Wednesday 28 January 2015

Re: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'

Andikeni makala Zenu tuzione .Na bado Mbona mtakereka sana.

Sent from my iPad

On Jan 29, 2015, at 10:17 AM, "'micky.gopal' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ndugu zangu wanabidii naona juhudi zenu ktk kufanya bidii kumwelekeza huyu dada lkn anaonesha kutofuata maoni yenu. kwa muono wangu huyu dada ni kama mbuzi kupigiwa gitaa manake kama ni mwanafunzi wa sharia labda ni za kimila anafanyia kazi propaganda Chama twawala si tawala hana tofauti na nape anaeongea kwa jazba ktk mikutano kwa hiyo navyoona ni kupoteza muda kwa kumkosoa

On Jan 28, 2015 11:59 PM, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
allan
Mimi siku hizi hata sisomagi tena story za huyu dada coz ni keeero kero .......nadhani hata anaaibisha hicho chuo kiukweli anashindwaje kutulia....mapro wa vyuo vikuuu ni watu makini na wasio watu wa kukurupuka kama happy.....Walikuwepo kina mr Saule wa Udsm miaka yetu ya practical journalist nikiwa family mirror cjawahi kuwaona wakijiingiza ktk arguments za ajabu ajabu akiwa biased kama huyu dada amejaa mitusi tupu na dharau, kusoma law kawa bingwa.....so hua sisomagi zinaboa hoja zake


From: "'allanlawa@yahoo.co.uk' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, January 28, 2015 12:06 PM
Subject: Re: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'

0 comments:

Post a Comment