Ngulupa,
Elimu kwanza Lowassa ameidaka kutoka Chadema. Unakumbuka walivyotukebehi mwaka 2010 tuliposema tutatoa elimu ya bure?
Kwanza shule za kata zimejengwa Lowassa akiwa mamlakani; Kwa nini wakati huo hawakufikiria kwamba unapojenga shule hakikisha
kuna waalimu wa kutosha? Umeshaona wapi mwalimu mmoja anafundisha wanafunzi 270 katika darasa moja? Ni elimu ya aina gani tunayoisambaza?
Hatudanganyiki!
em
2014-11-01 14:22 GMT-04:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Naipenda sana kaulimbiu ya mzee Lowasa,elimu kwanza..safi sana
'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:muganda huyu si mbowe bana, mbona wewe ukiguswa dhidi ya mbowe unatamani kumrukia mtuNakuambia ukweli hata leo mwl angekuwepo angemuunga mkon o Lowasa maana kipindi cha nyerere cha ujamaa is no longer accepted....Lowasa ni jembe tena la trekta fordTumuungeni mkono tupate rais atakaetuvusha hapaOn Thursday, October 30, 2014 3:46 AM, 'Muhammedkhatib' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Sent from my iPadNaona watu wanajaribu kuandika upya historia. Kuna msaidizi wa Mwalimu anaitwa Kassori ambaye Lowassa alimtumia kumfikishia Mwalimu ujumbe wa kuomba support.Zungumzeni naye kabla hamjaja hapa kuandika upya historia. Naona hii ya utajiri wa Lowassa hukuigusia kabisa. Ndiyo sababu pekee Mwalimu alimkataa Lowassa.Endeleeni.em2014-10-27 11:54 GMT-04:00 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>:Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapaKwa muda mrefu kumekuwepo na maneno, miguno na hisia hasi kuhusu kauli ya Mwalimu Nyerere dhidi ya Comrade Lowassa. Hisia hizi na upotoshaji wa namna hii unafanywa na watu wasioujua ukweli (wakisemacho) au pia kwa makusudi wameamua kufanya jambo hilo..Ocampo four kama mtafiti huru nimefanya utafiti kwa muda wa miezi 4 ili tu kujua ukweli wa hili jambo.Kwanza naomba kusema ukimya wa comrade Lowassa imewapa fursa maadui zake, wahuni, wambea, wapenda fitina, na wakora (kama wale wakora wa Pwani waliokuja na matamko feki ya kumtukana Lowassa pamoja na viongozi wa dini kisa tu wametumwa na Membe na Rizone), ili tu kuchafua majina ya wanasiasa bora katika utendaji na wenye maamuzi magumu katika nchi hii. Kundi hilo la wahuni wanazidi kuaminisha kundi dogo la wachache kuwa Nyerere aliwai kumkataa Lowassa , kama mtafiti huru siwezi kamwe kuacha baadhi ya wahuni kuaribu historia ya nchi hii. Niliweza kufanya mahojiano na watu waliokuwa karibu sana sana na Mwalimu akiwemo mke wake mpendwa mama yetu Maria Nyerere, na wasomi mbali mbali na haya ndio niliyoyapata………Mama Maria Nyerere aliniambia tena kwa sauti ya upole, naomba kunukuu "Kijana wangu katika kipindi hichi cha uchaguzi utasikia mengi sana kuhusu viongozi mbalimbali, utasikia mabaya na mazuri unaweza usiyasikie kabisa, kuna viongozi wamefanya makubwa sana katika nchi hii ba --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment