Sunday, 18 January 2015

Re: [wanabidii] URAIS 2015 - JANUARY YUSUF MAKAMBA

Hapana shaka, mwenye tuhuma ambazo hazijawahi kusikika hadharani, aweke na ushahidi.
Kwa Nyalandu naweza kukubali. Ninaamini pasina shaka anayafanya mengi ndani ya nchi, tena in his capacity as Minister for Natural Resources & Tourism, kwa maslahi ya rafiki zake, hasahasa Wamarekani.
Haya yanaandikwa kila siku magazetini.

Jabir+
 
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, January 18, 2015 7:10 PM
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - JANUARY YUSUF MAKAMBA

...Wengi waliotangaza nia moja ya vitu ambavyo tuwa assess ni mitizamo yao kimaandishi kwenye makala,vitabu au hata safu wanazoandika kwenye magezeti au ku publish...Nashangaa ni mmoja tu ambaye ni msomaji na mwandishi wa makala na sasa amekuja na kitabu Mh January Makamba..Ni kijana mdogo mzuri kichwani pia na maono na kuonesha itikadi yake na falsafa kwenye kitabu chake kipya.
...Wengine sijaona anayeandika hata makala hii inaonesha kuwa wengi ni maneno zaidi hata kusoma vya inspirational books au harakati za ukombozi hakuna.
....Simanishi kuwa wengine hawana uwezo wala huyu niliyemtaja ampigia chapuo hapana ni baada ya kusoma kitabu chake..

On Friday, January 16, 2015 at 6:16:29 AM UTC+3, Juma Mzuri wrote:
Kitabu cha mazungumzo kati yangu na Padre Privatus Karugendo kuhusu‪#‎TanzaniaMpya‬ sasa nipo mtandaoni. Ukitaka kusoma majibu ya kila swali na kuchangia maoni yako au kusambaza kwa mwenzako bofya:www.tanzaniampya.com Na ukitaka kupakua kitabu kizima bofya hapa:www.tanzaniampya.com/ maswali40.pdf

On Monday, November 17, 2014 at 6:53:48 PM UTC+3, fadhil fadhil wrote:
Kaka leta ushahidi kama Makambo na Zitto wanatumiwa na mashirika ya kijasusi, isije kuwa siasa za maji taka!
On Jul 6, 2014 3:05 PM, "Juma Mzuri" <juma...@gmail.com> wrote:
January Makamba anatuhumiwa kutumiwa na Mashirika ya Kijasusi ya Nje , kwenye mkumbo huu yupo Zitto Kabwe na Lazaro Nyarandu .

On Sunday, July 6, 2014 2:19:59 PM UTC+3, Herment Mrema wrote:
Hapo Mollel umetuacha hoi.  "Lowassa is still young?" Kivipi? kiumri, kiakili, kimtizamo au kimkakati?.  Inabidi tukubaliane upya ujana na uzee maana yake nini yaani tuutafsiri ujana na uzee kwa vigezo vipi.

Mrema

Date: Sat, 5 Jul 2014 14:44:53 -0700
From: wana...@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - JANUARY YUSUF MAKAMBA
To: wana...@googlegroups.com

lowasa is still young

On Saturday, July 5, 2014 10:40 PM, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:

Lowassa na wastaafu wengine watamuachia agombee? Pamoja na uzee, bado people above 60 years wanautaka Urais-umugabe umetawala Afrika.
 
On Friday, 4 July 2014, 13:23, "hosea...@gmail.com" <hosea...@gmail.com> wrote:

Mollel, uko sahihi kabisa kwanza hajaongela atapambana vipi na rushwa ufisadi ujambazi wa fedha za umma, madawa ya kulevya na mihadarati, je anao ubavu wa kukimbizana na homa ya UKAWA? 

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: 'lesian mollel' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Date: Friday, July 4, 2014 2:34:19 AM GMT-0700
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - JANUARY YUSUF MAKAMBA

ah Makmba baaaado sana, ni uchu tu wa hawa jamaa, sasa ana tofauti gani na Dk Kigwa?
ma used to Ni haki yake lakini tujiulize, makamba ana uwezo gani wa kupambana na haya machangamoto ya nji hii(mrema used to pronounce) though kiukweli ni haki yake.
Pili je ni kwa kiasi gani amejichimbia mizizi hapa nchini,kujulikana, na strategies zake,je zina sound kuleta ukombozi kwa wananchi woote bila kujali wa CHINI  na wa juu?
Urais mgumu jamani, si uote tu ukimbilie...bora hata kina zitto washakomaa....makamba na kigwas baado hawajakwiva vzr banaaaaaah.......

On Friday, July 4, 2014 11:44 AM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:

True Ezekiel,na kwa kigezo hicho ndipo Sitta,Membe inaonekana hawafai ..ngupula

'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:

Mimi nionavyo kuitwa "a boy" siyo tatizo, shida iko katika uwezo wa kuiongoza nchi hii. Tungekuwa na vigezo tukaviweka hapa kasha tukaanza kumpima mtu against hivyo vigezo ingekuwa jambo mwafaka kuweza kujua kama anaweza au la.

Kimtizamo kwa hali ilivyo kwa sasa ili kuwaweka watanzania katika msitari ili wafanye kazi, waache uzembe na kutafuta michongo ya haraka haraka ambayo huwafanya kuishia pabaya, hatuhitaji " a moderate President".
 
K.E.M.S.

On Friday, 4 July 2014, 8:42, Bariki Mwasaga <bmwa...@gmail.com> wrote:

Sawa mzee "Kaunda"

2014-07-04 8:37 GMT+03:00 mngonge <mng...@gmail.com>:

Inawezekana kwako he is no longer a boy lakini kwangu is just a boy. Kama ulisikia speech ya rais wa zamani wa Zambia mzee Keneth Kaunda wakati wa mazishi ya Mzee Madiba basi usingeshangaa January kuitwa  "a boy" . Katika speech hiyo rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete aliitwa a young boy from Tanzania na mzee Kaunda. Ina maana alidhalilishwa? Mbona sijakusikia ukilalamika?  Bahati mbaya hapa jamvini hatujuani umri, to me January is a young boy
>
>
>
>
>2014-07-04 8:26 GMT+03:00 Bariki Mwasaga <bmwa...@gmail.com>:
>
>He is no longer a boy siyo vibaya kuheshimu utu wa mtu.
>>On Jul 4, 2014 8:22 AM, "mngonge" <mng...@gmail.com> wrote:
>>
>>Is that boy serious or joking? I suspect he has something fishy
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>2014-07-04 6:54 GMT+03:00 'Ngupula GW' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>:
>>>
>>>Politic nzuri kwa ninavyomuona yeye,kwanza anajitahid kwenda na makundi yote...pia hayuko extreme sana katika mambo yake,tatu anajenga hoja zake vizuri. Tatizo kubwa hajaelewa kuwa young generation hawaamini tena vijana...
>>>>
>>>>
>>>>Nicomedes Kajungu <nicom...@gmail.com> wrote:
>>>>
>>>>
>>>>Ngupula
>>>>Polics nzuri ndo ikoje?
>>>>On Jul 3, 2014 10:24 PM, "'Ngupula GW' via Wanabidii" <--
>>>>Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>>> 
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsub...@googleg roups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>> 
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsub...@googlegroup s.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/d/op tout.
>>>>

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsub...@googlegroup s.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsub...@googlegroup s.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/op tout.

wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .

For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment