Naam Lushengo. Utii ambao Lipumba alikuwa anatekeleza. Sasa hii zuio la kumzuia asiende kuwaelekeza wafuasi wake watii sheria lilimaanisha nini?
--------------------------------------------
On Wed, 1/28/15, Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] PROF.IBRAHIM LIPUMBA YUKO MIKONONI MWA POLISI !
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, January 28, 2015, 10:31 AM
Msisahau
falsafa ya Polisi. UTII WA SHERIA BILA SHURUTI
2015-01-28 10:18 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ukianzia
mwanzo pale Lipumba anapowatuliza wanachama wake na kuwataka
wasiandamane. Na kuwa anakwenda uwanjani kuwaomba
waliokwishakwenda uwanjani watawanyike maana hawakujua kuwa
mkutano hawatakuwepo utaelewa vitu viwili.
1) Lipumba ni kiongozi wa watu na kwa manufaa yao. Wananchi
ndio anaowajali kuliko heshima za kisiasa.
2) matendo yaliyotendwa na Polisi yanaweza kutafsiri
vyovyote. Uwezo wa kutumia akili wa polisi waliokuwepo ni
mdogo sana. Mdogo sana kwa sababu huwezi kusingizia AMRI YA
MKUBWA. Hakuna amri inayoweza kukufanya wewe binafsi usisome
mazingira na kuamua la kufanya. Sidhani kuna amri inayosema
ukitoka na mabomu ya machozi lazima uyatumie.
Unaweza kusema serikali yetu haina tofauti na ile
iliyokuwepo Afrika ya Kusini. Serikali ya makaburu. Kama
huwezi kusema hivyo lakini lazima ufikiri hivyo labda kama
wapangaji kichwani walihama.
Unaweza kuhisi tun\kwenda wapi. Kama serikali hii
inaweza kutumia nguvu kubwa kuwakamata watanzania
wanaoandamana kuyakumbuka mauaji ya 2001 na serikali
inaonyesha inaweza kuendelea kuua. Inafanya hivyo huku
magereza kuna watendaji wake wadogo wanashikiliwa kwa kupewa
rushwa. Ni hivyo wakati watu wawili waliotoa rushwa wako
huru na wanaweza kufanya apointment na rais na wakamuona na
kujadili namna ya kuwaachia waliopewa rushwa.
Unaweza kufikiri Tanzania haina tofauti na nchi kama Bogota
Colombia na nyingine ambazo viongizi wake lazima wawe
watiifu kwa wamiliki wa viwanda vya madawa ya kulevya.
SINA UHAKIKA KAMA NAFASI IPO TENA YA KUTUMIA UCHAGUZI
KUFANYA MABADILIKO. NI LAZIMA MAFISADI WANAOELEKEZA MAMBO
WATAMUWEKA RAIS NA KUUN DA SERIKALI.
Najionea huruma kuwa wanangu na wajukuu zangu watabaki wapi
nikijiondokea.
Inauma sana
--------------------------------------------
On Wed, 1/28/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] PROF.IBRAHIM LIPUMBA YUKO
MIKONONI MWA POLISI !
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, January 28, 2015, 6:46 AM
It just shows freedom
of assembly in Tanzania is artificial!
On Wed, Jan 28, 2015
at 3:57 AM, Projectus Ishengoma Lugumalila <ishengoma1978@gmail.com>
wrote:
POLISI WAANGUSHA KIPIGO KATIKA
MAANDAMANO YA CUF
WILAYA YA TEMEKE,JIJI DAR ES SALAA !
PROF.IBRAHIM LIPUMBA YUKO MIKONONI MWA POLISI
Je ! nani wa kulaumiwa ? au ndio hii demokrasia ?
http://www.voaswahili.com/media/all/mitaani/latest.html?z=3107
(Video kwa niaba ya VOA-Kiswahili)
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment