Thursday, 27 November 2014

Re: [wanabidii] Re:kumbe lowassa alionewa tu kashfa ya richmond

Uchafu wa Lowasa na Pinda uko wazi: Hawa walijuas wanachofanya ni kosa na kinyume na klatiba. Katika kiapo chao waliahidi kumshauri vizuri Rais hawakuahidi kumshauri anavyotaka. hata tukikomea hapo.

Swali kwa nini hatumuwajibishi fisadi mkuu.
Makamu mwenyekiti alimnukuu Nyerere akisema Kumuondoa rais ni kulitingisha taifa. Nafikiri hakupiga marufuku kumuwajibisha inapobidi. Ipo haja. kumuwajibisha. Tutafutie atakayebeba kengele kwenda kumvika jamaa. katiba inasemaje? Bunge kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye. itikadi hazitaingia? Bunge lenyewe liko wapi la kuimpeech? Lililojaa serikali? ndiyo maana wananchi tukataka kutenganisha bunge na serikali na Bunge. Bunge maalum la katiba kubadili matakwa ya wananchi ni msingi wa kuimarisha ufisadi huu. Labda tuendelee na rais huyu lakini tukatae kuunga mkono katiba pendekezwa.Tutaanzia hapo kulibadilisha taifa letu
--------------------------------------------
On Thu, 11/27/14, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Re:kumbe lowassa alionewa tu kashfa ya richmond
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, November 27, 2014, 12:19 PM

Kashfa ya Richmond ndiyo iliyomuondoa
madarakani aliyekuwa waziri mkuu,ndugu  lowassa. 
Kwa utetezi wa Lowassa mwenyewe inaonyesha kumbe lowassa
alikuwa chambo tu,mwenye mradi huo alikuwa ni Jk. Lakin
wengi hawajamuamini mpk leo. Kwa hili la escrow,kampuni ya
PAP,inayomilikiwa na Miraji na Salma Kikwete imelipwa zaidi
ya billion 75  isivyo halali. Na inavyoonekana Mizengo
Pindaau kwa kujua au kutojua atatolewa kama kondoo wa
kafara. Swali langu kwa wananchi ni hili,kama rais ndio
fisadi,tena asiye na huruma,kwa nin tuendelee kuwawajibisha
watu wasio na makosa kila uchao?kama tatizo ni kisiki,kwa
nini tuhangaike na matawi?.....napenda nichukue nafasi hii
kuwajulisha watz,lowasa ni mtu safi hausiki na kosa lolote
kuhusu richmond. Kama mna hasira na uchungu na nchi
yenu,mkamateni jk....upo wapi kigwangala? Haya,tuambie usafi
wa Jk na uchafu wa lowassa na pinda?uko wapi riz one?naomba
ujue dhambi hii itawaandameni kizazi chenu siku
zote....ngupula

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment