Au tujiulize: Anazitengeneza yeye hoja hizi au anatendenezewa? Mbonba huwa hajibu chochote kwenye mijadala ya hoja zake? Niliwahi kumsikia bwege mmoja akitaka kuijibu simu ilipoanza kumwambia 'Mteja unayemtafuta hapatikani kwa sasa' yeye akaingilia "akirudi mwambie anipigie''. alifikiri anajibizana na mtu. nasi tunahitaji kujiuliza: "tunajibizana na nini?"
--------------------------------------------
On Thu, 1/29/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, January 29, 2015, 11:27 PM
kasomea sheria
ukubwan nahis na hata hivyo hakua makini darasani nahis
maana naona hoja zako anataka kuona kua lawyer ndio mtu
muhim sanaaa, kuna watu si lawyers lakini ni bush lawyers
nao woote ni lawyers....ila simshangai hata anachoongea humu
sijamwelewe sana ushaur wake usichukuliwe seriously,lawyer
kubiase masuala ndio kwa mara ya kwanza namsikia huyu sawa
na journalist alitakiwa kua neutral na kutetea kwenye haki
kama akipewa chance......anyway ni kawaida ya dada yetu
msomi ya sheria
From:
'geofrey msemwa' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, January
29, 2015 8:53 AM
Subject: Re:
[wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'
Bila shaka huyu mwandishi ni Mwanasheria wa
Shetani, haiwezekani mwanasheria wa kweli mada zake iwe
kutetea Ufisadi na Uvunjifu wa haki za binadamu. Hiyo sheria
unayosoma haina component za haki za binadamu, utawala wa
sheria na yanayoendena na hayo. Kama kweli we ni msomi wa
sheria, kazi ipo. Inaonekana una mahaba sana na mafisadi.
--------------------------------------------
On Thu, 1/29/15, 'kokulibe@yahoo.com'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, January 29, 2015, 5:54 PM
Yaani
kweli ukikosa HEKIM umekosa kitu
muhimu
sana katika maisha.
Sent from my HTC
Phone
----- Reply message -----
From: "'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA
'UMEBUGI MEN'
Date: Thu, Jan 29,
2015 14:55
Allan.
Mimi
nafikiri huyu anawakilisha haiba ya chuo. Ndivyo
kilivyo. Isingekuwa hivyo angeishaondolewa.
Haiwezekani
wakawa hawajayaona haya
anayoyawakilisha humu na haiwezeka
akawa na
sura tofauti akiwa chuoni
--------------------------------------------
On Wed, 1/28/15, 'allanlawa@yahoo.co.uk'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI
MEN'
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, January 28, 2015, 11:06
PM
Happiness tumia
lugha yenye staha
katika maandishi yako
kwani unabeba haiba ya chuo kikuu cha
Bagamoyo. Wewe ni mwanafunzi wa sheria na siyo msomi wa
sheria. Huu ni ushauri wangu kwako
utaheshimika kwa kujenga
hoja na siyo kwa
kutukana.
Sent
from
Yahoo Mail on Android
From:
'lucas haule' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To:
<wanabidii@googlegroups.com>;
Subject:
Re: [wanabidii] PROFESSA
LIPUMBA
'UMEBUGI
MEN'
Sent:
Wed, Jan 28, 2015
11:26:58 AM
Maumivu ya kichwa huanza
polepole.
--------------------------------------------
On Wed, 1/28/15, 'Happiness
Katabazi'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject:
[wanabidii] PROFESSA
LIPUMBA 'UMEBUGI
MEN'
To:
"WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, January 28, 2015, 2:24
PM
PROFESSA
LIPUMBA
'UMEBUGI MEN'
Na
Happiness Katabazi
JANUARI 27 Mwaka huu, jeshi la Polisi
Mko wa Kipolisi
Temeke, liliamua kutumia
Nguvu kuwatawanya
wafuasi
wa Chama
cha Wananchi
(CUF) na kufanikiwa
kumkamata Mwenyekiti
wa
Taifa wa Chama
hicho Profesa Ibrahim Lipumba na
wenzake
.
Polisi walidai
wamekiuka
sheria za nchi ikiwemo Kutenda
kosa la kukaidi amri ya Jeshi Hilo
iliyozuia
wasiandamane.
Kwa mujibu wa taarifa
ya Jeshi la Polisi ,
ilisema CUF il
iliandika barua ya kuomba
Kibali cha kufanya maandamano na
mkutano
eneo la Mbagala
Zakhem Jana lakini Jeshi Hilo
lilikataa
ombi Hilo na Kabla ya kufika siku ya
Jana
Jeshi
Hilo lilikuwa limeishakipelekea
Chama cha CUF, barua ya
Jeshi Hilo
inayozuia CUF isifanye
maandamano Jana na CUF na
Lipumba hadi
Jana alikuwa hajawasilisha
maandishi
pingamizi
la amri hiyo ya Jeshi
la Polisi.
Matokeo yake
Profesa
Lipumba na wafuasi wake Jana waliamua
kutoka ofisini Kwao huku wakitembea kwa
miguu kwa
kisingizio Kuwa wanaenda
kuairisha mkutano huo.
Lakini Wakati
Lipumba na wenzake wakitumia mbinu hiyo ya
kutoti waliyofikiti itawasaidia kuwapiga
chenga ya mwili
Polisi
,na CUF wakisahau
Msemo usemao
'katika msafara wa
Mamba,Kenge Pia wamo'.
Jeshi la Polisi
kupitia 'mawashawasha
wao'
yaani
makachero wao ,muda mrefu
sana Kumbe walikuwa wameishaibini
mbinu
hiyo ya Lipumba na
wafuasi wao ya kukaidi kiaina amri
ya
jeshi la Polisi iliyotaka CUF
wasiandamane.
Hiyo
Polisi
gani kwenye akili timamu
angeshindwa kubaini
hiyo mbinu ya CUF
waliyoitumia
Jana ilikuwa na Lengo la
kukaidi amri ya
Jeshi la
Polisi iliyowataka za
wasiandamane?
Ndipo Jeshi la Polisi lipoutangazia umati
ule
wa CUF Kuwa
watawanyike kwasababu
wanachokifanya ni
kinyume cha Sheria
lakini
baadhi ya wafuasi waliokaidi ndiyo Polisi
waliamua
kutumia mabomu ya Machozi na
kuwaadhibu
waliokaidi na Kisha
Kumtia nguvu ni
Lipumba Ambaye ndiye alikuwa Kinara wa
maandamano hayo haramu.
Ieleweke wazi kuna taarifa Kuwa Lipumba anataka Kugombea
Ubunge jimbo la Temeke kwasababu
amechoka
Kugombea nafasi ya
urais ambayo
ameishagombea zaidi ya Mara Tatu na amekuwa
akishindwa.
Kwa hiyo
kumbukizi hiyo ya Mauji ya waliokuwa
wanachama wa
CUF kule
Pemba ambayo alikuwa akiyaongoza Jana ,ilikuwa ni
Karatasi ya kisiasa iliyokuwa imepangwa
kutumiwa na Lipumba
kuanza kujipitisha kwa
wakazi wa Jimbo la
Temeke lakini
wajuzi wa
mambo wamelibaini Hilo Mapema wanamcheka
Ujinga.
Wafuatiliaji wa siasa za
nchi hii
tunajiuliza ni
kwanini kabla ya
mwaka Huu wa uchaguzi mkuu , Lipumba na
CUF
yake imekuwa
haifanyi kumbukizi hiyo kwa Maandalizi
makubwa
kiasi hicho hadi Mwaka huu wa
uchaguzi Mkuu wa 2015 ndiyo
Lipumba na
Chama Chake
kiwe na kimuemue cha kufanya
kumbukizi hiyo kwa Maandalizi kabambe?
Kuna ajenda gani ya
siri ya kumbukizi hii ya
mauji ya
Pemba.Yaani msiba utoke Pembe -
Zanzibar halafu maandamano
ya kumbukizi
ikafanyiwe
Mbagala - Dar es Salaam, wakati
wakazi wa Mbagala siyo wafiwa wa Msiba wa
kumbukizi hiyo
ya
Mauji ya Pemba?
Watoto wa mjini tunasema Profesa Lipumba una
Lako jambo na
Si jingine
ni unataka Ubunge
wa Jimbo la Temeke.
Lipumba
Umebugi Men.
Hao marehemu mnaowafanyia
kumbukizi nao waliotuhumiwa
kuwachinja
Askari wa
Jeshi la Polisi huko Zanzibar , Mbona
CUF haifanyi kumbukizi ya kukumbuka Askari
wale
waliochinjwa?
Kila siku wabunge
Bungeni wanaomba Jeshi la
polisi
liongezewe fedha za kununulia
vitendea kazi kama mabomu,
silaha za
kisasa,
virungu, uniform Na Polisi waboreshewe
mishahara na makazi Yao.
Nauliza mnataka hivyo virungu Vya
Polisi,mabomu ya Machozi
yanayomilikiwa na Jeshi la Polisi
hayo mabomu ya
Machozi yakatumike
kufanyia Uvuvi haramu wa
Samaki? Au
hivyo
virungu Vya Polisi mnataka
Wapewe watu wa Kabila la Wamasai
wakatumie
virungu hivyo
kuchungia Ng'ombe na Mbuzi?
Virungu na Mabomu ya Machozi
ni matumizi sahihi kwa watu
wakorofi Kama
Lipumba na
wenzake .
Cha
Msingi hapa ni wananchi watii Sheria bila
shuruti
.Ukitii Sheria bila shuruti
utakuwa umeepuka
kupigwa virungu
na mabomu ya
machozi,mitama,nakozi na Matoke na kung'atwa na
Mbwa wa Polisi.
Binadamu wote ni sawa Mbele ya Sheria na
Ibara
ya 13(1) ya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania
ya Mwaka 1977 ,
inasomeka HIvi;
' Watu wote ni sawa mbele ya Sheria
na
wanayo haki , bila ya ubaguzi
wowote
,kulindwa na
kupata haki sawa Mbele ya
Sheria'.
Kwa
Tafsiri
nyepesi ya Ibara hiyo ,Jeshi la
polisi
limetekeleza
matakwa ya ibara hiyo kwa kukukamata wewe na
wenzako licha unayo madaraka makubwa na
kukufikisha katika
mkondo wa sheria
kwasababu watu wote ni
sawa mbele ya
sheria.
Kwani
wasomi wa
sheria tunaposema Usawa mbele
ya
sheria
basi
usawa huo auangalii umri wa ,elimu
,itikadi wala rangi kwani binadamu wote ni
sawa mbele ya
jicho la sheria.
Nalipongeza Jeshi la
Polisi chini ya IGP-
Ernest Mangu kwa
kuzinduka usingizini sasa
kuanza kuwatia 'displine'
viongozi
wa juu wa
vyama Vya siasa Kama Lipumba Jana
mlivyomtia adabu
.
Nalipongeza sana mAana hawa viongozi wa
juu wa
baadhi ya
vyama siasa ni Kama mashetani
wamekuwa na
tabia chafu ya
kuwana na ajenda
zao binafsi za kuleta Uvunjifu wa Amani
nchini ambazo wafuasi
wao Wengi hawazijui wanaamua
kuwaunga
mkono mwisho wa siku wafuasi wao
Ndio wanaishia
kushughulikiwa na Jeshi la
Polisi.
Rais wa
Zimbambwe Robert Mugabe na Rais wa
Uganda
,Yoweri
Mseveni huwa hawataki kuendekeza viongozi wa
aina hiyo, wanausalama wa majeshi hayo
uwa
wanaanza
kuwashughulikia kwa vipigo
vitakatifu Hao
viongozi wa juu wa
vyama Vya
upinzani na viongozi wa juu wa Makundi
mengine
ambayo yanaamasisha wafausi Hao
washiriki
maandamano
haramu.
Tulimshuhudia Rais Mugabe alivyotoa adabu
aliyekuwa kiongozi
wa upinzani nchini
Zimbabwe ,Tsvangirai na rais Mseveni
alipomtia adabu Besige
hadi Leo hii hao vinara wa
Chokochoko
wamefyata Mkia.
Enzi za Utawala wa Rais
Benjamin Mkapa
wakati jeshila Polisi
likiongozwa na IGP-
Omar
Mahita aliweza kudhibiti na
kumaliza
Nguvu za baadhi ya wanasiasa wa upinzani
na
wanaharakati
uchwara waliokuwa hawana ajenda zenye
mashiko
waliokuwa wakikaidi amri ya
Jeshi
la Polisi .
Mchana wa Leo ,Mbunge
wa kuteuliwa James
Mbatia aliliomba
Bunge liairishwe ili
waweze kujadili hoja ya kwanini Jeshi
la
Polisi limempatia ' mkong'oto
heavy ' Lipumba
Jana Kwani
eti Lipumba ni kiongozi
mkubwa,watoto na
waandishi wa Habari
walioumizwa Jana.
Spika Anne Makinda akitumia
mamlaka yake na Kusema ametumia
madaraka
yake kuimuru
serikali Kesho ije kujieleza bungeni
kuhusu tukio Hilo.
Wakati Makinda akitoa agizo Hilo, baadhi ya
wabunge
kwakweli mi
nadiriki kuwaita ni
wendawazimu na ambao
hawana
nidhamu wala
staha,waliinuka na kuanza kupinga agizo Hilo la
Makinda tena bila kutoa kipengele gani
kinawaruhusu kufanya
hivyo hali
iliyosababisha zogo Kuzuka
bungeni utafikiri watu
wapo Sokoni.
Jamani, Kama Bunge la
Tanzania ambalo wabunge
wake ndiyo
watunga Sheria na Ndio baadhi
Yao wanakuwa wakwanza
kutoheshimu na kutii
maagizo ya kiongozi
wao yaani Spika,
HIvi
tunaweza Kusema
tunawatunga Sheria kweli
?
Nikisema kuna
baadhi ya wabunge wa upinzani ni
wendawazimu
nitakuwa nakosa?Nidhamu
na
busara kwa wabunge Hao wa
upinzani Iko
wapi? Eti
hawa ndiyo Watanzania turuhusu vyama
Vya
upinzani kiongozi taifa hili kwa tabia
Kama hizi za
kiuwenda
wazi?haiwezekani.
Mbatia aliyoyasema Leo
Bungeni HIvi
haramu Mbele ya
Wanasheria wa
namuona ni Mtu wa ajabu sana?
Maana Kifungu cha 8
cha Sheria ya Kanuni ya
Adhabu ya
Mwaka
2002, inasema kutofahaumu
Sheria siyo kinga yakutoadhibiwa.
Mbatia haelewi Sheria
na Huyo Lipumba
hawaelewi Sheria hivyo
ndiyo mAana
wanafikiri
hawawezi kufadhiliwa.Mnajidanganya.
Mbatia Leo bungeni Kasema eti waliwahi
kuzungumza na Rais wa
Nchi wakasema
eti
viongozi wa juu nawatapigwa?
HIvi rais wa nchi, IGP
ni Sheria?Rais wa nchi,
IGP wote
Taasisi zao zimeanzishwa kwa
mujibu wa Sheria na wanatakiwa
wafanyakazi
zao kwa
mujibu wa Sheria.Kama kweli mlikubaliana
hiyo basi waliamua kuwageuza viongozi wa
upinzani
'Mambululala'
kwasababu
hamfahamu Sheria na Nyie kwa
Ujinga
wenu
mkakubaliana.
Mbatia acha
Sheria Ufuate mkono wake ,
Mbona Halima Mdee,
Sheikh Ponda Issa
Ponda walivyoamua tea na
kufikishwa
mahakamani Mbona hatukukona
ukisimama bungeni kuomba Bunge
liarishwe
ili Mjadili
kwanini Mdee ,Ponda wamepigwa na
kufikishwa mahakamani?
Na kwa taarifa yenu Nyie wabunge ambao
mmezusha zogo Bunge
Leo
kwa
Shinikizo la kutaka ombi la Mbatia
la kujadili
kipigo kwa Lipumba
lijadiliwe Leo, kwa taarifa
yenu sisi
wasomi wa Sheria tunasema imekula
kwenu, Kwani Tayari
Mkurugenzi wa Mashitaka
(DPP), Biswalo
Mganga
kaishamwandilisha
hati Mashitaka Lipumba na atafikishwa
mchana huu Katika
Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam .
Na akishasomewa Mashitaka ya
nayomkabili ndiyo basi tena
Bunge linakuwa
limefungwa mikono kujadili Kesi iliyopo
mahakamani. Kwa Tafsiri nyepesi Nyie
wabunge
'wendawazimu' mliozusha
zogo Leo
Bungeni mmejiaribia wenyewe
.
Mlijiona mnaakili sana
kuliko Spika
Makinda.Mnamzarau
kwasababu ni
mwanamke? Sasa mjanja nani Kati ya Nyie
wabunge
'machizi' na
Makinga?Mjanja ni Makinda
na
Jeshi la Polisi na
Ofisi ya DPP.
Kama
mnampenda sana Lipumba
jichangisheni
Fedha
kumuwekee Mawakili
wazuri au pandeni Ndege
nendeni
makamuwekee dhamana Katika
Mahakama ya Kisutu.
Nashauri Kanuni na sheria ya
Bunge
ifanyiwe mabadiliko
ambayo
yataingizwa kipengele cha kuruhusu matumizi
ya
virungu na mabomo ya machozi
yatumike ndani
ya bunge
pindi wabunge wakorofi wanapozusha
ukorofi ndani ya bunge n
kusababisha muda
wa bunge kuairishwa
kwasababu ya vuugu
hizo.
Tumeishabaini
Sababu ya wewe Lipumba
kuamisha msiba wa
Pemba Kuja Mbagala ni kwasababu wewe Lipumba
umeanza kampeni za Ubunge jimbo la
Temeke
Kama
mlivyokubalana na viongozi wenzio wa
UKAWA katika
vikao
vyenu vya siri kuwa nyie viongozi
wa
juu wa vyama
vinavyounda UKAWA
mgawane
majimbo yaani mkagombee
ubunge badala ya
urais
kwani tayari mmeishaona nafasi ya
urais hampati.Hilo limejulikana.
Profesa Lipumna Kama
una huruma na Marehemu
wale
siungeenda Pemba ukawakusanya wafiwa
Ukawapikia Pilau
na
Biliani na Tende na
Haruwa ungewapatia na
ungeita na
viongozi
wa dini na Kisomo mngewasomea marehemu wale.
Fanya Kama Mwenyekiti
wa
Makampuni ya IPP, Reginal
Mengi yeye
anawaonea
huruma Maalbino,walemavu wa viungo
hivyo
kila Mwaka amenitengea siku Moja
kuwaandalia Mlo wa
Mchana anakula nao
na
kuwasaidia.
Lipumba Janja
yako ya
kutaka Ubunge jimbo la Temeke
imejulikana, na siyo kosa kisheria kutaka
Kugombea jimbo
ila
kosa ni kukaidi amri Hali za mamlaka
husika.Usitumie
Kumbukumbu za misiba
ya
watu kujifanyia kampeni katika
jimbo
ka
Temeke,
mizimu ya marehemu Hao itakusurubu. Lipumba
umebugi Men.
Chanzo: Happy Katabazi
Blog:
www.katabazihappy.blogspot.com
Januari 28
Mwaka
2015.
0716 774494
Sent from my iPad
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts
must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and
pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this
group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata
Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for
any legal
consequences of his or her
postings, and hence statements
and facts
must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this
disclaimer and
pledge to abide by our
Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the
Google
Groups "Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you
are subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment