Friday, 14 November 2014

Re: [wanabidii] MBOWE ACHA UTOTO , ZITTO KABWE

Siku zote ni mkaanga sumu.anaacha kufanya yake anachunguza ya wenzake.Huku jimboni kwake HAI hatumuoni kuja alikuja siku moja 2 kukagua shule ya weruweru ambayo haina jengo la kuhifadhia kuni wanahifadh darasani.akaahidi kutatua lkn hatuon k2.

On Friday, November 14, 2014 2:58:14 PM UTC+3, Emma Kaaya wrote:
Hivi Mbowe ameshaenda jando ? Naskia ameezeka bati eti .

On Friday, November 14, 2014 2:14:37 PM UTC+3, Makaveli Markus wrote:
Kuendesha mikutano na kujihangaisha kutaja jina la Zitto ni upuuzi. Majuzi nilisoma habari moja akisema kuwa tatizo la Zitto amerubuniwa na CCM. ..Nilishangaa unaendesha kampeni operesheni delete ccm kwa maneno dhaifu kama haya. Ynawasaidiaje hao anaotaka wai-delete CCM? hotbu kama hizo ni mantiki iliyopinda.

2014-11-14 12:22 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emug...@gmail.com>:
Sikujua barabara, madaraja na viwanja vya ndege Kigoma vimejengwa na Zitto. Kwa hela yake mwenyewe?
em

2014-11-14 4:19 GMT-05:00 Yona Maro <oldm...@gmail.com>:

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Zitto Kabwe amesema kitendo alichofanya Freeman Mbowe cha kumsimanga wakati wa mikutano yake ya hadhara mkoani Kigoma kuwa amemsaidia sana ni cha kitoto.

Zitto amesema "nimeshangazwa na tabia ya Mbowe ya kunisimanga, tena kunisimanga nyumbani kwetu. Hata hivyo nimepuuza kwa maana kwa vyovyote vile aliongea bila kufikiri. Anasema nilitaka kusaliti chama, aseme kwa ushahidi maana kutamka tu hakuna maana hata kidogo."

"Kiongozi mkubwa kama Mbowe anapaswa kujadili masuala ya Taifa na namna ya kutatua changamoto , sio kubaki kusema na kusimanga watu. Mbinu hiyo hailisaidii Taifa," Amesema Zitto.

"Mimi nina rekodi ya kujivunia … nimeibadilisha Kigoma na kusimamia ujenzi wa miundo mbinu ya barabara, madaraja na viwanja vya ndege. Nimewezesha wakulima kuwa na hifadhiya jamii, bimna ya afya. Je, yeye kafanya nini Hai?" aliuliza Zitto.

Zitto aliendelea kusema "Nimeibua hoja za maana Bungeni zikiwemo ya kubadili sheria kwa manufaa ya nchi. Yeye kafanya nini Bungeni kwa manufaa ya nchi tangu aingie?Ametoa hoja gani binafsi? Ametunga sheria gani binafsi?"

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment