PAP imefungua kesi kupinga Ripoti ya CAG isijadiliwe Bungeni. Ni Misc. Application No. 50/2014. Respondents ni AG, Anne Makinda na Kashilila.
MJL
Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:
Hakika wananchi mkisubiri bunge lisafishe nyumba, Inakula kwenu.
Nafikiri mmeona intro kutoka kwa Madam Spika Makinda leo.
On 24 Nov 2014 20:15, "Jovias Mwesiga" <ngonzy@gmail.com> wrote:
Yes ni muuda muafaka kabisa watanzania kwa kutumia kanuni zetu na taratibu zetu tusafishe nyumba.
Huu mkate wetu kwanini wahuni wachachache wajiuchukuliee mapande makubwa peke yao
On Nov 23, 2014 11:21 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Jivin unaposema hivyo unasema fulani afanye hivi.Mfano enzi zile wajerumani walipoonekana kutaka kutuelekeza nani awe rafiki yetu TULIMFUKUZA balozi wao nchini. Tunaposema hivyo aliyetangaza kumfujuza ni Julius Kambarage Nyerere, Rais wa taifa letu.Unakumbuka lini kiongozi wetu aliwahi kuchukua hatua za kishujaa kama hizo?Linalowezekana ni watanzania kuanzia marekebisho kwenye uchaguzi basi. wasidanganywe. Hilo tunaliweza maana kila mpiga kura anaweza. Itategemea baqngi gani tumeleweshwa wakati wa uchaguzi ukifika.Unaona Nape ameanza kusema kama kawaida yao hawatamfumbia macho fisadi katika swala hili la ESCROW. Anaposema kama kawaida yao ana maana gani? Hatua walizomchukuliua Chenge? Hatua walizomchukulia Lowasa? Au wezi wa EPA waliosamehewa wakirudisha fedha?Vurugu tupu ndugu yanguOn Monday, November 24, 2014 1:56 AM, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Ujur kuna utamaduni wa ajabu miaka nenda rudi wahuni wanakosa mmoja anajiuzulu tukipoa anapewa ukuu wa mkoa kimya kimya waziri maisha yanaendelea.Hawa watu wameumiza watanzania na bahati nzuri tunajua hela nani na nani kala wafilisiwe sio pendekezo gumu lazima liko kwenyensheria zetu with no exceptions.Tuondoe utakatifu na kama taifa hatuitaji watu toka nje watueleze tufanyeje tufuate misingi nankanuni zetuOn Nov 23, 2014 4:33 PM, "'jabir yunus' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:EM una maana hizo za Escrow si fedha chafu? Si zimeibwa kishenzi?Fedha chafu si ni fedha zilizopatikana kwa njia chafu? na zikatumika kwa uchafu au uhalali? Kutakatisha fedha ndio money laundering, I suppose?Tuelimishane.J
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, November 23, 2014 9:02 PM
Subject: Re: [wanabidii] MAPENDEKEZO YA ZITTO KABWE NI BALAA TUPU!
Money laundering ni kuchukua hela chafu kama vile h --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Subscribe to: Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment