Wanabidii wenzangu
Ukweli mtupu ni kuwa Tanzania haiwahitaji wafadhili kabisa. Tanzania inahitaji siasa safi, uongozi bora, uwajibikaji, uzalendo, uaminifu, kuacha ufisadi, kuacha rushwa, kuacha ubinafsi na kuacha kudonate kwa hao mataifa ya nje. Kwa taarifa yenu sisi tuncapture only 3% of the traded value of coffee at any London Supper market. The same applies to tea, cotton, spices, minerals, gas, and many other natural resources.
Jamani kila kitu kiko wazi hatuoni? Tuombe Mungu iko siku tutaona, tutasikia, tutafanya uamuzi mgumu kwani hakuna kilicho na mwanzo kikakosa mwisho. Tuendelee kuomba Mungu kwani yeye ni kila kitu na hakuna wa kumzidi ujanja.
Nawakilisha
Herment A. Mrema
Date: Thu, 13 Nov 2014 00:51:26 -0800
From: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi wa habari: Wahisani kuzuia misaada kunawaumiza wanyonge..
To: wanabidii@googlegroups.com
From: 'Bishop Kulwajz' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: 'heri rashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, November 9, 2014 11:07 PM

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Baada ya vuta nikuvute kuhusu uchunguzi sakata la IPTL kufikishwa bungeni, hatimaye leo naye Mh. Peter Serukamba kaomba mwongozo iundwe Kamati ya Bunge kufuatilia suala hili.
Mkiti (Azzan Zungu) kaamuru Kamati ya Uongozi ikutane saa saba mchana. Ngoja tuone!
From: 'Bishop Kulwajz' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: 'heri rashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, November 9, 2014 11:07 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi wa habari: Wahisani kuzuia misaada kunawaumiza wanyonge..
Hakuna mtu anayekula mwenyewe harafu ajichunguze mwenyewe,wafadhili si watu wa kukulupuka ukweli unajulikana.wazili mkuu hana ubavu kusema,nchi imemshindwa mjamaa.
'heri rashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Si dhani kama kulaumu kunasaidia.
Hivi Mjengwa uchunguzi wa upotevu wa fedha hizo unapaswa kuchukua muda gani. Kila siku tunashuhudia drama bungeni. Huyu kasema hiki huyu kasema kile. Ukweli uko wapi?
Mimi suing mkono kabisa kauli ya waziri mkuu ya kulalamika badala ya kuchukua hatua ya waliosababisha upotevu wa kiasi hicho chote cha fedha.
ikumbukwe Mh. David Kafulila alishalalamika na kuomba kamati huru ya bunge iingilie sakata hili. Kwa ubabe wa hao akina waziri mkuu wakakakataa isiundwe tume huru. Wanaficha nini?
Kwa hiyo tusilalamike tu. TUCHUKUE HATUA.
Heri Rashid
MVIWATA
MVIWATA
On Sunday, November 9, 2014 3:29 PM, Augustine Rukoma <rukomapekee@gmail.com> wrote:
Mjengwa bwana kwani cc hatuna raslimali? vichwa vya kuoza hivi
On 11/9/14, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
> Ndugu zangu,
>
> Naungana na kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliyoitoa Bungeni Dodoma
> Alhamisi, Novemba 6, 2014, kuonyesha masikitiko yake na ya nchi yetu kwa
> ujumla kwa kitendo cha kuzuia misaada cha wahisani kutoka nchi za Jumuiya
> ya Ulaya ikiwamo pia Norway, Canada, Japan, Benki ya Dunia na hata Benki ya
> Maendeleo ya Afrika.
>
> Kama ilivyo kwa mwanadamu, hakuna duniani taifa timilifu.
> Sakata la tuhuma za wizi wa fedha za Escrow/Iptl ni ' msiba' wetu
> Watanzania.
>
> Lakini, kama nchi, Serikali yetu haijakunja mikono na kusema ni ' Kazi ya
> Mungu tu'.
>
> Watanzania tunaona na wahisani pia wanaona, labda kama hawataki kuona, kuwa
> Serikali iliiagiza CAG na Takukuru kulifanyia uchunguzi suala hilo.
> Sasa kabla ripoti hazijawekwa mezani na kuona hatua gani wahusika
> wanachukuliwa, tunashuhudia wahisani wakisitisha kutoa kwenye bajeti kuu,
> kiasi cha dola za Kimarekani 558 sawa na shilingi bilioni 937.
>
> Ni fedha nyingi mno kwa nchi kuwa na nakisi nayo. Kuwa muhisani ni pamoja
> na kumuheshimu unayemuhisani. Kwamba naye ana wanaomtegemea ili nao waishi
> na waendeshe mambo yao ya msingi ya kila siku.
>
> Inavyoonekana, Wahisani wao wanaamua bila kufanya mazungumzo ya kina na
> wanaowahisani. Laiti Wahisani wangekaa chini na Serikali kuzungumzia azma
> yao ya kusitisha misaada yao kwa bajeti kuu, naamini, kuwa wangepata
> ufahamu mkubwa juu ya mchakato wa sakata hilo ulivyo, na kwamba wangevuta
> subira kusubiri matokeo ya mchakato huo. Na katika kipindi hicho bado
> wangetoa fedha walizotuahidi kama nchi ili ziweze kuchangia kwenye
> kuhakikisha watu wetu wanaendelea kupata huduma za afya na pia watoto wetu
> wanaendelea kupata elimu.
>
> Hakika, unapotembea vijijini na kukutana na picha kama hiyo hapo juu ya
> watoto wa wanyonge wa Tanzania kule Bigwa milimani, mkoani Morogoro, wakiwa
> wameamka alfajiri kuwahi shuleni, pengine bila kupata kikombe cha chai
> nyumbabi, basi, unajiwa na fikra, kuwa ni kwanini makosa yenye kutendwa na
> wachache katika nchi ipelekee wahisani kufanya maamuzi yenye kuwaumiza
> wengi wasio na hatia, na hata kuharibu mustakabali wao kimaisha, kwa
> kuwakosesha huduma bora za afya na elimu bora.
> Hivyo, naungana na Waziri Mkuu wetu, Mizengo Pinda katika kukosoa hatua ya
> wahisani ya kusitisha msaada wao kwenye bajeti kuu ya Serikali kwa sababu
> za kutaka kwanza kuona hatua za Serikali juuu ya sakata la IPTL/escrow. Na
> hili la wahisani, linatukumbusha umuhimu wa kujitegemea kama nchi.
> Tupambane na mafisadi wetu kuhakikisha kuwa hawaendelei kutafuna vya kwenye
> hazina yetu.
> Maggid,
> Iringa.
> http://mjengwablog.com
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
On 11/9/14, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
> Ndugu zangu,
>
> Naungana na kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliyoitoa Bungeni Dodoma
> Alhamisi, Novemba 6, 2014, kuonyesha masikitiko yake na ya nchi yetu kwa
> ujumla kwa kitendo cha kuzuia misaada cha wahisani kutoka nchi za Jumuiya
> ya Ulaya ikiwamo pia Norway, Canada, Japan, Benki ya Dunia na hata Benki ya
> Maendeleo ya Afrika.
>
> Kama ilivyo kwa mwanadamu, hakuna duniani taifa timilifu.
> Sakata la tuhuma za wizi wa fedha za Escrow/Iptl ni ' msiba' wetu
> Watanzania.
>
> Lakini, kama nchi, Serikali yetu haijakunja mikono na kusema ni ' Kazi ya
> Mungu tu'.
>
> Watanzania tunaona na wahisani pia wanaona, labda kama hawataki kuona, kuwa
> Serikali iliiagiza CAG na Takukuru kulifanyia uchunguzi suala hilo.
> Sasa kabla ripoti hazijawekwa mezani na kuona hatua gani wahusika
> wanachukuliwa, tunashuhudia wahisani wakisitisha kutoa kwenye bajeti kuu,
> kiasi cha dola za Kimarekani 558 sawa na shilingi bilioni 937.
>
> Ni fedha nyingi mno kwa nchi kuwa na nakisi nayo. Kuwa muhisani ni pamoja
> na kumuheshimu unayemuhisani. Kwamba naye ana wanaomtegemea ili nao waishi
> na waendeshe mambo yao ya msingi ya kila siku.
>
> Inavyoonekana, Wahisani wao wanaamua bila kufanya mazungumzo ya kina na
> wanaowahisani. Laiti Wahisani wangekaa chini na Serikali kuzungumzia azma
> yao ya kusitisha misaada yao kwa bajeti kuu, naamini, kuwa wangepata
> ufahamu mkubwa juu ya mchakato wa sakata hilo ulivyo, na kwamba wangevuta
> subira kusubiri matokeo ya mchakato huo. Na katika kipindi hicho bado
> wangetoa fedha walizotuahidi kama nchi ili ziweze kuchangia kwenye
> kuhakikisha watu wetu wanaendelea kupata huduma za afya na pia watoto wetu
> wanaendelea kupata elimu.
>
> Hakika, unapotembea vijijini na kukutana na picha kama hiyo hapo juu ya
> watoto wa wanyonge wa Tanzania kule Bigwa milimani, mkoani Morogoro, wakiwa
> wameamka alfajiri kuwahi shuleni, pengine bila kupata kikombe cha chai
> nyumbabi, basi, unajiwa na fikra, kuwa ni kwanini makosa yenye kutendwa na
> wachache katika nchi ipelekee wahisani kufanya maamuzi yenye kuwaumiza
> wengi wasio na hatia, na hata kuharibu mustakabali wao kimaisha, kwa
> kuwakosesha huduma bora za afya na elimu bora.
> Hivyo, naungana na Waziri Mkuu wetu, Mizengo Pinda katika kukosoa hatua ya
> wahisani ya kusitisha msaada wao kwenye bajeti kuu ya Serikali kwa sababu
> za kutaka kwanza kuona hatua za Serikali juuu ya sakata la IPTL/escrow. Na
> hili la wahisani, linatukumbusha umuhimu wa kujitegemea kama nchi.
> Tupambane na mafisadi wetu kuhakikisha kuwa hawaendelei kutafuna vya kwenye
> hazina yetu.
> Maggid,
> Iringa.
> http://mjengwablog.com
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment