sasa jovin, Leila ametoa hoja yake kiulaini tu kutokana na alivofanya utafiti wake lakii wewe unamuattach dada wa watu why? akili zake hazijashikwa bali ndio anaamini hivyo na kwa kua hujafanya utafiti usimjibu kwa kumsupress hivyo
Kiukweli ukawa kumsimamisha mgpmbea mmoja bado si threat saana kwa CCM na sababu zipo na pili sidhan kama muungano huu utakua salama hadi mwisho, tupo yetu macho
Ila kwa kua watamsimamisha mtu kama slaa aliechuja akikaa ktk podium moja na jembe letu Edward sidhan kama atafukuruta huyu muirak......masai na muiraki nani bab kubwaaaaaa
so Leila mwacheni jamaniii
On Sunday, October 26, 2014 9:11 PM, 'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Pole sana Leila. Usifikiri watanzania woote wana akili za kushikiwa kama zako. najua wapo bado wenye mawazo na akili ndogo kama hizo, lakini wengi hawawezi sio tu kumeza bali hata kulishwa ujinga uliyouandika. Kama Lema ni jambazi, taja matukio aliyofanya na alikuibia lini, na kwa nini asishitakiwe? Kwa taarifa yako, mwanasiasa makini na mwana ccm wa kweli, tukio la kuungana kwa vyama hivi ni TISHIO kubwa kwa CCM. Hakuna asiyejua namna ushindi unavyopatikana kwa rushwa za waziwazi na ubabe wa kuchakachua matokepo. CCM tuliwashinda wapinzani kwa sababu kila mmoja alipigana kivyake, sasa wameungana! Wewe badala ya kutoa hoja unakurupuka kama mlevi.Pole na wala huisaidii CCM wala hujisaidii wewe mwenyewe
On Sunday, October 26, 2014 9:46 PM, 'Jovi kamuntu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Leila tukianza kukueleza mabaya ya viongozi wa CCM utayakubali?
Jovin Bifabusha
DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200
DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200
On Sunday, October 26, 2014 7:38 PM, Leila Abdul <hifadhi@gmail.com> wrote:
Hivi hii safu ya ukawa,wanadhani nchi hii yakugawana kama nyama Butchani,hivi light Mungu angekuwa anayaanika maovu ya viongozi hawa ninani angesimama kati yao?Eti mboe kwa kuwa ni mfanyabiashara auze Nchi,lipumba mchumi aliyeoza na alishindwa kumshauri Mwinyi akatapikwa alimshauri mseveni akatapikwa pia,Mbatia aliyeshindwa Ubunge kila maeneo aliyogombea leo anaona kuwa na ukawa atajaribu vunjo na huku akijua ubunge alionao ni huruma za CCM,jusa Mwanasheria wa Maalimu hana uchungu na nchi hii kwa kuwa hana hata mtoto ktk umri huo uchungu huu anaupata wapi ilihali ni mshabiki wa ndoa moja je akiwa madarakani itakuwaje?Tundu lisu mpotoshaji wa katiba mpaka alifikia kuwadamganya watanzania kuwa muungano si halali na hauna hati tena historia inaonesha akiwa sekondari alichochea jambo wanafunzi wenzake walipoteza masoma na ndicho anachofanya leo,Lema ni jambazi aliekubuu tangu aingie madarakani Amani arusha inatishiwa zipo fununu kuwa nusu ya familia yake ipo kenya hivyo kuharibu arusha hana hasala,Mdee ni walewale kuandamana kila leo leo akipiga kura ya ndio juu ya ndoa ya jinsia moja itakuwa shangwe kwake,slaa alitapikwa kanisani leo tumkumbatia tangu lini mtu aliyekiuka nadhili aliyoweka na Mungu leo mungu huyu ampe upakwa mafuta,Kafulila yeye ubunge wake ulinusurika mahakamani tena ashukuru hilo pia ruzuku NCCR iliongeza utetezi maana hatakiwi,Ebu tujiulize hili ni taifa la la kugawana Madaraka?au kuwasaidia Watanzania kuwaletea maendeleo?walimwengu hakikisheni watanzania wanafikiwa na kuelezwa juu ya lengo la Ukawa la kutumia nafasi kuwapotosha watanzania kwa kuwahakikishia CCM inashinda,shime kila mtu atimize wajibu wake ktk uchaguzi huu CCM inashinda vitongoji vyote,hasa ukizongatia kuwa hakuna mwananchi ambaye ameacha ktkt katiba inayopendekezwa,muelezee mapungufu ya katiba ya sasa na uzuri wa ile inayopendekeza,iwe bandika bandua kila kijiwe kuelezea ukweli tumetekeleza mengi tofauti na wanvyopotosha uma,CCM ni chaguo la Mungu na nimsaada kwa mataifa mengi ya Afrika,
On Sunday, October 26, 2014 5:09:28 PM UTC+3, jbifa...@yahoo.com wrote:

Sasa makubaliano yanatiwa saini.Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'jbifabusha' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>
Date:
To: wana...@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Dr. Slaa anasoma makubaliano ya UKAWA kabla ya kusainiwa na Wenyeviti wa vyama.
--Angalia ITV live.Sent from Samsung Mobile
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment