Tuesday, 27 January 2015

Re: [wanabidii] PROF.IBRAHIM LIPUMBA YUKO MIKONONI MWA POLISI !

Msisahau falsafa ya Polisi. UTII WA SHERIA BILA SHURUTI

2015-01-28 10:18 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ukianzia mwanzo pale Lipumba anapowatuliza wanachama wake na kuwataka wasiandamane. Na kuwa anakwenda uwanjani kuwaomba waliokwishakwenda uwanjani watawanyike maana hawakujua kuwa mkutano hawatakuwepo utaelewa vitu viwili.
1) Lipumba ni kiongozi wa watu na kwa manufaa yao. Wananchi ndio anaowajali kuliko heshima za kisiasa.
2) matendo yaliyotendwa na Polisi yanaweza kutafsiri vyovyote. Uwezo wa kutumia akili wa polisi waliokuwepo ni mdogo sana. Mdogo sana kwa sababu huwezi kusingizia AMRI YA MKUBWA. Hakuna amri inayoweza kukufanya wewe binafsi usisome mazingira na kuamua la kufanya. Sidhani kuna amri inayosema ukitoka na mabomu ya machozi lazima uyatumie.
Unaweza kusema serikali yetu haina tofauti na ile iliyokuwepo Afrika ya Kusini. Serikali ya makaburu. Kama huwezi kusema hivyo lakini lazima ufikiri hivyo labda kama wapangaji kichwani walihama.

Unaweza kuhisi tun\kwenda wapi. Kama serikali hii inaweza kutumia nguvu kubwa kuwakamata watanzania wanaoandamana kuyakumbuka mauaji ya 2001 na serikali inaonyesha inaweza kuendelea kuua. Inafanya hivyo huku magereza kuna watendaji wake wadogo wanashikiliwa kwa kupewa rushwa. Ni hivyo wakati watu wawili waliotoa rushwa wako huru na wanaweza kufanya apointment na rais na wakamuona na kujadili namna ya kuwaachia waliopewa rushwa.
Unaweza kufikiri Tanzania haina tofauti na nchi kama Bogota Colombia na nyingine ambazo viongizi wake lazima wawe watiifu kwa wamiliki wa viwanda vya madawa ya kulevya.

SINA UHAKIKA KAMA NAFASI IPO TENA YA KUTUMIA UCHAGUZI KUFANYA MABADILIKO. NI LAZIMA MAFISADI WANAOELEKEZA MAMBO WATAMUWEKA RAIS  NA KUUN DA SERIKALI.
Najionea huruma kuwa wanangu na wajukuu zangu watabaki wapi nikijiondokea.
Inauma sana
--------------------------------------------
On Wed, 1/28/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] PROF.IBRAHIM LIPUMBA YUKO MIKONONI MWA POLISI !
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Wednesday, January 28, 2015, 6:46 AM

 It just shows freedom
 of assembly in Tanzania is artificial!

 On Wed, Jan 28, 2015
 at 3:57 AM, Projectus Ishengoma Lugumalila <ishengoma1978@gmail.com>
 wrote:
 POLISI WAANGUSHA KIPIGO KATIKA
 MAANDAMANO YA CUF
 WILAYA YA TEMEKE,JIJI DAR ES SALAA !

 PROF.IBRAHIM LIPUMBA YUKO MIKONONI MWA POLISI

 Je ! nani wa kulaumiwa ? au ndio hii demokrasia ?

 http://www.voaswahili.com/media/all/mitaani/latest.html?z=3107
 (Video kwa niaba ya VOA-Kiswahili)

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment