Tukibishana kwa mapenzi ya tunavyovihusudu inatuondolea kuuona ukweli na inatupunguzia uwezo wa kufikiria.
Katika demokrasia iliyojengwa juu ya msingi wa bora liende ambapo watu hawajui hata vyama vyao vinaamini nini vinatekeleza nini vinasimamia nini kibaya zaidi kukosekana kioo halisi na mwanga kutupa taswira halisi ya viongozi wetu itatupelekea kuwa kama headless chicken in future.
Kukaa hapa kubishana huyu msafi huyu mchafu ahali tunajua fika havina tija kwa mtanzania ni kumaliza uwezo wa kufikiria chanya katika nini kifanyike kitaifa.
Kama mtu mbovu ni mbovu acha apigwe mawe na we unamjua mwingine mbovu tuletee tumpige mshale.
Nchi hii systeam inataliwa overhauling kubwa. Tuna majitu ovyo upinzani na waliomadarakani.
Kitu kimoja kibaya katika nchi hii ni jinsi somo la historia lilivyouawa. Matokeo yake mtanzania anaishi leo ahofii kesho sababu hakumbuki jana ilikuwaje.
Kuna watu wanaongea kwa nguvu sana humu laiti wangekuwa wanajua mambo wanayoyasimamia yako ndo sio wangesaidia mtanzania wa kawaida kuwa natafakuri nzuri juu ya mambo.
Ukawa ni jambo bora sana ila waliondani ya basi hawachelewi kuliangusha
Hivi hii safu ya ukawa,wanadhani nchi hii yakugawana kama nyama Butchani,hivi light Mungu angekuwa anayaanika maovu ya viongozi hawa ninani angesimama kati yao?Eti mboe kwa kuwa ni mfanyabiashara auze Nchi,lipumba mchumi aliyeoza na alishindwa kumshauri Mwinyi akatapikwa alimshauri mseveni akatapikwa pia,Mbatia aliyeshindwa Ubunge kila maeneo aliyogombea leo anaona kuwa na ukawa atajaribu vunjo na huku akijua ubunge alionao ni huruma za CCM,jusa Mwanasheria wa Maalimu hana uchungu na nchi hii kwa kuwa hana hata mtoto ktk umri huo uchungu huu anaupata wapi ilihali ni mshabiki wa ndoa moja je akiwa madarakani itakuwaje?Tundu lisu mpotoshaji wa katiba mpaka alifikia kuwadamganya watanzania kuwa muungano si halali na hauna hati tena historia inaonesha akiwa sekondari alichochea jambo wanafunzi wenzake walipoteza masoma na ndicho anachofanya leo,Lema ni jambazi aliekubuu tangu aingie madarakani Amani arusha inatishiwa zipo fununu kuwa nusu ya familia yake ipo kenya hivyo kuharibu arusha hana hasala,Mdee ni walewale kuandamana kila leo leo akipiga kura ya ndio juu ya ndoa ya jinsia moja itakuwa shangwe kwake,slaa alitapikwa kanisani leo tumkumbatia tangu lini mtu aliyekiuka nadhili aliyoweka na Mungu leo mungu huyu ampe upakwa mafuta,Kafulila yeye ubunge wake ulinusurika mahakamani tena ashukuru hilo pia ruzuku NCCR iliongeza utetezi maana hatakiwi,Ebu tujiulize hili ni taifa la la kugawana Madaraka?au kuwasaidia Watanzania kuwaletea maendeleo?walimwengu hakikisheni watanzania wanafikiwa na kuelezwa juu ya lengo la Ukawa la kutumia nafasi kuwapotosha watanzania kwa kuwahakikishia CCM inashinda,shime kila mtu atimize wajibu wake ktk uchaguzi huu CCM inashinda vitongoji vyote,hasa ukizongatia kuwa hakuna mwananchi ambaye ameacha ktkt katiba inayopendekezwa,muelezee mapungufu ya katiba ya sasa na uzuri wa ile inayopendekeza,iwe bandika bandua kila kijiwe kuelezea ukweli tumetekeleza mengi tofauti na wanvyopotosha uma,CCM ni chaguo la Mungu na nimsaada kwa mataifa mengi ya Afrika,--
On Sunday, October 26, 2014 5:09:28 PM UTC+3, jbifa...@yahoo.com wrote:Sasa makubaliano yanatiwa saini.Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'jbifabusha' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>
Date:
To: wana...@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Dr. Slaa anasoma makubaliano ya UKAWA kabla ya kusainiwa na Wenyeviti wa vyama.
--Angalia ITV live.Sent from Samsung Mobile
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment