Wednesday, 19 November 2014

Re: [wanabidii] MAENDELEO YATALETWA NA CCM TU - NAPE

Amesema kweli. Ndicho chama KINACHOWEZA kuwaletea maendeleo. Chama hiki kinaweza kuleta maendeleo. Ila bahati mbaya kinaongozwa na watu wasioweza kuleta maendeleo. Nape ataleta maendeleo gani kwa Tanzania? Mafisadi waliojaa CCM wataleta maendeleo gani? Hawawezi. Kwa hiyo kwa kuwa na aina ya viongozi kilicho nao, chama hiki katu hakiwezi kabisa  kuleta maendeleo.


On Monday, November 17, 2014 7:55 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Ndicho chama kinachoweza kuwatatulia kero zilizosababishwa na chama gani?
ndicho chama kinachoweza kuwatetea viongozi wake walioiba fedha za TANESCO mpqaka nchi wahisani wakalifungia taifa fedha za msaada iliyoahidiwa.
Ndicho chama kilicholifikisha taifa hapa tulipo mpaka tunazidiwa na tutaifa tulitwokuwa tunapigana vita na sasa tunaendelea kiasi cha kutisha. Nenda Rwanda uone mijini na vijijini. Nape anaweza kufanya vyema kunyamaza au akisema yaishie kwenye mkutano alikosemea.
--------------------------------------------
On Mon, 11/17/14, Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] MAENDELEO YATALETWA NA CCM TU - NAPE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, November 17, 2014, 7:41 PM

MAENDELEO
YATALETWA NA CCM TU - NAPEKatibu
wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape
Nnauye, aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na wakazi wa
kata ya Chumo wilayani Kilwa, ambapo
alidai wananchi wasichague vyama vya upinzani kwa sababu
havina lengo la kuwaletea maendeleo, badala yake wachague
CCM kwa kuwa ndicho chama kinachoweza kuwaletea maendeleo na
kutatua kero zinazowakabili.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment