Tuesday, 27 January 2015

Re: [wanabidii] RAIS AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI

Comrades;
Hii inji mi naona trend flani ya uongozi,unaona anakuja mtu anajitahidi kujenga uchumi na kuimarisha mambo,anayefuta majanga matupu,yeye ni kutumia na kubomoa tu.
Hapa Wizara ya uchukuzi ilianza kurejesha imani sio kwa Watz tu bali hata wateja wetu inji jirani,lakini sasa tunarudi kulekule tena inaweza kuwa mbaya zaidi.
Leo nimesikia RFA kipindi cha magezetini wanasema siri ya kubadilishwa Six na Kyembe hadharani,tusaidieni mliokwishapata taarifa hizi.
Kama ni mambo ya utendaji its okey,lakini kama ni visiasa na ubinafsi inji haendi kabisa.
 
Reuben

On Tuesday, January 27, 2015 10:22 AM, Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com> wrote:

Sita ni mzee wakupiga jalamba tuu lakini sio mchapakazi kama Mwakyembe. Hio wizara ilitakiwa Mwakyembe aendelee nayo maana kuna uozo na uvundo kwenye hio wizara. Wapo wezi kibao bandarini na sasa ndio watafanya sherehe wakisikia Mwakyembe kaondolewa. Mtu unaagiza gari kupitia bandari ya Dar es Salaam likifika tuu bandarini jamaa wana nyofoa matairi mara redio mara set mirrors . Ukiuliza bandarini unaambiwa ndio system ilivyo. Mwakyembe alipoingia kwenye hio wizara alikomesha huo upumbavu. 
Sasa ndio tutaikimbia bandari ya Dar. Twarudi Mombasa maana TZ majanga kila kukicha.

On Monday, January 26, 2015, 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ukweli kwa Mwakyembe Mh. kachemka. Tena si kuchemka tu bali ni kutokota kabisa. Sita haiwezi wizara hiyo. Haiwezi kabisa.

On Monday, January 26, 2015 12:29 AM, 'Bishop Kulwajz' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Una maana aliyekuwepo huko kuna majukumu makubwa atapewa,Waha na wanyamwezi wajiandae kwenda kwa miguu kwao hakuna cha treni kujengwa na huyu choka mbaya aliye shindwa kujenga barabara jimboni mwake kwa miaka30 ya ubunge wake,Kikwete kawamaliza watani wake.

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Mwakyembe hana budi kwenda huko ili aonje mahusiano ya kimataifa kabla ya majukumu makubwa yajayo
>--------------------------------------------
>On Sat, 1/24/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] RAIS AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Saturday, January 24, 2015, 11:36 PM
>
> Makyembe atampelekaje 
> africa mashariki jamaniiii wkt ni jembeee au kagusa maslahi
> yao, sasa mzee sitta anaweza nini wakati kashajichokea zake
> kwann asingempumzisha? yetu macho wacha tuwaone week hiii
> hii inayoanza huenda nao wakajiuzulu tena
>
>       
> From: Yona
> Maro <oldmoshi@gmail.com>
>  To: Wanazuoni
> <wanazuoni@yahoogroups.com>; wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>;
> "wanataaluma@googlegroups.com"
> <wanataaluma@googlegroups.com>
>  Sent:
> Saturday, January 24, 2015 8:47 AM
>  Subject:
> [wanabidii] RAIS AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA
> MAWAZIRI
>   
> RAIS
> AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI
> Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete
> amefanya mabadiliko la baraza la mawaziri kwa
> kuwateua mawaziri wapya wanane na manaibu waziri
> watano.Akitangaza Mabadiliko hayo Katibu
> Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema wapya waliongia
> katika Baraza hilo ni Anne Kilango Malecela na Charles
> Mwijage.Mara baada ya
> kutangazwa, Mawaziri hao wameapishwa na Rais Jakaya Kikwete
> ambapo wameapa kuzitumikia nyazifa zao mpya kwa uaminifu na
> kuilinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano.Mabadiliko hayo yako kama
> ifuatavyo:-George
> Simbachawene aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
> Maendeleo ya Makazi ameteuliwa kuwa kuwa Waziri wa Nishati
> na Madini.Mary Nagu
> aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na
> Uwezeshaji) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
> (Mahusiano na Uratibu).Eng. Christopher Chiza aliyekuwa Waziri Kilimo,
> Chakula na Ushirika ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya
> Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji).Dkt Harrison Mwakyembe aliyekuwa
> Waziri wa Uchukuzi ameteuliwa kuwa Waziri wa Ushirikiano wa
> Afrika Mashariki.Wiliam
> Lukuvi aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera
> Uratibu na Bunge) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na
> Maendeleo ya Makazi.Stephen Wasira aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
> , (Mahusiano na Uratibu) ameteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo,
> Chakula na Ushirika.Samuel Sitta aliyekuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
> Mashariki, ameteuliwa kuwa Waziri wa Uchukuzi.Jenister Mhagama aliyekuwa Naibu
> Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ameteuliwa kuwa Waziri
> wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na
> Bunge)Stephen Maselle
> aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini ameteuliwa kuwa
> Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)Angela Kairuki aliyekuwa Naibu
> Waziri wa Katiba na Sheria ameteuliwa kuwa Naibu Waziri
> Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.Ummy Mwalimu aliyekuwa Naibu Waziri,
> Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) ameteuliwa kuwa Naibu
> Waziri wa Katiba na Sheria.Anne Kilango Malecela mbunge wa Same Mashariki
> ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
> Ufundi.Charles Mwijage
> Mbunge wa Muleba Kaskazini ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa
> Nishati na MadiniJe una
> maoni gani kuhusu mabadiliko
> haya?
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> For more option

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment