Tatizo zaidi ktk suala hili la majengo mabovu Mji Mkongwe, unaotambuliwa kama Mji wa Urithi wa Dunia, kwa vigezo vya UNESCO, ni kwamba baadhi ya majengo ni mali ya watu binafsi. Panahitajika Sheria inayoyalinda, na kuyahakikishia matengenezo hata ikiwa kwa makubaliano ya kurudisha gharama kwa wale wanaoyamiliki.
Jabir+
From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, November 19, 2014 11:38 AM
Subject: Re: [wanabidii] JENGO LA KIHISTORIA LAPOROMOKA HUKO ZANZIBAR
UNESCO na SISA ndio wenye interest ya ukarabati majengo ya kale. National Archives wanajua na wamamiongozo kuhusu majengo ya mji mkongwe. Ni utendaji tu na wenye hela nchini kuwajibika sio kutegemea donors. Waone wenzao Europe walivyoyaweza majengo ya karne ya mijengo ya dunia ilipoanza walifanyaje? tuache kutegemea serikali, privatization itumike kuurudisha mjengo ulivyokuwa mradi tu muhusika atazingatia sheria ya kodi na kufaidisha wananchi husika au owner wa jengo husika ambaye hawezi kulikarabati mwenyewe kama inavyotakiwa na Idara ya Mambo ya Kale.-Soda za rangi tunaweza zaidi kuliko haya.
On Wednesday, 19 November 2014, 11:25, Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com> wrote:
Poleni sana.
Kwa hali hii, ipo haja ya majengo yote ya mji mkongwe kukaguliwa ili kuepusha maafa zaidi siku za usoni. Kwa vile wataalamu, majengo yatakayoonekana kuelekea kuwa na athari kwa maisha ya watu, wataalamu watumike kunakili ramani zake, majengo yavunjwe, na yajengwe upya, maana cha msingi hapa ni kutunza historia, majengo yanaweza kuvunjwa ama kukarabaritiwa vizuri na yakawa salama zaidi.
Kupanga ni kuchagua, hivyo na hili tunaweza kulifanya kwa ufanisi, pindi tukidhamiria hivyo, na kuwa na mpango mkakati wa kufanya hivyo, tuseme ndani ya miaka kumi, Stone Town, inaweza ikaboreshwa zaidi kuliko ilivyo leo.
2014-11-19 10:05 GMT+03:00 Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>:
--Jengo moja la gorofa laporomoka huko Zanzibar katika eneo la kihistoria Jaws Corner ndani ya manispaa ya mji mkongwe Zanzibar.Taarifa zinasema wananchi wa karibu na eneo hilo wakishirikiana na vikosi maalumu vya serikali vinaendelea kufanya jitihada mbali mbali katika eneo hilo ikiwemo kuhakikisha hakuna athari zaidi zitakazoweza kutokea.Baadhi ya shuhuda mmoja ameiambia mazrui media kuwa watu wana wasiwasi juu ya uwepo wa watu wawili waliokua wakipita njia hawana uhakika kama waliwahi kuvuka au laa.Hadi sasa juhudi za kuondoa kifusi cha jengo hilo kimeanza ili kuweza kubaini kama kuna watu wowote wale waliojeruhiwa au kupoteza maisha.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
-----------------------
Fratern Kilasara,
P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

0 comments:
Post a Comment