inategemeaa na a in a ya ndoa.ya mke mmoja au wake wengi.kama ni mke mmoja ni had I kifo.1Wakorintho 7:39 ndoa inahitaji maombi na uvum livu. inawezekana zamani mke alikuwa hana kipato na alikupenda kutokana na hela yako na hukuwa umemshirikisha Mungu ukaoa tu kwa nje muonekano wake.Vumilia na kumuombea we we usiwe mwepesi wa kukasirika na kumtuhumu kubali na vumilia anayoyafanya na ysone kama ni marashi atahangaika huko we we Fanya wajibu wako wabndoa kama Master yeye ni msaidizi tu na kama kwenye tendon la ndoa unamtimizia na kujaa kimya huku ukimfurahia mkeo na tunda lenu la ndoa yaani Mtoto na usione kuwa yeye ndiye mbinsfsi utaona nyumba yako ikiwa imara we we ikiwa na msimamo na sio kumlsumu mama mkwe.timiza majukumu kisha onyesha fyraha bila kujali anafanya nini. baada ya miezibmiaka kadhaa atajirudi na ndoa yakovitakuwa tamu
Kuna uwezekano hapakuwepo na ndoa tangia mwanzo. Ninashaka kulikuwa na kuhemkwa na kudanganyana.
Pili mara kadhaa wasichana wadogo wakiisha zaa, huwa kunakuwa na mazoea ( huu ni uzoefu wangu wa kufanya kazi na vijana) ya kuwapenda watoto waliowazaa sana kuliko mume au mume kutaka kufanya mapenzi wakati wao wamefundishwa na mila kuwa ukizaa hupaswi kufanya mapenzi kwa muda fulani.
Tatu huyu bwana ninaamini alivutiwa na kukurupuka kuchunguza. Nne huwezi kutumia neno kali la mbinafsi kama hujamuukumu mwenzio kabla. Angetoa sifa nzuri kiasi za mkewe kuliko kusema mbaya na mama mkwe vivyohivyo.
--------------------------------------------
On Sun, 1/25/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: P[wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, January 25, 2015, 7:23 PM
Sent from Huawei Mobile
-------- Original Message --------
Subject: Re: [wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani
hapo?
From: 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
CC:
Mbunda;
Ni kweli muda ni Mwl mzuri sana,lkn shida kwetu binadamu ni
kusubiri mpaka muda utimie,hapo kuna suguli ya kuvumilia
mateso.
Lakini mara nyingi iwe mume au mke anapokengeuka huwa mwisho
ni majuto,matatizo ya ndoa yanatakiwa kumalizwa na
wahusika,inapotokea maamuzi ya kuachana yakaonekana ndio
suluhu,mwanzilishi Mola humuadhibu vizuri sana.
Hivyo jomba kuwa mvumilivu.
Reuben
Sent from Huawei Mobile
'weston mbuba' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Huyo tayari kapata
anyemkung'uta vizuri. kuwa mpole kaka. mpe nafasi ila
ajue wewe ndo wake. mwisho wa siku ataja gundua kuwa
amekosea. by then it will be too late. muda wa kubabaikia
mapenzi ulishapita sana.
On Saturday, January
24, 2015 5:14 PM, "'kokulibe@yahoo.com' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mhhh hapo kuna tatizo. Imekuaje uka
conclude kuwa ni maneno ya mama mkwe??? Unajua wanadamu tu
wagumu sana kueleweka. Mwaka mmoja mdogo sana kuchokana au
kujuana vyema,take time chunguza wapi kuna tatizo. Mmoja
asiposhuka ndo ndoa ishaingia doa na shetani anajitwalia
utukufu.
Pole sana. Kaeni muongee muwekane sawa. Na huyo
kuongea kwa ujasiri kuwa muache atalea mwenyewe si
bure.
Sent from my HTC Phone
----- Reply message -----
From: "'ngupula' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
To: "Zablon Joseph" <jkiboga@gmail.com>,
<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani
hapo?
Date: Sat, Jan 24, 2015 17:00
Huyu jamaa ni muislam si ndio? No problem ...jichunguze sana
wewe mwenyewe binafsi....nafikir kama mkeo ni mbinafsi
ubinafsi wake ungeujua tangia mwanzoni.......na kama mkeo
anakuchukia sasa basi ujue pengine mama mke anachangia tu
yapo ya msingi kati yenu yanayomchukiza. ....ushairi wangu
ni kuwa kwanza mpotezee huku mkiwa naye.....take your
time....explore yourself.....na ukigundua kosa ni
lako....jirekebishe....na ikiwa kosa ni lake....mkubalie tu
akaenze maisha mapya....lkn wewe kaa peke yako aweza
akajirud baadae..............hata hivyo inaoenekana mkeo na
kipato kikubwa nawe unakitegemea kusonga mbele kimaisha....
kama ni hivyo.. kwanza jikomboe kwa kumudu bajet ya
familia....achana na mapato yake....ukitaka
kuyatumia....then iwe kwa remote control and not
direct.....
Zablon Joseph <jkiboga@gmail.com> wrote:
Pole sana mke ni dhaifu hana maamuzi yake na
nyumba yenu inaongozwa na mama mkwe, jinasue mapema ila
simamia malezi ya mwanao kwa remote akifika umri muafaka
mchukue. upande mwingine hadi kufikia hapo ni wazi kuwa
awali ulipuuza maono yako..!
On Jan 24, 2015 11:55
AM, "Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com>
wrote:
Hapo iko shughuli kwani ukishaoa kwenye
nyumba ya mama haya ndio matatizo kwani atataka aongoze
nyumba yako kwa remote control. Kama mkeo kadiriki
kusema uwazi kuwa anaichukia ndoa yako basi huna la kufanya
kwani kuishi kwenye ndoa ya huzuni na karaa haina
haja. Ningekushauri uende na mkeo kwa mama yake ueleze
aliyokuambia mkeo na kama mama mkwe atakuwa anakubaliana a
maamuzi ya mkeo ndoa kwishne. Mshirikishe msimamizi wa
ndoa na ndugu yako wa karibu katika msiba huu. Pole
sana hii ndio dunia na hii ni baadhi ya mkenge unaoweza
kutokea mbele ya kila binadamu yeyote.
Herment
Date: Sat, 24 Jan 2015 00:47:05 -0800
From: jumamzuri@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani
hapo?
NAOMBA
USHAURI WAKO MWANANDOA MWENZANGU:Nimeoa
mwaka mmoja uliopita na kubahatika kupata mtoto mmoja.Tatizo
linaloisibu ndoa yangu ni kwamba mke wangu ni mbinafsi
vibaya sana,awali changu chake ila cha kwake usiguse,pia ni
kiburi sana hataki umuelekeze chochote kile sasa hivi
inakuwa ugomvi.Baada ya kuchunguza mama Mkwe ndio Mwalimu wa
mke wangu kuhusu matatizo yote hayo nikampa ukweli wife kuwa
tuna mtoto wa miezi 8 leo unaleta vurugu tuachane kwasababu
ya maneno ya mama ako akajibu anachukia ndoa yangu anatamani
muda wowote nimuache na yupo tayari mtoto atalea
mwenyewe.
Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo??
Falhan
Rahul
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

To unsubscribe from this group and stop receivin
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment