We Ngupula lazma utulizane akili yako. Unaanza kukasirika kama vile January Makamba alikuibia mke. Tulia, jadili hoja.
Tena, hakuna aliyesema Makamba anafaa. Ujinga wako tu unakuandis udhani tayari ana waungaji mkono hapa. Umezungumzia upole ni udhaifu, hii ndio hoja niloishika mimi. Kwamba mpole hafai kuwa kiongozi, this is incredible not true. na kwa hapo wewe ndio mawazo yako hayana mantiki, only unadhihirisha chuki ulonayo kwa watu aina ya Makamba, umeshajionesha unakolenga.
Hutaki kuyaona makosa ya Nyerere, Mkapa. You are not a serious man.
Nakwambia mtu mpole ni articulated. Ana nafasi ya kufikiri, usije ukadhani mpole anakuwa mpole hata katika kufikiri, waulize wajuzi wa psychology. Mtu mkali ni mkurupukaji tu. Nimekwambia watu wakali ndio wanaopiga watoto wao mpaka kuwachanachana. Wapole wanafikiri sana.
Hutaki discussion hii unaanza kutukana. Muflisi mkubwa.
It remains to be seen, Nyerere aliboronga kwa mengi, kama alivoboronga kijana wake Mkapa, tunapozungumzia style of leadership. Nipe ya Mzee Mwinyi, ila usije na hisia na dhana hapa.
Jabir+
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, January 18, 2015 6:57 PM
Subject: Re: [wanabidii] Nimemaliza Kumsoma January..nianze sasa kuyachambua mawazo ya January...
Reuben...ujumbe wa Jabir hauna mantic yeyote katk ninalolizungumza. ..kiongozi ni lazima uwe na uwezo wa kikaripia.. na karipio lako ni sheria.. Baba huwez kuwa unaongea na mtoto aliyepatia mimba nyumbanj halafu ukawa unacheka .. kisa uonekane una busara.. ni ujinga huo. Mungu mwenyewe tunajifunza kuwa ni mpole kama mwanakondoo lkn ni mkali kama simba. . Hawa watu slakeslake hawatufai. Tanzania inamuenzi Sokoine...Nyerere...kwa nini...ni kwa sababu walikuwa watu wenye msimamo na wakali. Ukali wao kwa maslahi ya nchi ndio ukazaa uzalendo. . Makamba kuwa rais wa Tz.. kifikiria hivyo tu ni udwanzi. Ameperfomu wapi? Ana distiction ipi?.. Nyie vipi?mmekosa ya kuja kutuandikia hapa...au ukimya wetu ndio ujinga wetu?...Ngupula.
'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Exactly Yunus;
Naunga mkono ujumbe wako kwa mantiki yake.
Lakini sio kwamba namuunga mkono makamba.
Reuben
Sent from Huawei Mobile
'jabir yunus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: Alade Maluli <mnyilula@gmail.com>; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, January 18, 2015 1:51 PM
Subject: Re: [wanabidii] Nimemaliza Kumsoma January..nianze sasa kuyachambua mawazo ya January...
'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Exactly Yunus;
Naunga mkono ujumbe wako kwa mantiki yake.
Lakini sio kwamba namuunga mkono makamba.
Reuben
Sent from Huawei Mobile
'jabir yunus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ngupula unakosea sana.
Si kweli kwamba mtu mpole huvurunda. Si kweli hata kidogo.
Faida ya mtu mpole ni kujipa nafasi ya kutafakari, hakurupuki. Akijipa nafasi ya kutafakari, kabla ya kutenda lolote, kuamua lolote, anakuwa ktk nafasi nzuri vilevile ya kuamua vema, kusema lisiloweza kumuathiri mwingine.
Mtu mkali ndiye mwenye uwezekano sn wa kukurupuka kimaamuzi. Mkali maana yake hana utulivu wa kutenda kitu. Wakali ndio wale wanaopiga watoto zao kwa kuwa amenyokoa kipande cha nyama, shilingi mia, amevunja kioo cha dirisha. Unapiga mpaka unamjeruhi. Uncalled for.
Kama January mpole, stands good chance kuwa kiongozi mzuri.
Jabir+
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: Alade Maluli <mnyilula@gmail.com>; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, January 18, 2015 1:51 PM
Subject: Re: [wanabidii] Nimemaliza Kumsoma January..nianze sasa kuyachambua mawazo ya January...
Watu aina ya January kwa kawaida ni watu wapole na wanapoamua kuwa wakali basi huvurunda zaidi. Tanzania ya 2015 inahitaji mtu mkali kwa asili yake. Watu wa jinsi hiyo si rahis sana kuwapata kutokea Zanzibar...
Alade Maluli <mnyilula@gmail.com> wrote:
Alade Maluli <mnyilula@gmail.com> wrote:
Kitabu kinapatikanaje?
On Jan 18, 2015 10:42 AM, "Maggid Mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
... kwa kadri ya uelewa wangu.
Ndugu zangu,
Nilianza kuelewa kusudio la kitabu kwenye ukurasa wa pili tu pale January anaposema;
" Kuomba Uongozi wa nchi sio harakati binafsi na wafuasi wako kupata vyeo. Ni dhamana kubwa ya kujenga mustakabali wa nchi na kuwaunganisha Watanzania wote. Kwa hiyo uamuzi wa kugombea lazima uupe heshima na nafasi inayolingana na dhamana yenyewe."- Januar --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment