa wanaifanya Tarafa kuwa wilaya na mikumi sasa ni Mji mdogo. Tarafa is too big kuwa tarafa.

Huwezi kuboresha michezo kama hakuna capital. Watu wanacheza na kukimbia miguu pekupeku au na ndala. Akiwa na viatu kukimbia anaona hawezi atachelewa. Ukimpa nauli ya elfu 5 na iwe ya lunch hatokuja bora ukodi gari ukambebe. Hiyo elfu tano atanunuadawa, sabuni, sukari na mafuta ya taa. Chakula anacho ila vya kununua hela hana soko limejaa madalali vibaka. Sasa ndoio hali mbaya sana-mashamba yamejaa mifugo inamaliza chakula mashambani. Huwezi kufanya michezo kama huna peace nyumbani au akilini, huna vifaa, usafiri ujilipie nauli na ujinunuliejezi kwa hela yako. Haya ni ya kuangalia.

Mama Ntilie wa mikumi anakimbiza kuku, kuvutana kamba kushindana kwa vitongoji, anacheza football na kukimbia kupokezana vijiji na kucheza mipira vs timu ya watoto. Ila-uandae police wawepo. Kila mmoja anamtaka huyokuku akapike msosi na hiyohela ya ushindikatika timu yao-NGUMI zinawakaga moto! Akina mama ni hatari huwa wanatuchanganya akili.

Watoto wa siku hizi nao wanajali kubofya simu na kuvaa suruali za mlegezo kutwa kitako kwenye sofa na TV. Utajaribu kuwabidiisha vijukuu vipende riadha, vikimbie, vifanye mazoezi na kuunda timu za hata jumuiya za dini lakini wapi-waliowengi hawapendi kujituma kimichezo. Wakija mazoezi-wanataka posho. A posho disease. sasa hili jipu la posho limetumbuliwa!!
Kazi jema.


--------------------------------------------
On Fri, 10/6/16, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] KUELEKEA MIAKA KUMI YA MJENGWABLOG- Imezaliwa Sept 19, 2006 - " Time For Girls Football"
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, 10 June, 2016, 11:50

Dada
Hilda, 
Asante sana. Kazi
njema hii, nimependa picha pia. Naweza
kuzitumia?
Maggid
2016-06-10 0:50 GMT-07:00
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mjengwa,

Mbona wengine tuna timu za mpira za wasichana karne na
tunacheza lakini hatujitangazi. Ukiitaka ITV ije kuna hela
za kulipa na ikitolewa katika TV inapitishwa mwendo wa ukope
kufumba na kufumbua.



Tuna team za wazee na vijana za football kwa wanaume na
wanawake. Tunacheza siku za sherehe za kitaifa na za
kimataifa na siku hiyo elimu inatolewa kwa jamii. Kukiwa na
sherehe za kitaifa katika mji wa mkoa mkiomba mcheze
kimkoa-hela zinazotakiwa ni nyingi mno za kuleta timu
nyingine hata Twiga, kulipa refa, usafiri etc mnashindwa.



Cha kushangaza, timu ya mpira hasa ya vijana wa kiume
kufungwa na team ya wazee (wenye viji vijiji, Kata, Tarafa
na wazee wa mila ambao ni washauri wa vijana). Wazee
walicheza mpira enzi zile  za ujana sasa wapo 60 years+
lakini wanamudu mbio. Wao vijana-bhangi na madawa ya kulevya
yanawamaliza na lishe duni (chips, maugali meupe sumba wazee
wanakula vyakula natural-mnavu na ugali usiokobolewa, samaki
toka mto kilombero etc). Nilikuwa mwana riadha na mchezaji
football hivyo ktk miradi ninayosimamia timu za  mpira wa
miguu hazikosekani, kuvutana kamba, kukimbia na kupokezana
vijiji, kukimbiza kuku ukimpata kamle. Michezo inajaza sana
watu viwanjani kwani ni sehemu ya burudani na kichekesho
kumuona mama mtu mzima anakimbiza kuku, kuvutana kamba na
kucheza football akipiga teke mpira anaanguka mwenyewe. Watu
wazima wanawake hucheza na watoto wadogo wa shule ya msingi
std 1-5 ambao huwasukuma wamama sana kiasi kwamba mama
anaogopa kumsukuma mtoto na kumuacha aende na mpira. Wale wa
Std 6-7 ni wakubwa mno watawavunja miguu wamama.



Tunacheza ila tatuna hela za kujitangaza na wahisani
hatupati. NGO ya jinsia (WRDP) yenye Miradi ya Vijana Mikumi
na Kilombero tuna timu kali sana ya Wasichana ya Mikumi na
Kilombero tunaomba Msaada Mjengwa.

Hata tunapocheza kushindana hiyo michezo ni gharama zangu za
mshahara wangu kwa sababu miradi ya kuhisaniwa haiangalii
masuala haya. Ila sisi tunayatumia kuvutia watu waje na
kutoa elimu husika hapokabla ya mpira kuanza. Huwezi kutoa
elimu baada ya mpira kwisha wanakimbia. Hii ni nyogeza baada
ya makundi kusika kupata mafunzo unayatoa kwa waliovutiwa na
mchezo na kukataa mikutano au kufika ktk makundi ya
mafunzo.



Msichana kucheza mpira kusimfanye ajione kuwa ni mwanaume.
Haturuhusu tabia ya kukata mapanki, kuvaa kihuni na kusuka
nywele mitindo ya ajabu ajabu hata kama hiyo mitindo karne
ya mababu ilisukwa. Tunawafundisha stadi za maisha za
kujitambua, kujiheshimu, kujituma, kuwa na malengo na
kufanya juhudikuyafikia.



Wengine huona michezo kwa mtoto wa kike ni umalaya au
kukimbia na kuruka ruka kutampotezea usichana wake (Ubikira)
na kushindwa kuzaa pia mishipa ndani inasogea. Imani hizi ni
potovu ni uongo kabisa. Tulicheza footbal in 1960s tukiwa
shule ya msingi na tulicheza na watoto wa Masheikh na
Sharif. Tukicheza riadha sekondari na pia kuungana kimkoa na
majeshi (police, magereza, JWTZ) tukisafiri timu kambambe za
mkoa to DSM Tabora, Kibaha, Zanzibar na baadhi ya wachezaji
hao ni wasomina viongozi mashuhuri nchini me na ke. Mtu
asiishie kucheza mpira tu au kuwa mwana riadha tu bila ya
kufanyakazi nyingine ya kipato kama michezo haimpi kipato 
kwani atachanganyikiwa, kuwa muhuni mvuta bangi.



Kuboresha michezo kwa ujumla sio Mpira tu nikitu cha maana
nchini. Tuna wakimbiaji kutoka mkoa wa Mara, Arusha. Watupa
mikuki maeneo hayo wana uwezo mkubwa. Tuna majitu marefu ya
kucheza basketball-lakini hatuwatumii. Wakiingizwa ktk team
hizo za michezo eti hawafanyi mazoezi mpaka wawekwe kambini
wapate posho! Hivyo wanafanya mazoezi kambini sio daima iwe
ndio desturi yao. Daima kushindwa michezo yote kulinganisha
na Kenya ambao wana makabila ya wafugaji na wakimbiaji sana
(Maasai, Kurya, Arusha, Mang'ati). Pamoja na kuwa maeneo
mengine ya makabila mengine yana uwezo lakinikuna makabila
mbio, kurusha tufe (mawe), mkuki ni tradition yao. Zanzibar
pamoja na kuwa ni coastal area ikitutoa jasho sana katika
michezo ya riadha na mpira. zawadi ya mwana riadha wa mkoa
ilikuwa kwenda na kurudi shule kwa Ndege sio kwa bus la
abiria ambalolilikuwa linachukua hata wiki kutokana na
barabara mbaya (Dar-Rufiji-Mtwara; Dar-
Lukumburu-Songea-Mtwara) ndegea ya EAC. Bonus hiyo sio pesa
na zawadi ya michezo umepata ngao ya mbao au kukombe cha
chuma.





 Picha za Mpira wa Kike Mikumi za mfano zimeambatishwa.



--------------------------------------------

On Fri, 10/6/16, Maggid Mjengwa mjengwamaggid@gmail.com
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:



 Subject: [Wanazuoni] KUELEKEA MIAKA KUMI YA MJENGWABLOG-
Imezaliwa Sept 19, 2006 - " Time For Girls
Football"

 To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,
"wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>,
Wanazuoni@yahoogroups.com

 Date: Friday, 10 June, 2016, 9:26





  





















 - " Time For Girls Football"

 ( My article, Africa Bloggers Network, Dec,

 2015)The

 fact is, one in three women lack basic literacy skills.

 Dropout rates due to pregnancy in Tanzania are
alarming,

 leaving many girls and young mothers extremely
vulnerable.

 Unemployment rate for young women is high. Women's

 educational attainment level has been proven to have a

 crucial positive influence on social, economic, and

 health spheres.Therefore, interest in girls' and
women's

 football in Tanzania is
rapidly growing. There are many

 talented women around the Tanzania who have the potential
to

 be great football players, coaches, referees,

 administrators, and sports medicine practitioners.

 However.. Read More..

 http://www.africablogging.org/time-for-girls-football/















     __._,_.___





















         Posted by: Maggid Mjengwa

 <mjengwamaggid@gmail.com>









                           Reply

 via web post

                       •



                Reply to sender

           •



               Reply to group

           •

             Start a New

 Topic

           •

                             Messages in
this

 topic

                 (1)





















                 Have you tried the highest
rated

 email app?

                 With 4.5 stars in iTunes, the
Yahoo Mail app is the

 highest rated email app on the market. What are you
waiting

 for? Now you can access all your inboxes (Gmail,
Outlook,

 AOL and more) in one place. Never delete an email again
with

 1000GB of free cloud storage.







































     Visit Your Group





       New Members

       1













    • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use













































   .















 __,_._,___







 #yiv8401448191 #yiv8401448191 --

   #yiv8401448191ygrp-mkp {

 border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px

 0;padding:0 10px;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp hr {

 border:1px solid #d8d8d8;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp #yiv8401448191hd
{

 color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px

 0;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp #yiv8401448191ads
{

 margin-bottom:10px;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp .yiv8401448191ad
{

 padding:0 0;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp .yiv8401448191ad p
{

 margin:0;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mkp .yiv8401448191ad a
{

 color:#0000ff;text-decoration:none;}

 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor

 #yiv8401448191ygrp-lc {

 font-family:Arial;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor

 #yiv8401448191ygrp-lc #yiv8401448191hd {

 margin:10px

 0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor

 #yiv8401448191ygrp-lc .yiv8401448191ad {

 margin-bottom:10px;padding:0 0;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191actions {

 font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity {

 background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span {

 font-weight:700;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span:first-child
{

 text-transform:uppercase;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span a {

 color:#5085b6;text-decoration:none;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span span {

 color:#ff7900;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191activity span

 .yiv8401448191underline {

 text-decoration:underline;}



 #yiv8401448191 .yiv8401448191attach {

 clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px

 0;width:400px;}



 #yiv8401448191 .yiv8401448191attach div a {

 text-decoration:none;}



 #yiv8401448191 .yiv8401448191attach img {

 border:none;padding-right:5px;}



 #yiv8401448191 .yiv8401448191attach label {

 display:block;margin-bottom:5px;}



 #yiv8401448191 .yiv8401448191attach label a {

 text-decoration:none;}



 #yiv8401448191 blockquote {

 margin:0 0 0 4px;}



 #yiv8401448191 .yiv8401448191bold {

 font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}



 #yiv8401448191 .yiv8401448191bold a {

 text-decoration:none;}



 #yiv8401448191 dd.yiv8401448191last p a {

 font-family:Verdana;font-weight:700;}



 #yiv8401448191 dd.yiv8401448191last p span {

 margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}



 #yiv8401448191 dd.yiv8401448191last p

 span.yiv8401448191yshortcuts {

 margin-right:0;}



 #yiv8401448191 div.yiv8401448191attach-table div div a
{

 text-decoration:none;}



 #yiv8401448191 div.yiv8401448191attach-table {

 width:400px;}



 #yiv8401448191 div.yiv8401448191file-title a,
#yiv8401448191

 div.yiv8401448191file-title a:active, #yiv8401448191

 div.yiv8401448191file-title a:hover, #yiv8401448191

 div.yiv8401448191file-title a:visited {

 text-decoration:none;}



 #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a,

 #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a:active,

 #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a:hover,

 #yiv8401448191 div.yiv8401448191photo-title a:visited {

 text-decoration:none;}



 #yiv8401448191 div#yiv8401448191ygrp-mlmsg

 #yiv8401448191ygrp-msg p a span.yiv8401448191yshortcuts
{

 font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}



 #yiv8401448191 .yiv8401448191green {

 color:#628c2a;}



 #yiv8401448191 .yiv8401448191MsoNormal {

 margin:0 0 0 0;}



 #yiv8401448191 o {

 font-size:0;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191photos div {

 float:left;width:72px;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191photos div div {

 border:1px solid

 #666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191photos div label {

 color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191reco-category {

 font-size:77%;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191reco-desc {

 font-size:77%;}



 #yiv8401448191 .yiv8401448191replbq {

 margin:4px;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-actbar div a:first-child
{

 margin-right:2px;padding-right:5px;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg {

 font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,

 sans-serif;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg table {

 font-size:inherit;font:100%;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg select,

 #yiv8401448191 input, #yiv8401448191 textarea {

 font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg pre,
#yiv8401448191

 code {

 font:115% monospace;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg * {

 line-height:1.22em;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-mlmsg #yiv8401448191logo
{

 padding-bottom:10px;}





 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-msg p a {

 font-family:Verdana;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-msg

 p#yiv8401448191attach-count span {

 color:#1E66AE;font-weight:700;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-reco

 #yiv8401448191reco-head {

 color:#ff7900;font-weight:700;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-reco {

 margin-bottom:20px;padding:0px;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor
#yiv8401448191ov

 li a {

 font-size:130%;text-decoration:none;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor
#yiv8401448191ov

 li {

 font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-sponsor
#yiv8401448191ov

 ul {

 margin:0;padding:0 0 0 8px;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-text {

 font-family:Georgia;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-text p {

 margin:0 0 1em 0;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-text tt {

 font-size:120%;}



 #yiv8401448191 #yiv8401448191ygrp-vital ul li:last-child
{

 border-right:none !important;

 }

 #yiv8401448191



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment