Hukumu ya Mahakama Kuu iliyotowa imesema " each part should maintain status quo"
Hivyo tu.
Sasa wajuzi.wa.Sheria waje watueleze maana ya "each part should maintain Status quo"
On Nov 25, 2014 8:19 PM, "Suleiman Serera" <sellyserera@gmail.com> wrote:
-- --"I work in the shade to bring out the LIGHT to my Country. Shade means Patriotism, Loyalty and Integrity."Sent from my iPhone--Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam imesitisha kwa muda Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania lisijadili hoja ya ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu akaunti ya ESCROW hadi hoja ya msingi iliyowasilishwa mahakamani chini ya Hati ya Dharura itakapopatiwa majibu.
IPTL wamewasilisha malalamiko yao kuitaka mahakama itoe ufafanuzi kuhusu ni kwa nini CAG alifanya ukaguzi kwenye akaunti ya ESCROW ilihali tayari suala hilo lilishafanyiwa uamuzi?
Mahakama imeridhia hoja za IPTL na kutoa amri ya zuio.
On Tuesday, November 25, 2014 6:36:15 PM UTC+3, Abdalah Hamis wrote:Mahakama kuu chini ya jopo la majaji watatu wamesimamisha mjadala wa Ripoti ya Escrow kujadiliwa hadi hoja za msingi zitakapofanyiwa kazi.
On Tuesday, November 25, 2014 6:34:36 PM UTC+3, Abdalah Hamis wrote:MAHAKAMA KUU YA TANZANIA IMEZUIA BUNGE KUJADILI SUALA LA ESCROW
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment