utumwa bado haujaisha. maisha ya wasichana hao uliowaita wabichi ni kupenda kuishi juu ya uwezo wao na familia yao.
Wazee hawabugudhi na mwisho wa siku anarudi kwa mkewe. JE kuna penzi la kweli ni ngumu kwa kweli zaidi ya mzee kuwa mtatuzi.wa kila jambo lihusulo uchumi sioni mapenzi
On Jan 18, 2015 10:09 AM, "Abdalah Hamis" <hamisznz@gmail.com> wrote:
-- Utamuona msichana mbichi kabisa mrembo nadhifu anatoka out na mtu mzima ambaye kimtazamo ni baba yake au babu yake kabisa, watu wanasema labda ni kwasababu gold digger na hawana mapenzi kwa hao watu wazima wengine wanasema ni kwa sababu ya pesa tu za hao watu wazima. Lakini kiukweli kuna kitu tofauti na mawazo ya watu wengi kwa hawa wadada kuwa na mahusiano na watu wazima na wala siyo sababu za pesa za hao watu wazima.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment