Sunday, 18 January 2015

Re: [wanabidii] ESCROW NA WATUMISHI WA UMMA

Unatoa rushwa ku-influence decisions. Nauliza hawa waliokamatwa wame influence maamuzi yapi katika nafasi zao?
Kosa la rushwa sijaliona

On Jan 18, 2015 12:42 PM, "'anyosisye njobelo' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kweli mtoa rushwa akamatwe kwanza ndipo tujue nini kinaendelea na nchi yetu. Mbali na hayo naomba kujua ni kwa nini wahaya wengi ktk kundi hili na pia nisaidieni hiii VIP inaonyesha watu walikuwa na hisa huko kupitia kwa Rugemalila ila hawakutaka kujitambulisha na kama mchezo huo upo basi nchi imenyongwa maana VIP ilianzia kazi ya mchele ule wa CHEREKO CHEREKO uliletwa na EEC na ndiyo walishinda tenda ya kuusambaza hebu tupeni ukweli hili jambo si la muda mfupi

From: 'mwassa jingi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 16 January 2015, 11:33
Subject: [wanabidii] ESCROW NA WATUMISHI WA UMMA

Baada ya PCCB kuanza kuwapeleka mahakamani watumishi wa umma kwa tuhuma za kupata mgawo wa pesa za ESCROW ni dhahiri sasa tuhuma hizo ni za rushwa. Na pia kosa la rushwa huwa ni kwa mtoaji na mpokeaji kwa nini sasa wanakamatwa wapokeaji tu bila mtoaji ambaye anajulika naye kukamatwa? je sheria ya rushwa imebadilika? Tujadili
Mwassa.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment