Wanabidii
Tunahitaji Raisi ajae awe mcha mungu, mwenye kuogopa Mungu, anajali utu, una uchungu na nchi yake, yuko tayari kufanya lolote jema la kuboresha maisha ya Mtanzania hata kama ni kuhatarisha maisha yake au ya familia yake' anachukia kutoka rohoni rushwa, anachukia msaada, mkweli, mwaminifu, jasiri, sio mnafiki, anachukia ufisadi, dhulma, uonevu, hana ubinafsi, hana tamaa ya kujilimbikizia mali ya kwake yeye binafsi au kupitia kwa ndugu jamaa na marafiki. Je Edo anazo sifa hizo? Mimi sidhani. Tuendelee kutafuta na kuendelea kuomba Mungu kwani bila baraka na kudra za mwenyezi mungu sisi hatuwezi kufanya lolote. Je tunaweza na sisi kumpata Thomas Sankara wa Tanzania?
Ninawakilisha
Herment A. Mrema
Date: Thu, 13 Nov 2014 08:17:12 +0000
From: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: Fw: [wanabidii] TAFAKARI, KISHA AMUA MWENYEWE, 2015!
To: wanabidii@googlegroups.com
From: 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Fw: [wanabidii] TAFAKARI, KISHA AMUA MWENYEWE, 2015!
Sent: Thu, Nov 13, 2014 7:48:01 AM
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Mollel umemsoma Ryoba mpaka mwisho? Edoo siyo! |
From: 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Fw: [wanabidii] TAFAKARI, KISHA AMUA MWENYEWE, 2015!
Sent: Thu, Nov 13, 2014 7:48:01 AM
sasa wanasayansi wameanza kuonesha njia ya nani atatufaa 2015 tunawapongeza sana , watanzania wanaelewa sana kipindi hiki na kwa mtindo huu na kwa majibu haya ya twaweza kweli sasa tutaweza na tutakua na kiongozi wa ukweli, tusifanye makosa, mh Rais waawamu ya tatu sir Ben mkapa nae ametuasa tusifanya makosa, chagua kiongozi shupavu, mwenye kufanya maamuzi magumu, ni nani ni bro EDOOOOOOOOOOO ----- Forwarded Message ----- From: mngonge franco <mngonge@gmail.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Wednesday, November 12, 2014 4:51 AM Subject: Re: [wanabidii] TAFAKARI, KISHA AMUA MWENYEWE, 2015! Ongeza na hili ' WAKATI WAKUBWA WAKIISHI MAISHA BORA NA KUPONDA RAHA WALALAHOI WASIOJIMBUA WAKO HOI BIN TAABAN WAKISHINDWA HATA KUNUA KANDAMBILI NA PANADOL 2014-11-12 12:30 GMT+03:00 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. |
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment