Hildagarda. Kwa utafiti uliofanywa na NGO yako ambao sijui kama mliibua ninyi ama ilitokana na vigezo na hitaji la mfadhili, sina sababu ya kujadili. Uliyoyataja yote yanaishi katika jamii, hilo halina ubishi kwa kadri mlivyoyaibua.
Wala sipingi kuwapo watawa wasiotenda uovu. Ila ninachopingana na wewe ni kuandika hekaya za kusadikika (tena ukiwa Mtafiti Msomi) na kutoa hoja za jumla jumla katika suala linalohusu `kadhia za Padre Sixtus'. Any way, hakuna haja ya kuendeleza malumbano. Tuzidi kuombeana yaliyo mema.
On Wednesday, November 19, 2014 11:34 PM, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Jidanganye Mashaka. Sulala la Padri limetokea Mabibo ni Kanisa la Katoliki katika familia eneo hilo, waumini wa huko tupo. Na huu ulawiti unatokea sana sio tu makanisani, misikitini, majumbani. Nisake tukupe taarifa sa sexual offences sisi NGO yetu imefanya tafiti hizi mpaka mashuleni, mitaani. Nina kundi la mashoga kibao niliofanya utafiti nao. Kila mmoja analeta mwenzake unamuhoji. Nimehoji transgender women na Hermaphrodites ambao wapo(wanazaa wao na kuzalisha) wanateseka ni vilema vya kuzaliwa anazo mbili!! bado wale ambao ana homoni nyingi za kiume lakini maumbile ya kike-mateso makali sana anaota mindevu na feeling zake si za kike-mnawabagua na kuwatesa!!
Bado ukeketaji tumeufanyia utafiti na tumefanya mpaka patient blind research na kuona uongo eti wasabato hawakeketi, kabila hili hawakeketi kumbe wanakeketa. Sababu ni nyingi:tribal mixed marriages, kukubalika katika kabila si lako au uweze kuingia ngoma si ya kabila lako kushereheka na unywe vileo. Zaidi ni kutokana na magonjwa ya zinaa na infections za chini ambayo hakuna dawa hapo zahanati alipo yanasababisha ukeketaji kama tiba ya matatizo kwa wanawake au inatumika kama preventive strategy kwa watoto pia. Eti mmeimaliza FGM wala inapamba moto kama HIV kutokana na health facilities nyingi hazina huduma ya kutosha kutoa preventive na curative services.
Jee, unafahamu kuwa mwanamke anaweza kuwa na mume au boyfriend gay na bwana wake mume anaweza kuwa anakuja ndani ya nyumba kama rafiki wa familia anawatembelea kumbe anawapisha wanafanya mambo yao? Si unafahamu kuwa mwanaume anaweza kuwa na mke au girlfriend changudoa na akawa anampitia kumchukua warudi home? Anampenda. Imo humu nchini na huko nje watu hawajui wanawaona wanapeta tu na maisha bora kumbe jamaa (bwana wa mume gay) ndio anagharimia au bibi changudoa anatoka mizee inampa ulaji.
Nilitembea jioni hadi usiku 2003 na wazoa takataka na wafagizi taka barabarani enzi zile kazi wakifanya hadi usiku-nimeona mengi mtaani usiku yanayofanywa na watu na akili zao. Tumehoji na kutibu watoto shuleni wadogo wenye kulawitiwa ndani ya nyumba na kaka na jamaa zao na wana magonjwa ya zinaa. Vibibi kubakwa na wajukuu zao wavuta bangi na kuwa na magonjwa ya zinaa.
Tumefuatilia kesi hizi za ubakaji/ulawiti kama NGO zimekuwa ngumu kutokana na unduma kuwili wa familia na watu kama Mashaka Mgeta wenye upofu wa macho hata kama wanaona. Huyo mtoto aliyefanyiwa uovu na padri na Mama yake si wapo? Kawahoji mwandishi wa habari huenda wamenyamazishwa waseme uongo kesi iishe. Huwa wanalipwa.
Issue nyingine Makanisa na Misikiti na Taifa mnafanya SIRI lakini kwa Mungu siri hakuna. Nikukute mimi au nikusikie unamlawiti kijana wangu nitamfundisha akubali muende lakini awe na kisu kisha aiondoe na kisu hicho halafu sijui utapiga kelele uonyeshe imekwenda wapi? Sasa uwe ni Padri unapigia kelele kibanda kibovu!
Kule Mikumi mjini maeneo ya mashamba bibi kizee akifukuza ng'ombe zikila shambani mfugaji wa Kimasai akaenda akamzaba vibao kisha akambaka na kumpora simu. Pamoja na utu uzima wake aliikamata akaivuta na kuiminya kichizi. Nilimsifu sana bibi huyo. Naye bibi aliumizwa akalazwa St Kizito Health Centre. Akajieleza na baada ya siku Moran huyo akaenda kutibiwa hapo nonino imevimba vibaya. Bibi akaitwa kumtambua na akasema ana simu yake akakutwa nayo akawekwa police. Cha kushangaza na kama ilivyokawaida ya taasisi zetu na watu wake - alitorokea hapo rumande police. Rushwa. Bila ya shaka walimchangia nduguze wakamtoa, akatoroka. as usual. naye unayemtetea alikimbiliaje Msumbiji kama si mkosa. Hata kama ni dini yangu-sitetei mdhambi. Mume wa yule bibi wa Mikumi alipopata habari kuwa mke alibakwa amelazwa-alianguka na kufariki. Hadi leo bibi hawezi kujitegemea tena, amelemaa mikono. Tunatetea ujinga. Vitoto vinavyuoomba omba na kulala barabarani vinafanyiwa uchafu na watu wazima. Akiweza kumtaja na kutaja maumbile yake yalivyo na viraka vyake huko chini-kavionaje kama si kufanyiwa tendo hilo kama huyo kijana alivyoweza kuelezea. Mnatetea nini na kumtolea mtu dhamana na kuhonga ashinde kesi? Kweli mtu aache kaka zake, jirani akamtaje Padri wa kanisa au Sheikh wa msikini na amudu kuweka picha ya alama za mwili wa mtuhumiwa?
Sina haja ya malumbano haya kwani hata kithibiti cha DNA na file mahakamani vinaweza kupotea. Waafrika ndio tulivyo-Nduma kuwili!!.
On Thursday, 20 November 2014, 9:01, 'misangocharles' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Bandugu, sote hapa hatuna uhakika wa moja kwa moja kama alilawiti ama hapana. Ni watatu tu waujua ukweli, Mungu, padri na kijana. Mbele ya macho ya sheria, tunaambiwa hakutenda kosa. Yawezekana kweli ama rushwa hatuj. Tusitoane macho, Mungu atamkipa kila mtu kadri ya matendo yake
Sent from my Huawei Mobile
'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>Fadhili unastahili kuandika hivyo kwa maana inakupasa.
>
>
>------------------------------
>On Tue, Nov 18, 2014 9:26 PM PST fadhil fadhil wrote:
>
>>Kiwasila usipate tabu na hawa jamaa kuna watu kazi yao kutetea ujinga
>>haliyakuwa ukweli wanaufaham, kwakuwa aliyefanya hivyo ni kiongozi wa
>>kidini.
>>On Nov 19, 2014 8:11 AM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <
>>wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>>> Hili suala ni la Kanisa katoliki Ubungo Kisiwani, baadae kutokana na tabia
>>> hizi alihamishwa huyu ninakumbuka alipelekwa Kibaha akawa anarudi kumchukua
>>> kijana kumtembelea kwao na kufanya aliyokuwa akiyafanya. Nikisali kanisa
>>> hilo, lilijadiliwa katika jumuiya yetu. Ndio maana ninasema na kuonyesha
>>> wasiwasi na haki kisheria. Inasikitisha sana. Nchi hii-kichwa cha
>>> wenzawazimu. Wabakaji wengi wanakwepa sheria namna hii. Mifano ni mingi
>>> nchini. Kama mtoto akiitwa aongee radioni au katika TV atoe evidence na
>>> mzhini!! Tutetee tu ujinga.
>>>
>>>
>>>
>>> On Tuesday, 18 November 2014, 22:21, 'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <
>>> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> Juma Mzuri, Baba wa Taifa, hayati Mwal JK Nyerere alisema ukiona mtu
>>> katika kujadili hoja anakimbilia udini(kama ulivyoandika) ama ukabila au
>>> ukanda, nasi huyo ni mufilisi.
>>>
>>>
>>> ------------------------------
>>> On Mon, Nov 17, 2014 11:37 AM PST Juma Mzuri wrote:
>>>
>>> >Reginald Miruko na Mashaka Mgetta wote ni wakatoliki .
>>> >
>>> >On Monday, November 17, 2014 10:03:35 PM UTC+3, Reginald Miruko wrote:
>>> >
>>> > Kweli mashaka. Aliyetoa laana aziondoe au alaaniwe yeye
>>> > On Nov 17, 2014 10:00 PM, "'Mashaka Mgeta' via Wanabidii" <
>>> > wana...@googlegroups.com <javascript:> wrote:
>>> >
>>> >
>>> >
>>> > Ninavyokumbuka, mpendwa Padri Sixtus hakutoroka. Baada ya kuhukumiwa na
>>> > kama ilivyo haki kwa raia mwingine, alikata rufaa. Akashinda na kutoka
>>> > gerezani.
>>> >
>>> >
>>> > ------------------------------
>>> > On Sun, Nov 16, 2014 10:42 PM PST 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
>>> > wrote:
>>> >
>>> > >
>>> > >
>>> > >Familia iliyomtolea dhamana wakati wa kesi yake ilaaniwe. Vidhibiti
>>> > vyote vilikuwa wazi. Kesi za namna hii sisi ktk NGO yetu zimetushinda
>>> > kutokana na ndugu kumtoa mshitakiwa kwa dhamana au kuhonga na kutoroka
>>> > akiwa rumande. Anatorokaje? Mnafuatilia kesi ya ubakaji mpaka mtuhumiwa
>>> > anakamatwa alikotorokea. Kisha ndugu wanakaa kikao na kumuonya mshitaki
>>> > kufuta kesi. Mshitaki anaweza kuwa muathirika au mke/mlezi aliyeshitaki
>>> > mume kubaka, kulawiti. Mke nae kufuta kesi eti kulinda ndoa. Inapofikia
>>> > mshitaki kufuta kesi licha ya vidhibiti kuwepo naye atiwe hatiani.
>>> > Inapofika daktari kubadili vidhibiti-atiwe hatiani. Daktari wa zahanati
>>> > atatoa vidhibiti kubalika na vya haki alipomsaidia kwa mara ya kwanza
>>> > (akatoa photocopy akaweka akatupatia nakala moja) ile ya kupimwa Health
>>> > centre vipimo zaidi au district hospital inakuja kinyume kabisa na ile
>>> > original observation. Training ya Medical doctors na Mahakimu ktk
>>> > kushughulikia sexual offences na ile manual yake
>>> > > wanayotakiwa kuzingatia ilakuwa biashara kichaa. Hata kama ni mtu wa
>>> > dini ameingia tamaa ya makosa ya Kujamiiana na mengineyo-aadhibiwe.
>>> Wazazi
>>> > waangalie sana watu wanaojitokeza kusaidia watoto wao me na ke kuwapa
>>> > misaada ya kifamilia kuwasomesha etc; kuwalaza watoto wadogo na kaka
>>> zao,
>>> > houseboy, na wageni na watoto wa jirani ili kutatua tatizo la
>>> > chumba.nafasi. Mahusiano dreva wa nyumbani na watoto; dreva wa bodaboda
>>> > uliyomkabidhi kumchukua kumpeleka na kumrudisha mtoto kadogoo shule
>>> > ilikuokoa muda wako wewe wa kazi. Housegirl na wanao na houseboy pia
>>> > wameambukiza familia ukimwi na kubaka vitoto walalavyo nao pia.
>>> Housegirl
>>> > anacheza michezo na vibwana mdogo vyako-watoto wa kiume na wavulana
>>> wako.
>>> > Asilimia 80-90 ya ulawiti watoto wa kiume hutokea au kufanyika
>>> nyumbani.
>>> > Watch out!!
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >On Monday, 17 November 2014, 9:20, Yona Fares Maro <oldm...@gmail.com
>>> > <javascript:> wrote:
>>> > >
>>> > >
>>> > >
>>> > >MTUHUMIWA wa kesi ya kulawiti mtoto wa kiume, aliyekua akitafutwa na
>>> > mahakama ya rufaa Sixtus Kimaro ambaye alikutwa na tuhuma hizo wakati
>>> > akiwa Padri katika kaniska katoliki jimbo kuu la Dar es salaam amefia
>>> > nchini Msumbuji na mwili wake umesafirishwa kuja Dar.
>>> > >
>>> > >Taarifa za kifo cha Padri huyo zililifikia Gazeti hili wakati tayari
>>> > mwili wake ukiwa umefikishwa katika hospitali ya Jeshi JWTZ,Lugalo na
>>> > baadaye zilithibitishwa na Askofu mkuu wa Jimbo Denis Wigilla.
>>> > >
>>> > >Padri Wigila alisema taarifa za mazishi zinafanyika chini ya familia
>>> > yake kwani tayari aliashaacha kazi ya Upadri hivyo kanisa halitahusika
>>> na
>>> > taratibu za mazishi zitakazofanyika Mkoani Kilimanjaro.
>>> > >
>>> > >Julai mwaka huu Padri huyo alitoroka n chini baada ya kuhiukumiwa
>>> > kifumngo cha miaka30 jela ambapo alikua na mashtaka matatu ikiwemo
>>> > kumlawiti motto wa kiume wa miaka17,shambulio la aibu na kumdhalilisha
>>> > mtoto huyo.
>>> > >--
>>> > >Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>> > >
>>> > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > >wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>>> > kudhibitisha ukishatuma
>>> > >
>>> > >Disclaimer:
>>> > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> > >---
>>> > >You received this message because you are subscribed to the Google
>>> > Groups "Wanabidii" group.
>>> > >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> > an email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>>> > >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

>>> > --
>>> > Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>> >
>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>>> > kudhibitisha ukishatuma
>>> >
>>> > Disclaimer:
>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any

>>> > ---
>>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> > "Wanabidii" group.
>>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> > email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>>> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >--
>>> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>> >
>>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>> >
>>> >Disclaimer:
>>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >---
>>> >You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an

>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment