Monday, 9 September 2013

Re: [wanabidii] RE: [Wanazuoni] NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC

Tukijaribu kuangalia kwa ufasaha tofauti kati ya viongozi wa nchi
zilizoendelea na sisi basi ubishi haupo. Viongozi wetu wana kawaida ya
kuifanya kazi ya umma kuwa yao. Kama ana chuki binafsi au anataka
kufia madarakani lazima atafanya vioja. Kubaki ICC ni muhimu kwa
ustawi wa demokrasia. Kujitoa ni namna ya kutaka demokrasia ipindishwe

On 9/9/13, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
> Binadamu tuna hulka ya kujisahau na vyombo hivi vya kisheria viko kwa
> ajili ya kuweka checks and balances (kutukumbusha sehemu tulipokosea
> au fanya vizuri in case an issue is decided in our favour). Kukiwa na
> hoja ya kujiondoa ICC kwa kuogopa viongozi wetu kuhojiwa ICC kama
> wakipelekwa ili kujiridhisha kama walitenda haki au la, siku nyingine
> kuwe na hoja pia tusiwe na mahakama zetu pia. Naamini nia ya kumpeleka
> kiongozi ICC ni kwa sababu katika nchi yake mkono wa sheria hauwezi
> kumfikia na pia kwamba makosa yaliyotendeka ni makubwa na yanahitaji
> mkono mrefu zaidi wa ICC. Yona, si huwa tunaimba kwamba "justice must
> not only be done, but be seen done"? Sasa kwa nini hatutaki kwa baadhi
> "haki ionekane ikitendeka"?
>
> Bro Yona, ili kunogesha mjadala wetu toa sababu kwa nini Kenya au
> Tanzania ijitoe ICC (hasara ambazo nchi zetu zinapata kwa kuwa
> mwanachama wa ICC).
>
>
> On 9/9/13, chambegafreddie@yahoo.com <chambegafreddie@yahoo.com> wrote:
>> Natamani hata Tanzania kama sio jumuia ya africa mashariki wote
>> wajiondoe.Hureeee Kenya.
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>
>> -----Original Message-----
>> From: "Salim Khatri" <skhatri@orcis.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Mon, 9 Sep 2013 13:02:00
>> To: <Wanazuoni@yahoogroups.com>; 'wanabidii'<wanabidii@googlegroups.com>
>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: [wanabidii] RE: [Wanazuoni] NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC
>>
>> Je wajua huu muswada ulipitishwa bila ya wabunge wa CORD (chama cha
>> upinzani) baada ya wabunge hao ku-walk out in protest? Je utaunga mkono
>> muswada kama ule uliopitishwa majuzi huku wapinzani wameususia? Just
>> asking!
>>
>>
>>
>> Regds,
>>
>> Salim.
>>
>>
>>
>> From: Wanazuoni@yahoogroups.com [mailto:Wanazuoni@yahoogroups.com] On
>> Behalf
>> Of Yona Maro
>> Sent: Monday, September 09, 2013 11:50 AM
>> To: wanabidii; Wanazuoni
>> Subject: [Wanazuoni] NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC
>>
>>
>>
>>
>>
>> Ndugu zangu ,
>>
>>
>>
>> Pamoja na kwamba siungi mkono vurugu zilizotokea nchini Kenya mwaka 2007
>> baada ya uchaguzi hii isiwe sababu ya mie kuunga mkono hii mahamana ya
>> kimataifa ya ICC na mkataba wao wa ROMA .
>>
>>
>>
>> Ndugu zetu jirani zetu wa Kenya wameamua kujiondoa kwenye mkataba huu wa
>> roma na kusisitiza kwamba wakati wanaingia kwenye mkataba huo hakukuwa na
>> katiba ya sasa na mambo mengi zaidi ya kikatiba hayakufuatwa kwahiyo
>> wameona
>> bora wajiondoe .
>>
>>
>>
>> Mie naungana na wakenya naunga mkono nchi ya jumuiya ya afrika mashariki
>> kuamua kujiondoa kwenye mahakama hii , inapaswa kesi zinazohusu
>> mwanachama
>> wa jumuiya zishugulikiwe na mahakama za jumuiya au zile za umoja wa
>> afrika
>> haipaswi kwenda zaidi ya hapo .
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Find Jobs in Africa <http://www.wejobsafrica.blogspot.com> Jobs in
>> Africa
>>
>> International Job Opportunities <http://www.naombakazi.blogspot.com/>
>> International Job Opportunities
>>
>> Jobs in Kenya <http://www.findjobinkenya.blogspot.com> Jobs in Kenya
>>
>>
>>
>> __._,_.___
>>
>>
>>
>> <http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/post;_ylc=X3oDMTJybzJ0aW42BF9TAzk3M
>> zU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRtc2dJZAMyMDQ1NQRzZWMDZ
>> nRyBHNsawNycGx5BHN0aW1lAzEzNzg3MTY1NzM-?act=reply&messageNum=20455> Reply
>> via web post
>>
>>
>> <mailto:oldmoshi@gmail.com?subject=Re%3A%20NAUNGA%20MKONO%20KENYA%20KUJIONDO
>> A%20ICC> Reply to sender
>>
>>
>> <mailto:Wanazuoni@yahoogroups.com?subject=Re%3A%20NAUNGA%20MKONO%20KENYA%20K
>> UJIONDOA%20ICC> Reply to group
>>
>>
>> <http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/post;_ylc=X3oDMTJmZ2RxNGNkBF9TAzk3M
>> zU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDZnRyBHNsawNudHBjB
>> HN0aW1lAzEzNzg3MTY1NzM-> Start a New Topic
>>
>>
>> <http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/message/20455;_ylc=X3oDMTM3dnVqZDJp
>> BF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRtc2dJZAMyMDQ1
>> NQRzZWMDZnRyBHNsawN2dHBjBHN0aW1lAzEzNzg3MTY1NzMEdHBjSWQDMjA0NTU->
>> Messages
>> in this topic (1)
>>
>> Recent Activity:
>>
>> *
>> <http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/members;_ylc=X3oDMTJnbTQ3OGgxBF9TAz
>> k3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDdnRsBHNsawN2bW
>> JycwRzdGltZQMxMzc4NzE2NTcz?o=6> New Members 1
>>
>>
>> <http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni;_ylc=X3oDMTJmZGRnYW90BF9TAzk3MzU5Nz
>> E0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDdnRsBHNsawN2Z2hwBHN0aW
>> 1lAzEzNzg3MTY1NzM-> Visit Your Group
>>
>>
>> <http://groups.yahoo.com/;_ylc=X3oDMTJlbnJucjhyBF9TAzk3NDc2NTkwBGdycElkAzIwN
>> jc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDZnRyBHNsawNnZnAEc3RpbWUDMTM3ODcxNjU3M
>> w-->
>>
>> Switch to:
>> <mailto:Wanazuoni-traditional@yahoogroups.com?subject=Change%20Delivery%20Fo
>> rmat:%20Traditional> Text-Only,
>> <mailto:Wanazuoni-digest@yahoogroups.com?subject=Email%20Delivery:%20Digest>
>> Daily Digest .
>> <mailto:Wanazuoni-unsubscribe@yahoogroups.com?subject=Unsubscribe>
>> Unsubscribe . <http://info.yahoo.com/legal/us/yahoo/utos/terms/> Terms
>> of
>> Use .
>> <mailto:ygroupsnotifications@yahoogroups.com?subject=Feedback%20on%20the%20r
>> edesigned%20individual%20mail%20v1> Send us Feedback
>>
>> .
>>
>>
>> <http://geo.yahoo.com/serv?s=97359714/grpId=20674633/grpspId=1705444583/msgI
>> d=20455/stime=1378716573>
>>
>> __,_._,___
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment