Thursday 29 January 2015

RE: [wanabidii] ASKARI SHUPAVU LAZIMA APITE DEPO

Mdogo wangu.... taho akashweeko.. Ht siye ndugu zako ni wanaume pia:

Mbona huna nidhamu ww? Nashindwa kukaa kimya..

.........Lipumba wakati akiwa mikononi   mwa wanaume 'Polisi' alionekana Kuwa mpole sana na nidhamu ya hali ya juu utafikiri siyo Lipumba huyu tunayemfahamu ambaye awapo majukwaani na Katika mikutano ya waandishi wa Habari uwa anajifanya mwanaume  Jabari wa kuongea na Kumea mambo utafikiri anaweza kurusha ngumi,Kumbe wapi.

Binafsi wakati mwingine uwa na wanazarau sana wanaume wanapenda sana kuongeaongea sana huku mitaani na kujifanya wenyewe ni wanaume washoka hawaogopi kitu.

Kwasababu wanaume Wengi wa Ana hiyo nimewashuhudia sana wakifikishwa mahakamani,Polisi au wakiwa magerezani kwakweli wanakuwa na nidhamu ya Hali ya juu,.......

Hii Ndio discipline ya Uandishi wa Habari uliotukuka au Usomi wa Sheria uliopitiliza?

Siku moja niliwahi kukushauri uwe propagandist wa Chama hiki sababu huyo jamaa hizi bidii zako hazioni na siku zake zinaishia..akuache sehemu km hapo Bagamoyo hapakufai. Unamwangusha ht huyo aliyekutafutia Hilo Chaka! Is wrong choice.
Kazi yako ni kupublish image ya mwajiri wako na sio kupigia debe mfumo uliopo ambao kimsingi sio fair kwa vyama kosoaji!

On Jan 29, 2015 4:06 PM, "Juma, Omary (Bulyanhulu)" <OJuma@acaciamining.com> wrote:
Ni kweli wanauza uvinza bojoooooooooh

-----Original Message-----
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com]
Sent: Thursday, January 29, 2015 10:36 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] ASKARI SHUPAVU LAZIMA APITE DEPO

Bei gani, wenzi wako kwenye mabanda
--------------------------------------------
On Thu, 1/29/15, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] ASKARI SHUPAVU LAZIMA APITE DEPO
 To: "WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, January 29, 2015, 10:12 AM

 ASKARI SHUPAVU LAZIMA APITE DEPO
 * WALINZI WA LIPUMBA HAWAKUPITA DEPO NDIYO MAANA SIYI  SHUPAVU

 Na Happiness Katabazi
 WALINZI  wa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba  siyo Askari  shupavu kwasababu hawajapita Depo na  Lipumba ona haja sasa ya kuajiri walinzi wengine wapya ambao  wana Mafunzo na mbinu za kisasa za Kupambana na maadui wako.

 Haiingii akilini Mlinzi wa kiongozi mkubwa kama Lipumba  anakubali kudhibiti wa kirahisi  namna   ile na polisi halafu kufurukuta  kidogo mbele ya wanaume wenzio 'polisi' ushindwe.Bora  Lipumba uniajiri Mimi niwe mlinzi wako Kwani kwa video hii  ni wazi Huna walinzi imara na ipo siku watakuja kukutelekeza  kwenye Majanga Kama ya aina hiyo ili wazinusuru nafasi zao.

 Tunaambiwa Kuwa mlinzi anayemlinda kiongozi yupo Tayari kufa  yeye kwanza  ili kuakikisha anamnusuru kiongozi anakuwa  salama Katika balaa lolote. Profesa Lipumba au walinzi wako  Hao ni Makorokoroni?

 Video hii ,Polisi wameweza kuwazingira  na kuwatandika  kirahisi na kumchukua kiraini  Boss wao Lipumba ambaye  Lipumba wakati akiwa mikononi   mwa wanaume  'Polisi' alionekana Kuwa mpole sana na nidhamu ya hali ya  juu utafikiri siyo Lipumba huyu tunayemfahamu ambaye awapo  majukwaani na Katika mikutano ya waandishi wa Habari uwa  anajifanya mwanaume  Jabari wa kuongea na Kumea mambo  utafikiri anaweza kurusha ngumi,Kumbe wapi.

 Binafsi wakati mwingine uwa na wanazarau sana wanaume  wanapenda sana kuongeaongea sana huku mitaani na kujifanya  wenyewe ni wanaume washoka hawaogopi kitu.

 Kwasababu wanaume Wengi wa Ana hiyo nimewashuhudia sana  wakifikishwa mahakamani,Polisi au wakiwa magerezani kwakweli  wanakuwa na nidhamu ya Hali ya juu, Isipokuwa Swaiba wangu  Mchungaji Christopher Mtikila ,huyu ni mwanaume wa Shoka na  Nina mkubali sana Kwani hata akiwa mikononi mwa  Polisi,Magereza yeye ujasiri wake upo pale pale na kidogooo  pia 'mume wangu wa zamani', Mwenyekiti wa Chama cha TLP,  Agustine Mrema.

 Wito wangu kwa wananchi Tusikubali kushiriki maandamano  yanayovunja Sheria za nchi ambayo yamekatazwa mwisho wa siku  mtaishia kula kisago na  Fedha za kujitinia majeraha ni  tabu kupata, Mwenzenu Lipumba Jana kaugua kidogo Maradhi ya  moyo kukimbizwa haraka Hospitali ya mAana kutibiwa, Nyie  Maskini wenzangu nani aliwapatia Fedha ya kwenda kujitinia  majeraha?

 By Happiness Katabazi
 Januari 29 Mwaka 2015.
 0716 774494

 Sent from my iPad

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility  for any legal consequences of his or her postings, and hence  statements and facts must be presented responsibly. Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the  Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
wanabidii+ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

0 comments:

Post a Comment