Sunday, 2 November 2014

Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar - Zanzibar laja

Wanabidii,

Kwa maoni yangu daraja hili linaweza kuwa na manufaa ya kiuchumi na kijamii kwa pande zote za Muungano.

Daraja hili litaongeza ufanisi katika usafirishaji ambapo ni dhahiri watu na bidhaa nyingi zitaweza kusafiri kwenda pande zote kwa gharama nafuu na haraka zaidi.

Daraja hili litaongeza mahusiano na biashara zaidi kati ya pande zote mbili kutokana a ukweli kuwa baadhi ya watu na bidhaa ni vigumu kusafiri kwa njia ya maji au anga lakini ni rahisi kwa njia ya nchi kavu.

Pia aliyesea litaongeza utalii yuko sahihi, kwa baadhgi yetu tuliabahatika kutembea baadhi ya sehemu duniani tunafahamu namna miundombinu iliyojengwa na wanadamu ambapo watu husafiri kwenda kuangalia na hivyo kuongeza pato la jamii husika kutokana na kuongezeka kwa shuguli za kiuchumi katika jamii husika.

Kipindi chote cha mradi pia kitaleta manufaa ya kiuchumi, kijamii na kiteknolojia kwa wadau wote wanahusika na mradi ikiwa ni pamoja na jamii yote iliyoko eneo la mradi pamoja na nchi yote kwa ujamla.

Daraja hili litakuwa na manufaa ya kiuchumi zaidi kwa wajenzi kwa sababu watakusanya tozo hivyo kurudisha fedha zao.

Mradi huu kama ukitekelezwa utatekelezwa kwa njia ya PPP hivyo Serikali haitagharamia mradi huu moja kwa moja hivyo hakuna hasara ya moja kwa moja ambayo Serikali itapata kutokana na kutekeleza mradi kwa kuwa Serikali itaendelea na majukumu yake ya msingi ya uwekezaji kwenye maeneo ambayo imeweka kama vipaumbele.

Ushauri wangu tukubali kama wazo zuri na tusubiri uchambuzi na upembuzi wa kitaalamu na wafanya maamuzi watafikia maamuzi kwa manufaa ya wadau wote.

Hongera NSSF na wwekezaji wote mliokuja na wazo hili.

Watanzania tubadilike tuwe na mawazo chanya kuhusu maendeleo.

Phares Magesa
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 2 Nov 2014 03:47:53 -0600
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar - Zanzibar laja

Kama hawa jamaa wanataka kweli kuwa wabunifu wapelekeeni taarifa ya kipato cha kaya iko hspa jukwaani.

Kuna nyanja lukuki za kuwekeza na kumtoa mtanzanis katika lindi la umasikini bila kuathirsavings za watu.

Au tulambe tusi la bwana salum la kujenga daraja lefu wstalii waje kuangalia hahah sifa za kijinga.

Mwambieni huyo bwana hata kama aliongea tu hii joke yake hailipi

On Nov 2, 2014 3:21 AM, "salumkango via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ni uwekezaji wa kitalii. Watakuja wengi kushangaa daraja refu kupitia yote Africa. Hahahahaa. Wabongo tuko juu.

Sent from my smartphone on the new Vodafone network

'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Njovu;Kuwa na Investment Director sio maana ya kufanya vizuri,mambo yote yanayoharibika tunayoyasikia kila kukicha yapo chini ya waangalizi hao hao i.e. Directors,Managers,PS,Ministers n.k.Binafsi concern yangu naona ni kamradi ka kipigaji,sio muhimu kwa wakati huu katika kuboresha maisha ya sisi malofa.Kuna mambo mengi ya msingi wanaweza kufanyia fedha zetu km. katika Afya na Elimu,huku directly watayagusa maisha yetu. Reuben
>
>      From: Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com>
> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Saturday, November 1, 2014 1:10 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar - Zanzibar laja
>
>Mwesiga
>Hii  ni investment. NSSF  wana  investment  Director. Kabla  hawaja announce  kitu kwa  public. Huyu bwana  anafanya  risk  analysis  ya investment hiyo. Na  anaangalia kama kuna low risk au high risk kwenye  investment hiyo.Kwa  NSSF  ni  good investment.  Kwa  kasumba ya utanzania  wetu  ni  ndoto ya mchana, Ni kucheza  na pesa ya wanachama , ni ulaji.  All in All government agency and  parastal  organization ndo  zinatakiwa  zifanye  wonders  ili  kuisaidia  serikali  katika  kujenga  hospital bora  africa , vyuo  bora  africa  na  n.k
>Regards
>
>
>2014-11-01 7:50 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
>
>Ulevi mwingine si lazima kugonga funga pingu hahah hakuna kitu kama hichoOn Oct 31, 2014 10:58 PM, "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>Njovu;You are right,hebu tusimulie kdg urahisi wa maisha utapatikanaje?mana hawa jamaa wamesahau katika taarifa hii kutuambia umuhimu wa daraja hilo ktk maisha ya sasa ya Kibongo,au vibaka watapata unafuu wa kutubana waenda kwa miguu mana nao ni WaTz pia. Reuben
>
>
>      From: Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com>
> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Friday, October 31, 2014 8:36 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar – Zanzibar laja
>
>Hongera   NSSF.  "  THIS  IS  THINK BIG ".  Ni  investment   nzuri sana  ambayo  itafanya  tz kuwa moja  na maisha za   znz kuwa marahisi kidogo.
>
>
>2014-10-31 11:53 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
>
>Nadhani Dau amelewa madaraka.em
>2014-10-31 1:51 GMT-04:00 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
>Comrades;Je hiki ni kipaumbele sahihi na muhimu kwa sasa hapa Tz?Au tunatafuta opportunities za upigaji?Napita tu.
> Reuben
>
>      From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Thursday, October 30, 2014 3:02 PM
> Subject: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar – Zanzibar laja
>
>BAADA ya ndoto ya kuziunganisha pande mbili za katikati ya Jiji la Dar es Salaam na Kigamboni kwa daraja lenye umbali wa meta 680, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linaangalia uwezekano wa kujenga daraja la kihistoria zaidi litakalounganisha Dar es Salaam na Zanzibar.
>
>Kwa sasa, uongozi wa shirika hilo upo katika mazungumzo na wataalamu mbalimbali ili kuangalia uwezekano wa kujenga daraja hilo katika bandari ya Dar es Salaam kwa upande wa Tanzania Bara na Unguja, kwa upande wa Zanzibar.
>
>Umbali kati ya Dar es Salaam na Zanzibar ni kilometa 73.43, sawa na maili 45.62 hivyo kuwapo kwa 
>mradi huo ni jambo linalowezekana, kwani kuna madaraja marefu zaidi duniani yanayounganisha upande mmoja wa bahari na mwingine.
>
>Kwa sasa, daraja refu kabisa duniani ni lile la Danyang–Kunshan lililopo China ambalo lina umbali wa kilometa 165, sawa na maili 102.4. Daraja hilo lilifunguliwa Juni mwaka 2011.
>
>Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk Ramadhan Dau wakati alipokuwa akijibu swali la Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda ambaye alitaka kufahamu kama kuna matarajio ya kujenga daraja kubwa zaidi, ikiwezekana la kati ya Dar es Salaam na Zanzibar.
>
>Alisema wapo katika mazungumzo na wataalamu mbalimbali ambapo mazungumzo hayo yakienda sawa, ujenzi wa daraja hilo huenda isiwe ndoto, bali ukweli.
>
>"Hilo wazo lipo mheshimiwa na tayari tumeshaanza mazungumzo ya awali, kwa hiyo hilo wazo lipo na sisi tulilifikiria," alisema Dk Dau.
>
>Kamati hiyo ilifanya ziara katika miradi mikubwa mitatu ya shirika hilo ambayo ni daraja la Kigamboni, ujenzi wa nyumba za Mtoni Kijichi na 'Dege Eco village' ambao una nyumba zaidi ya 7,000.
>
>Akizungumza wakati wa kuhitimisha ziara hiyo, Mtanda alisema, kamati yake imeridhishwa na miradi hiyo ya NSSF ambayo inaendelea huku akitaka kuongezwa kwa kasi ili watanzania waanze kunufaika na miradi hiyo.
>
>"Muangalie na hilo la ujenzi wa daraja la kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar na mradi wa makazi bora na salama ambao utaweza kubadili taswira ya Jiji la Dar es salaam," alisema.
>
>Alisema kamati yake isingependa kuona changamoto zozote ambazo zinaweza kukwamisha miradi hiyo na kwamba serikali kupitia Wizara ya Ujenzi itaangalia namna ya kuunganisha miundombinu karibu na miradi hiyo.
>
>"Lakini pia tumesikia kuwa serikali inadaiwa na mifuko ya hifadhi, tunashauri serikali kuilipa mifuko hii ili kuifanya kuwa na nguvu na kuweza kuleta maendeleo," alisisitiza Mtanda.
>
>
>   - HabariLeo: NSSF kuunganisha Dar – Zanzibar kwa daraja
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
> --

>XAVERY  LANGA   KAPECHA  CHIKATIZO NJOVU
>
>0783 662681
>
>" The Poor  man is  not  he without  cent, but  he who is  without  a dream"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment