Sunday, 18 January 2015

[wanabidii] kwa nini wasichana wanakuwa na mahusiano na watu wazima

Utamuona msichana mbichi kabisa mrembo nadhifu anatoka out na mtu mzima ambaye kimtazamo ni baba yake au babu yake kabisa, watu wanasema labda ni kwasababu gold digger na hawana mapenzi kwa hao watu wazima wengine wanasema ni kwa sababu ya pesa tu za hao watu wazima. Lakini kiukweli kuna kitu tofauti na mawazo ya watu wengi kwa hawa wadada kuwa na mahusiano na watu wazima na wala siyo sababu za pesa za hao watu wazima.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment