Sunday, 18 January 2015

Re: [wanabidii] Nimemaliza Kumsoma January..nianze sasa kuyachambua mawazo ya January...

Ngupula unakosea sana.

Si kweli kwamba mtu mpole huvurunda. Si kweli hata kidogo.
Faida ya mtu mpole ni kujipa nafasi ya kutafakari, hakurupuki. Akijipa nafasi ya kutafakari, kabla ya kutenda lolote, kuamua lolote, anakuwa ktk nafasi nzuri vilevile ya kuamua vema, kusema lisiloweza kumuathiri mwingine.

Mtu mkali ndiye mwenye uwezekano sn wa kukurupuka kimaamuzi. Mkali maana yake hana utulivu wa kutenda kitu. Wakali ndio wale wanaopiga watoto zao kwa kuwa amenyokoa kipande cha nyama, shilingi mia, amevunja kioo cha dirisha. Unapiga mpaka unamjeruhi. Uncalled for.

Kama January mpole, stands good chance kuwa kiongozi mzuri.

Jabir+
 

From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: Alade Maluli <mnyilula@gmail.com>; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, January 18, 2015 1:51 PM
Subject: Re: [wanabidii] Nimemaliza Kumsoma January..nianze sasa kuyachambua mawazo ya January...

Watu aina ya January kwa kawaida ni watu wapole na wanapoamua kuwa wakali basi huvurunda zaidi. Tanzania ya 2015 inahitaji mtu mkali kwa asili yake. Watu wa jinsi hiyo si rahis sana kuwapata kutokea Zanzibar...

Alade Maluli <mnyilula@gmail.com> wrote:

Kitabu kinapatikanaje?
On Jan 18, 2015 10:42 AM, "Maggid Mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
... kwa kadri ya uelewa wangu.
Ndugu zangu,
Nilianza kuelewa kusudio la kitabu kwenye ukurasa wa pili tu pale January anaposema;
" Kuomba Uongozi wa nchi sio harakati binafsi na wafuasi wako kupata vyeo. Ni dhamana kubwa ya kujenga mustakabali wa nchi na kuwaunganisha Watanzania wote. Kwa hiyo uamuzi wa kugombea lazima uupe heshima na nafasi inayolingana na dhamana yenyewe."- January Makamba.
Nionavyo..
Mwanadamu unaweza kuazimia kufanya jambo kwa makusudio zaidi ya moja. Kuna makusudio makuu na madogo.
Hapa nayapona makusudio mawili makuu.
Mosi, January kupitia mwandishi ndugu yangu Privatus Karugendo, mapema kabisa mwa safari ya kitabuni anamweka wazi msomaji juu ya kusudio lake la kuwania urais.
Pili, Kwamba kitabu kinahusu mtazamo wa January juu ya Uongozi kwenye Tanzania ijayo. Na hapa January anaianza pia, safari ya kujipambanua. Swali la ni kwa namna gani anafanya vema kwenye kazi hii akiwa safarini, na ni kwa namna gani mimi kama msomaji naona tofauti au ningependa afafanue zaidi, ndio kazi niliyojipa mwenyewe. Kwa kusudio la kufanya mrejeo kwa nilichokisoma, na kusudio la kujifunza pia. Nanyi mna nafasi ya kuchangia mjadala ili sote tujifunze. Mwisho kabisa, nampa pongezi nyingi ndugu yangu January kwa kuamua kufanya mazumgumzo na ndugu Privatus Karugendo, mazungumzo yaliyozaa maandiko ya kwenye kitabu husika. Hiki chaweza kuwa kitabu rejea kwa wanafunzi wa Political Science...
Goodmorning!
Maggid,
Dar es Salaam.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@g
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment