Monday, 24 November 2014

Re: [wanabidii] MAPENDEKEZO YA ZITTO KABWE NI BALAA TUPU!

Hakika wananchi mkisubiri bunge lisafishe nyumba, Inakula kwenu.

Nafikiri mmeona intro kutoka kwa Madam Spika Makinda leo.

On 24 Nov 2014 20:15, "Jovias Mwesiga" <ngonzy@gmail.com> wrote:

Yes ni muuda muafaka kabisa watanzania kwa kutumia kanuni zetu na taratibu zetu tusafishe nyumba.

Huu mkate wetu kwanini wahuni wachachache wajiuchukuliee mapande makubwa peke yao

On Nov 23, 2014 11:21 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Jivin unaposema hivyo unasema fulani afanye hivi.
Mfano enzi zile wajerumani walipoonekana kutaka kutuelekeza nani awe rafiki yetu TULIMFUKUZA balozi wao nchini. Tunaposema hivyo aliyetangaza kumfujuza ni Julius Kambarage Nyerere, Rais wa taifa letu.
Unakumbuka lini kiongozi wetu aliwahi kuchukua hatua za kishujaa kama hizo?
Linalowezekana ni watanzania kuanzia marekebisho kwenye uchaguzi basi. wasidanganywe. Hilo tunaliweza maana kila mpiga kura anaweza. Itategemea baqngi gani tumeleweshwa wakati wa uchaguzi ukifika.
Unaona Nape ameanza kusema kama kawaida yao hawatamfumbia macho fisadi katika swala hili la ESCROW. Anaposema kama kawaida yao ana maana gani? Hatua walizomchukuliua Chenge? Hatua walizomchukulia Lowasa? Au wezi wa EPA waliosamehewa wakirudisha fedha?
Vurugu tupu ndugu yangu

On Monday, November 24, 2014 1:56 AM, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Ujur kuna utamaduni wa ajabu miaka nenda rudi wahuni wanakosa mmoja anajiuzulu tukipoa anapewa ukuu wa mkoa kimya kimya waziri maisha yanaendelea.
Hawa watu wameumiza watanzania na bahati nzuri tunajua hela nani na nani kala wafilisiwe sio pendekezo gumu lazima liko kwenyensheria zetu with no exceptions.
Tuondoe utakatifu na kama taifa hatuitaji watu toka nje watueleze tufanyeje tufuate misingi nankanuni zetu
On Nov 23, 2014 4:33 PM, "'jabir yunus' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
EM una maana hizo za Escrow si fedha chafu? Si zimeibwa kishenzi?

Fedha chafu si ni fedha zilizopatikana kwa njia chafu? na zikatumika kwa uchafu au uhalali? Kutakatisha fedha ndio money laundering, I suppose?

Tuelimishane.

J
 
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, November 23, 2014 9:02 PM
Subject: Re: [wanabidii] MAPENDEKEZO YA ZITTO KABWE NI BALAA TUPU!

Money laundering ni kuchukua hela chafu kama vile hela za madawa ya kulevya na kuziingiza katika legitimate business. I don't think escrow is akin to money launddering.
em

2014-11-23 12:04 GMT-05:00 <mchunguzihuru@gmail.com>:
MAPENDEKEZO YA ZITTO KABWE NI BALAA TUPU!
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC),Zitto Kabwe, amesema kamati yake itatoa hoja ya kuanza mchakato wa kikatiba wa kumvua ujaji, Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, jaji Frederick Werema.
Mbali na dhamira ya kutaka jaji Werema avuliwe ujaji pia, Zitto amesema kamati yake itapendekeza watu wote waliohusika katika kashfa ya wizi wa akaunti ya Tegeta Escrow, wachukuliwe hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufilisiwa mali zao.
Zitto, alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na Tanzania Daima Jumapili, kuhusu sakata la Escrow linaloendelea hivi sasa.
Majibu ya Zitto yalitokana na maswali ya gazeti hili yaliyotaka kujua hatua zitakazopendekezwa na kamati yake baada ya kukamilisha kazi ya kupitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG), juu ya akaunti ya Tegeta Escrow.

Alisema kimsingi kilichofanyika katika tukio hilo ni zaidi ya wizi wa kawaida na kwamba wahusika ni vema wakafilisiwa mali zao kisha wachukuliwe hatua nyingine za kisheria.
"Suala hili sio wizi wa kawaida bali ni 'money laundering'. Kwa hiyo kufilisiwa ili kurejesha fedha hizo ni hatua nyingine itakayopendekezwa"alisema Zitto.
Alisema hatua hiyo itakuwa ni fundisho kwa wengine huku akikumbushia matukio ya wizi wa fedha za Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje(EPA) na sakata la kampuni ya kufua umeme wa Richmond.
Alisema kamati yake bado inaendelea na kazi na kwamba walichogundua ni kuwa fedha zilizokuwa katika akaunti ya Tegeta Escrow zilikuwa za umma na kwamba kampuni ya Pan Africa Power Resources (PAP) hawakuwa na uhalali wa kuchukua fedha hizo.
"PAC bado inaendelea na kazi. Watu wote ambao wamehusika katika wizi huu tutapendekeza wawajibishwe na kuchukuliwa hatua za kisheria."alisema.
Tishio kwa wabunge
Baadhi ya wabunge wanaonekana vinara wa kusimamia suala hilo wanaelezwa kutishia maisha ambapo mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, ameshatoa ripoti polisi.
Wasiwasi wa usalama wa wabunge hao umeongezeka zaidi baada ya taarifa kuwa mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM), kulishwa sumu akiwa safarini nchini Uingereza
Mkono inadaiwa ndiye anayejua sakata la IPTL kwakuwa kwa muda mrefu amekuwa akishiriki kwenye kesi akisimamia Tanesco na wizara ya Nishati na Madini.
Mbunge huyo anadaiwa kuvujisha siri ya uchotwaji wa fedha hizo kwakuwa Wizara ya Nishati na Madini mwanzoni mwa mwaka huu haikuingia makataba wa kuitumia kampuni ya uwakili ya mbunge huyo.
Hata hivyo Mkono, mwenyewe mara kadhaa alishakanusha madai ya kushiriki kwenye kuvujisha siri za ufisadi huo wala kuwa nyuma ya sakata hilo.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment