NAIBU KATIBU MKUU CHADEMA AHAMIA ACT LEO.
------------------------------
Zanzibar.
Aliyekuwa naibu Katibu mkuu Wa Chadema Zanzibar, Kamanda Hamad Yusuph. Leo ameachana rasmi na Chama hicho na kujiunga na ACT - TANZANIA.
Hamad Yusuph ambaye amekuwa naibu Katibu mkuu CHADEMA- ZNZ kwa zaidi ya miaka 10 sasa , ameamua kuachana na Chama hicho na kujiunga na Chama makini kwa utetezi Wa wanyonge na usimamizi Wa Rasilumali.
Amepokelewa Leo na Katibu mkuu Wa ACT SAMSON MWIGAMBA.
hali hiyo imetokea siku chache tu baada ya chadema kufanya uchaguzi Wa ndani uliogubikwa na malalamiko ya uvunjifu Wa Demokrasia, ubaguzi na matumizi makubwa sana ya rushwa huku kete kuu ya uchaguzi huo ikiwa ni ukabila.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment