Kunyaranyara, Ezekiel
Kumdharau mtu ni kumshushia hadhi yake na kumfanya asjiamini. Mtu asiyejiamini hawezi kufanya jambo lolote maishani, na hili nitalipinga kwa nguvu zangu zote. Hawezi kukaa kwenye ofisi ya serikali inayolipiwa na walipa kodi halafu ukawaonesha dharau walipa kodi hao hao, SIKUBALIANI NAWE KWA HILI. Hawezi kutuambia kwamba Watanzania wana mitaji ya Juice tu, eti nimsamehe kwa sababu ya Kabila lake HAPANA. Ni mtazamo finyu tu wa huyo Profesa. Watanzania wamepewa raslimali na Mungu, huo ndio mtaji wao. Tunataka viongozi watakao lijua hili na kulifanyia kazi ili kila mtanzania mwenye matarajio ya kuwekeza kwenye rasilimali za Taifa aweze kufanya hivyo na wale walio wengi maslahi yao yalindwe.
Inasemekana kwamba kupitia TPDC masilahi ya watanzania yanalindwa, ni kwa vipi? wakati mikataba yote inayoingiwa na TPDC ni siri kubwa hata waishiwa Wabunge wetu marufuku kuiona??
2015-01-28 8:02 GMT+03:00 'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Masanja, EzekielNimepitia mchango wako hapa, mimi ninafikiri Muhogo alikuwa mojawapo ya viongozi wanaojali sana maslahi ya wananchi wake kwa ujumla wake na si mtu mmoja mmoja. Hilo hakuna mtu anayelibishia nafikiri.Kwa wengi wetu hoja ni lile wanaloita dharau na kejeli. Binafsi hili naliona kwa mtizamo ufuatao. Watanzania tunapenda sana kusifiwa hata pale ambapo sifa haihitajiki. Kuna baadhi ya makabila ambayo tunayajua sifa yao kubwa ni kutaka sifa.Kuna makabila ambayo hata wewe ungezaliwa huko ungekuwa kama wao walivyo. Muhongo ndivyo alivyo. Hajui kuongopa, ukweli anausema kama ulivyo na hii ni kwa asili yake na kabila yake pia.Kwa hiyo kama ni kumpima mtu nafikiri tungempima katika katika kutekeleza majukumu yake kwa umma na siyo tabia zake ambazo mimi naona hazikuathiri utendaji wake.Kazi aliyokuwa akiifanya ni ya kulinda mali ya umma isije kuangukia mikononi mwa wachache.Watanzania tuna sifa kadhaa kama watz. Moja ni kuhusudu watu wa nje kuliko sisi wenyewe, pili kudharau kila kazi inayofanywa na watz wenzetu, tatu wavivu wa kufikiri na kutenda, nne waongo na tano tunashawishika kirahisi hasa kwa kuwa tunataka watu wengine wafikiri kwa niaba yetu.K.E.M.S.
From: Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 28 January 2015, 6:49
Subject: Re: [wanabidii] PROF: SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNE
--Hosea nashukuru sana kwa mchango wako mzuri. Katika uchambuzi wako, umeeleza vizuri jinsi rasilimali za UAE zinavyolindwa na mfalme kwa vile ni za kwake, je hizi huku kwetu ni za nani na kwa nini haziwezi kulindwa? Hapa kwetu, mikataba yote inayohusu rasilimali ni ya siri, unawezaje kuwa na uhakika ya kinachoendelea nyuma ya pazia?Mimi sioni shida kwa watanzania kuendesha/kumiliki miradi ya gesi na madini. Kwa hiyo unasema imilikiwe na wageni tu? shida ni mipango yetu mibovu iliyojaa upendeleo na ubinafsi kwa karibu viongozi wote waliowekwa kwenye ngazi za kufanya maamuzi. Maudhui ya wasilisho langu lililopita ni kutokukubaliana na viongozi wote wanaowadharau Watanzania kwamba hawawezi chochote ilihali ni jukumu la viongozi hao hao kuweka mazingira wezeshi kwa hawa Watanzania kupitia mifumo ya elimu na miundombinu mbali mbali. Kwa hiyo kama hawa Watanzania wameonekana hawawezi chochote basi hata hao viongozi hawafai.2015-01-27 23:00 GMT+03:00 Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>:masanja kaka yangu naomba nitofautiane na wewe kidogo. uarabuni ukimaanisha UAE rasilimali zote ni zq mfalme hivyo huzilinda kama mali zake binafsi hivo usitegemee azifisadi. tofauti na kwetu miezi minane ijayo serikali yote iliyopo haitakuwa madarakani kuanzia rais wabunge wakuu wa mikoa na wilaya na rais ni uhakika hatarudi ikulu kwa mujibu wa katiba hivyo hawa wanaweza fanya lolote lisilokuwa na maslahi.kuhusu uwekezaji hilo tusilete ubabaishaji hao unaosema wametumia rasilimali vizuri ni kuwa state companies ndo zimeshika hatamu. makampuni kama bp statoil gulfoil ni mashirika ya umma na mengine ni PLC.kwetu nitofauti watu wanataka viwanja wawekeze waneemeke na familia zao. sera unazotaka kuzitetea ndo zimezifikisha nchi kama naigeria algeria syria libia misri hapo zilipo. familia chache zimejimilikisha rasilimali na wananchi kubaki masikiniona misri ilivyo na matajiri wengi lakini ndo vurugu haziishi, unadhani wanaroho za shetani? hapana ni mambo kama haya wanayolilia matajiri wetu.kwangu mie naunga mkono rasilimali zetu zimilikiwe kwa pamoja kupitia mashirika ya umma kama TPDC na STAMICO. kwa anayependa kushiriki katika biashara hiyo basi anunue hisa. pia naunga mkono mpango ulioasisiwa na muhongo kusomesha vijana wetu katika secta hii ili waje kushika hatamu za uongozi katika mashirika yetu ya umma.hao unaowadhania ni wazawa katika viwanda vyao wameajiri wahindi na wakenya waswahili ni walinzi madereva na vibarua.On Jan 27, 2015 1:08 PM, "Ezekiel Massanja" <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:----Ukweli huyu Profesa alinikera sana kwa tabia yake ya kutojua mambo. Aliposema kwamba watanzania hawana mitaji ya kuingia kwenye soko la gesi kwa sababu ya mitaji hilo linaweza kuwa kweli, na pia akasema kwamba wanaweza kuwekeza kwenye miradi ya kutengeneza Juice tu, hili ndilo lililoniudhi sana pamoja na kwamba ni la kweli. Swali ni kwamba, NANI KAWFANYA WATANZANIA WAWE HIVYO?????Kule uarabuni, kama wewe ni mgeni ukitaka kuwekeza lazima uwe na mbia ambaye ni mwarabu na umpe share, hili ni suala la policy, na wananchi wanafaidi raslimali zao bila kujali wana mitaji au elimu kiasi gani. Ni kutokana na policy kama hiyo wananchi wa huko wameweza kuwa na mitaji na kununua technologia na kuwekeza wao wenyewe bila kutegemea wageni.Kuna siku nilimshuhudia Rais mstaafu Mkapa akimuuliza Engineer wa ujenzi kwenye daraja la Mkapa kama kuna engineer mtanzania angeweza kujenga hilo daraja na jamaa akajibu kwamba hakuna baada ya Rais kurudia mara tatu kumuuliza suali hili hilo.Ninachotaka kuonesha hapa ni kwama Profesa amejaa kiburi, majivuno na dharau na hii ipo kwa viongozi wetu wengi, kudharau watanzania kwamba hawawezi chochote wakati wenyewe ndio walitakiwa kuweka mipango mizuri ya elimu, na uwezeshaji ili baada ya muda, watanzania hawa waweze. Badala yake viongozi haohao wanawakatisha tamaa watanzania na kuwaona kwamba kuwa si lolote si chochote!!!Kwenye uchaguzi ujao, tuwatake Watanzania waangalie kwa umakini sera za wagombea na vyama ili wachague viongozi watakao waheshimu na kuwaendeleza na siyo hawa ambao kila kukicha ni kashfa za wizi tu.2015-01-24 16:49 GMT+03:00 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>:--PROF: SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNEKama mtanzania wa kawaida nimesikitishwa na taarifa za kujiuzuru kwa Prof. Sospeter Muhongo waziri wa nishati na madini ni wazi kwamba maamuzi haya yamekuja kutokana na shinikizo la watu wanaolazimisha kusikia wanachotaka kusikia na kuukataa uhalisia. Huu ni ushindi kwa baadhi ya mabwanyenye wanaotaka kunufaika na gas kwa kigezo cha uzawa ilhali hawana sifa na uwezo wa kuwekeza, watu ambao wanamaslahi yao binafsi ila wakatumia rasilimali zao kuuaminisha umma kuwa wanapambana kwa maslahi ya Taifa.Ni huzuni kubwa, itachukua miaka mingi sana kwa Wizara hii kupata waziri thabiti kama Prof. Muhongo, kitendo hiki kinaonesha wazi kwamba ukiwa na msimamo wa kupambana na mabepari huna nafasi katika kuiongoza Tanzania. Wasomi wanaipenda nchi yao ila wanakatishwa tamaa kwani siasa za Tanzania hazitoi fursa kwa wasomi kuzitumia taaluma zao objectively. Mabepari wanapambana kuhakikisha wazalendo wanafutika katika mfumo wa serikali.Ili uonekane mwanasiasa bora Tanzania Muhitimu wa kidato cha nne anataka kusikia kwamba anao uwezo wa kufundisha chuo kikuu kwasababu ni mzawa. Watanzania wamezowea viongozi wanaowadanganya na kuwapa moyo hata kwenye vitu ambavyo haviwezekani.NITAMKUMBUKA MUHONGO KWA:1. Uwazi wake kwa Watanzania bila kujali mihemko ya walioukataa ukweli
2. Kusimamia kazi ya kusambaza umeme vijijini kwa kasi ya ajabu
3. Kudhibiti tatizo la mgao wa umeme
4. Uwezeshaji kwa wachimbaji wadogo
5. Kuweka mbele maslahi ya Taifa dhidi ya maslahi binafsi
6. Ujasiri wa kukata mirija ya wanyonyaji wizarani bila kujali utajiri wao.
7. Kusimamia kigezo cha kuwa na mtaji kwenye mradi wa gas
8. Ni waziri ambaye bajeti zake zilikuwa clear zimejaa miradi ya msingi na si porojo za kisiasaKutokuwa tayari kuwadanganya watanzania na kuwapa matumaini kwa vitu ambavyo haviwezekani, kukata mirija ya mapepari uchwara wa ndani, kuwana msimamo kwa anayoyaamini haya ndiyo yaliyomuondoa Muhongo. Watanzania tumekubali kuwapa ushindi ni watu wabadhirifu waliomuona Prof. Muhongo ni kikwazo kwao kwasababu walinyimwa vitalu vya familia kwa maslahi ya umma.Any way Hongera kwa kazi nzuri, hongera kwa msimamo kwa tunaotambua uwezo wako tumesikitishwa na jambo hili. Hakika ulikuwa waziri wa kutiliwa mfano wewe ni shujaa uliyesimamia na kuitendea haki taaluma yako na kukataa kuburuzwa na wababaishaji.Kwa hali hii tusitegemee wasomi wengine wa Tanzania ambao wanafanya kazi kwenye mashirika makubwa duniani kukubali kuziacha nafasi zao kwa kigezo cha uzalendo wa kuja kuisaidia nchi yao ilhali nchi inaendeshwa kutokana na mihemko na mfumo haupo tayari kuona wala kusikia uhalisia wa mambo.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment