Thursday, 27 November 2014

Re: [wanabidii] Re:kumbe lowassa alionewa tu kashfa ya richmond

Ngulupa,
I feel your pain. Madudu aliyotufanyia Kikwete na familia yake naomba siku moja yaanikwe kama yalivyoanikwa ya mtangulizi wake.
em

2014-11-27 5:33 GMT-05:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ungejua moyoni mwangu ninachokiwaza......juzi tu nimemaliza ziara ya kuzunguka jimbo zima la mufindi kaskazini nalotaka kugombea.....wanachi niliokuwa nakutana nao ni watu maskini sana. Yaani wanatia huruma. Ni huruma kwa kweli.tunawaomba kura na kisha madudu tunayowafanyia ndio hayo?kashfa ya richmond imetesa wengi sana kumbe anayetutesa ndiye tuliyemuamini tukampa nchi. Kashfa ya escrow,nayo pia. Ukitembelea migodi mikubwa mingi nchini utasikia kampuni za kulisha migod hiyo ni ya mama kikwete.na wanapata mamilioni ya shilingi. Riz one,ndiye kila siku tunasikia mara ana miliki hiki na kile....leo tena na hili la PAC?  I wish watz wangekuwa kama mimi,moja kwa moja tungeelekea kwenye mzizi wa fitina na kuung'oa. Lkn,one day and one time jimamiz hili litaijia tu familia ya jk and they will regrect.

 Lusajo Mwasampeta <sirjokissy@gmail.com> wrote:

>Ngupula,
>
>I don't judge wether Lowassa is clean or not but you seem obsessed with Lowassa!
>
>
>LM
>
>
>Sent from my iPhone
>
>> On 27 Nov 2014, at 12:19 pm, "'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>> Kashfa ya Richmond ndiyo iliyomuondoa madarakani aliyekuwa waziri mkuu,ndugu  lowassa.  Kwa utetezi wa Lowassa mwenyewe inaonyesha kumbe lowassa alikuwa chambo tu,mwenye mradi huo alikuwa ni Jk. Lakin wengi hawajamuamini mpk leo. Kwa hili la escrow,kampuni ya PAP,inayomilikiwa na Miraji na Salma Kikwete imelipwa zaidi ya billion 75  isivyo halali. Na inavyoonekana Mizengo Pindaau kwa kujua au kutojua atatolewa kama kondoo wa kafara. Swali langu kwa wananchi ni hili,kama rais ndio fisadi,tena asiye na huruma,kwa nin tuendelee kuwawajibisha watu wasio na makosa kila uchao?kama tatizo ni kisiki,kwa nini tuhangaike na matawi?.....napenda nichukue nafasi hii kuwajulisha watz,lowasa ni mtu safi hausiki na kosa lolote kuhusu richmond. Kama mna hasira na uchungu na nchi yenu,mkamateni jk....upo wapi kigwangala? Haya,tuambie usafi wa Jk na uchafu wa lowassa na pinda?uko wapi riz one?naomba ujue dhambi hii itawaandameni kizazi chenu siku zote....ngupula
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment