Thursday, 27 November 2014

Re: [wanabidii] Re:kumbe lowassa alionewa tu kashfa ya richmond

Hivi ndugu zangu hizi propaganda za kuwasingizia watoto wa Rais ni mpaka lini??? Watanzania tumekuwa wajinga wa kuambiwa bluu ni njano nasi tukakubali??? Ngupula hata kama unampenda mtu this is too much. Hebu tubadilikeni na tuitumie hii mitandao ya jamii kuelimishana sio kupotosha umma.

Inakera.

S. Mkango.

Sent from my smartphone on the new Vodafone network

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Kashfa ya Richmond ndiyo iliyomuondoa madarakani aliyekuwa waziri mkuu,ndugu lowassa. Kwa utetezi wa Lowassa mwenyewe inaonyesha kumbe lowassa alikuwa chambo tu,mwenye mradi huo alikuwa ni Jk. Lakin wengi hawajamuamini mpk leo. Kwa hili la escrow,kampuni ya PAP,inayomilikiwa na Miraji na Salma Kikwete imelipwa zaidi ya billion 75 isivyo halali. Na inavyoonekana Mizengo Pindaau kwa kujua au kutojua atatolewa kama kondoo wa kafara. Swali langu kwa wananchi ni hili,kama rais ndio fisadi,tena asiye na huruma,kwa nin tuendelee kuwawajibisha watu wasio na makosa kila uchao?kama tatizo ni kisiki,kwa nini tuhangaike na matawi?.....napenda nichukue nafasi hii kuwajulisha watz,lowasa ni mtu safi hausiki na kosa lolote kuhusu richmond. Kama mna hasira na uchungu na nchi yenu,mkamateni jk....upo wapi kigwangala? Haya,tuambie usafi wa Jk na uchafu wa lowassa na pinda?uko wapi riz one?naomba ujue dhambi hii itawaandameni kizazi chenu siku zote....ngupula
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment