Saturday, 1 November 2014

Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar - Zanzibar laja

Je mradi huu utarudishaje pesa za mfuko?

On Nov 1, 2014 2:37 PM, "Jovias Mwesiga" <ngonzy@gmail.com> wrote:

Mnajua kabisa hapa hela za wanachama zinaxhezewa.

Serikali ikichota hela kule kwa kisingizio kukopa hairudishi sasa lwa ujenzi huu sikilizia studies peke yake zitakula kiasi gani?

Kutuambia ujenzi tu haitoshi kiuchumi tutafaidikaje na mrejesho wa hela za wanachama?

Hivi kuna mtu ana idea kwa siku litapitisha magari mangapi kwenda zenji? Point yangu ni kuwa hatuna shughuli za kkihivyo bara na visiwani.

Pengine mtu aweza ishi unguja akafanya kazi Dar ni lisaa kuendesha urefu huo lakini kazi zenyewe ziko wapi.

Heri nikanywe rubisi kuliko hii ndoto

On Nov 1, 2014 5:10 AM, "Xavery.L.K Chikatizo Njovu" <njovucom@gmail.com> wrote:
Mwesiga

Hii  ni investment. NSSF  wana  investment  Director. Kabla  hawaja announce  kitu kwa  public. Huyu bwana  anafanya  risk  analysis  ya investment hiyo. Na  anaangalia kama kuna low risk au high risk kwenye  investment hiyo.
Kwa  NSSF  ni  good investment.  Kwa  kasumba ya utanzania  wetu  ni  ndoto ya mchana, Ni kucheza  na pesa ya wanachama , ni ulaji.  All in All government agency and  parastal  organization ndo  zinatakiwa  zifanye  wonders  ili  kuisaidia  serikali  katika  kujenga  hospital bora  africa , vyuo  bora  africa  na  n.k

Regards

2014-11-01 7:50 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:

Ulevi mwingine si lazima kugonga funga pingu hahah hakuna kitu kama hicho

On Oct 31, 2014 10:58 PM, "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Njovu;
You are right,hebu tusimulie kdg urahisi wa maisha utapatikanaje?mana hawa jamaa wamesahau katika taarifa hii kutuambia umuhimu wa daraja hilo ktk maisha ya sasa ya Kibongo,au vibaka watapata unafuu wa kutubana waenda kwa miguu mana nao ni WaTz pia.
 
Reuben

From: Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, October 31, 2014 8:36 PM
Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar – Zanzibar laja

Hongera   NSSF.  "  THIS  IS  THINK BIG ".  Ni  investment   nzuri sana  ambayo  itafanya  tz kuwa moja  na maisha za   znz kuwa marahisi kidogo.

2014-10-31 11:53 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Nadhani Dau amelewa madaraka.
em

2014-10-31 1:51 GMT-04:00 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Comrades;
Je hiki ni kipaumbele sahihi na muhimu kwa sasa hapa Tz?
Au tunatafuta opportunities za upigaji?
Napita tu.
 
Reuben

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 30, 2014 3:02 PM
Subject: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar – Zanzibar laja

BAADA ya ndoto ya kuziunganisha pande mbili za katikati ya Jiji la Dar es Salaam na Kigamboni kwa daraja lenye umbali wa meta 680, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linaangalia uwezekano wa kujenga daraja la kihistoria zaidi litakalounganisha Dar es Salaam na Zanzibar.

Kwa sasa, uongozi wa shirika hilo upo katika mazungumzo na wataalamu mbalimbali ili kuangalia uwezekano wa kujenga daraja hilo katika bandari ya Dar es Salaam kwa upande wa Tanzania Bara na Unguja, kwa upande wa Zanzibar.

Umbali kati ya Dar es Salaam na Zanzibar ni kilometa 73.43, sawa na maili 45.62 hivyo kuwapo kwa 
mradi huo ni jambo linalowezekana, kwani kuna madaraja marefu zaidi duniani yanayounganisha upande mmoja wa bahari na mwingine.

Kwa sasa, daraja refu kabisa duniani ni lile la Danyang–Kunshan lililopo China ambalo lina umbali wa kilometa 165, sawa na maili 102.4. Daraja hilo lilifunguliwa Juni mwaka 2011.

Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk Ramadhan Dau wakati alipokuwa akijibu swali la Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda ambaye alitaka kufahamu kama kuna matarajio ya kujenga daraja kubwa zaidi, ikiwezekana la kati ya Dar es Salaam na Zanzibar.

Alisema wapo katika mazungumzo na wataalamu mbalimbali ambapo mazungumzo hayo yakienda sawa, ujenzi wa daraja hilo huenda isiwe ndoto, bali ukweli.

"Hilo wazo lipo mheshimiwa na tayari tumeshaanza mazungumzo ya awali, kwa hiyo hilo wazo lipo na sisi tulilifikiria," alisema Dk Dau.

Kamati hiyo ilifanya ziara katika miradi mikubwa mitatu ya shirika hilo ambayo ni daraja la Kigamboni, ujenzi wa nyumba za Mtoni Kijichi na 'Dege Eco village' ambao una nyumba zaidi ya 7,000.

Akizungumza wakati wa kuhitimisha ziara hiyo, Mtanda alisema, kamati yake imeridhishwa na miradi hiyo ya NSSF ambayo inaendelea huku akitaka kuongezwa kwa kasi ili watanzania waanze kunufaika na miradi hiyo.

"Muangalie na hilo la ujenzi wa daraja la kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar na mradi wa makazi bora na salama ambao utaweza kubadili taswira ya Jiji la Dar es salaam," alisema.

Alisema kamati yake isingependa kuona changamoto zozote ambazo zinaweza kukwamisha miradi hiyo na kwamba serikali kupitia Wizara ya Ujenzi itaangalia namna ya kuunganisha miundombinu karibu na miradi hiyo.

"Lakini pia tumesikia kuwa serikali inadaiwa na mifuko ya hifadhi, tunashauri serikali kuilipa mifuko hii ili kuifanya kuwa na nguvu na kuweza kuleta maendeleo," alisisitiza Mtanda.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

XAVERY  LANGA   KAPECHA  CHIKATIZO NJOVU

0783 662681

" The Poor  man is  not  he without  cent, but  he who is  without  a dream"

0 comments:

Post a Comment