Telesphor,
Yona hana sababu ya maana, wala hatokupa sababu yoyote. Sababu ya pekee aliyonayo pengine ni uzalendo. Leo Kenya itasema kwamba "ooh watu wetu wasipelekwe ICC, wapelekwe mahakama ya AU". Sawa. Halafu kesho kutatokea mtu atasema "Ooo lazma mahakama yetu ya Kenya, watu wetu hawapelekwi mahakama Arusha".
Sasa akiwa ni kiongozi wa Kenya, tuseme rais mwenyewe anatuhumiwa, ni mahakama gani ya Kenya itakayompata na hatia, ama kumhukumu?
2013/9/9 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
Binadamu tuna hulka ya kujisahau na vyombo hivi vya kisheria viko kwa
ajili ya kuweka checks and balances (kutukumbusha sehemu tulipokosea
au fanya vizuri in case an issue is decided in our favour). Kukiwa na
hoja ya kujiondoa ICC kwa kuogopa viongozi wetu kuhojiwa ICC kama
wakipelekwa ili kujiridhisha kama walitenda haki au la, siku nyingine
kuwe na hoja pia tusiwe na mahakama zetu pia. Naamini nia ya kumpeleka
kiongozi ICC ni kwa sababu katika nchi yake mkono wa sheria hauwezi
kumfikia na pia kwamba makosa yaliyotendeka ni makubwa na yanahitaji
mkono mrefu zaidi wa ICC. Yona, si huwa tunaimba kwamba "justice must
not only be done, but be seen done"? Sasa kwa nini hatutaki kwa baadhi
"haki ionekane ikitendeka"?
Bro Yona, ili kunogesha mjadala wetu toa sababu kwa nini Kenya au
Tanzania ijitoe ICC (hasara ambazo nchi zetu zinapata kwa kuwa
mwanachama wa ICC).
On 9/9/13, chambegafreddie@yahoo.com <chambegafreddie@yahoo.com> wrote:
> Natamani hata Tanzania kama sio jumuia ya africa mashariki wote
> wajiondoe.Hureeee Kenya.
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: "Salim Khatri" <skhatri@orcis.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Mon, 9 Sep 2013 13:02:00
> Find Jobs in Africa <http://www.wejobsafrica.blogspot.com> Jobs in Africa> To: <Wanazuoni@yahoogroups.com>; 'wanabidii'<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] RE: [Wanazuoni] NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC
>
> Je wajua huu muswada ulipitishwa bila ya wabunge wa CORD (chama cha
> upinzani) baada ya wabunge hao ku-walk out in protest? Je utaunga mkono
> muswada kama ule uliopitishwa majuzi huku wapinzani wameususia? Just
> asking!
>
>
>
> Regds,
>
> Salim.
>
>
>
> From: Wanazuoni@yahoogroups.com [mailto:Wanazuoni@yahoogroups.com] On
> Behalf
> Of Yona Maro
> Sent: Monday, September 09, 2013 11:50 AM
> To: wanabidii; Wanazuoni
> Subject: [Wanazuoni] NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC
>
>
>
>
>
> Ndugu zangu ,
>
>
>
> Pamoja na kwamba siungi mkono vurugu zilizotokea nchini Kenya mwaka 2007
> baada ya uchaguzi hii isiwe sababu ya mie kuunga mkono hii mahamana ya
> kimataifa ya ICC na mkataba wao wa ROMA .
>
>
>
> Ndugu zetu jirani zetu wa Kenya wameamua kujiondoa kwenye mkataba huu wa
> roma na kusisitiza kwamba wakati wanaingia kwenye mkataba huo hakukuwa na
> katiba ya sasa na mambo mengi zaidi ya kikatiba hayakufuatwa kwahiyo
> wameona
> bora wajiondoe .
>
>
>
> Mie naungana na wakenya naunga mkono nchi ya jumuiya ya afrika mashariki
> kuamua kujiondoa kwenye mahakama hii , inapaswa kesi zinazohusu mwanachama
> wa jumuiya zishugulikiwe na mahakama za jumuiya au zile za umoja wa afrika
> haipaswi kwenda zaidi ya hapo .
>
>
>
>
>
> --
>
>
> International Job Opportunities <http://www.naombakazi.blogspot.com/>
> International Job Opportunities
>
> __._,_.___
>
>
>
> <http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/post;_ylc=X3oDMTJybzJ0aW42BF9TAzk3M
> zU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRtc2dJZAMyMDQ1NQRzZWMDZ
> nRyBHNsawNycGx5BHN0aW1lAzEzNzg3MTY1NzM-?act=reply&messageNum=20455> Reply
> via web post
>
>
> <mailto:oldmoshi@gmail.com?subject=Re%3A%20NAUNGA%20MKONO%20KENYA%20KUJIONDO
> A%20ICC> Reply to sender
>
>
> <mailto:Wanazuoni@yahoogroups.com?subject=Re%3A%20NAUNGA%20MKONO%20KENYA%20K
> UJIONDOA%20ICC> Reply to group
>
>
> <http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/post;_ylc=X3oDMTJmZ2RxNGNkBF9TAzk3M
> zU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDZnRyBHNsawNudHBjB
> HN0aW1lAzEzNzg3MTY1NzM-> Start a New Topic
>
>
> <http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/message/20455;_ylc=X3oDMTM3dnVqZDJp
> BF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRtc2dJZAMyMDQ1
> NQRzZWMDZnRyBHNsawN2dHBjBHN0aW1lAzEzNzg3MTY1NzMEdHBjSWQDMjA0NTU-> Messages
> in this topic (1)> *
>
> Recent Activity:
>
> <http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/members;_ylc=X3oDMTJnbTQ3OGgxBF9TAz
> k3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDdnRsBHNsawN2bW
> JycwRzdGltZQMxMzc4NzE2NTcz?o=6> New Members 1
>
>
> <http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni;_ylc=X3oDMTJmZGRnYW90BF9TAzk3MzU5Nz
> E0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDdnRsBHNsawN2Z2hwBHN0aW
> 1lAzEzNzg3MTY1NzM-> Visit Your Group
>
>
> <http://groups.yahoo.com/;_ylc=X3oDMTJlbnJucjhyBF9TAzk3NDc2NTkwBGdycElkAzIwN
> jc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDZnRyBHNsawNnZnAEc3RpbWUDMTM3ODcxNjU3M
> w-->
>
> Switch to:
> <mailto:Wanazuoni-traditional@yahoogroups.com?subject=Change%20Delivery%20Fo
> rmat:%20Traditional> Text-Only,
> <mailto:Wanazuoni-digest@yahoogroups.com?subject=Email%20Delivery:%20Digest>
> Daily Digest .
> <mailto:Wanazuoni-unsubscribe@yahoogroups.com?subject=Unsubscribe>
> Unsubscribe . <http://info.yahoo.com/legal/us/yahoo/utos/terms/> Terms of
> Use .
> <mailto:ygroupsnotifications@yahoogroups.com?subject=Feedback%20on%20the%20r
> edesigned%20individual%20mail%20v1> Send us Feedback
>
> .
>
>
> <http://geo.yahoo.com/serv?s=97359714/grpId=20674633/grpspId=1705444583/msgI
> d=20455/stime=1378716573>
>
> __,_._,___
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment