Kuna miradi mingi ya mbuzi wa maziwa, kufuga kuku wa kienyeji, mizinga ya nyuki iliyoanzishwa na wahisani, mashirika ya maendeleo na watu binafsi (wazungu) kufika mahala kuona hali halisi na kutoa fedha mfukoni-mingi imekufa, wanavikundi wavivu kulisha mifugo kwa zamu. Kama wakija kutembelewa na mhisani-watapanga kuonyesha mbuzi wa maziwa wa mtu binafsi wanapanga kanyaboya. kama ni mradi wa maji uliokwama-watanunua maji toka magari matangi ya matangi ya kuuza maji waonyeshe kwa muda kuwa tangi la maji limejaa. Kama ni shamba -watapanda midizi bonomu ionekane ipo shambani au wataongopa-daraja limekatika hakufikiki. wamejenga visima 3 kwa hela walizopewa mamilioni-wataandika taarifa rasmi kuwa wamejega 30 kila kijiji kinavyo visima vya pampu kadhaa.
Hata hizo juice tunywazo-ni rangi tu na sukari-maembe yanaoza Lindi, Mtwara, Ulanga lakini apples za S.Africa, maembe ya mombasa na Sudan yamejaa mitaani kwa bei ghali. Kuleta kutoka sudan ni rahisi kuliko kuyatoa Mwanza au Ulaga, Rufiji. Mafia Island maziwa ya ng'ombe yanamwagwa ikifika jioni, lakini vijana hawana ajira. Kujiunga wasafirishe walete DSM-tatizo, wapo barazani, tabu ya nini? hata samaki za maji baridi (Kambale) anakula mbwa. za maji chumvi zimejaa na soko dogo labda zije kisiju, nyamisati kwa hizo boti za mungu nisaidie. Hoteli za ndani ya Mbuga ya Serengeti zimetoa michango ili zinunue bidhaa na kuboresha uchumi na kipato cha wananchi. Wapate kabichi, karoti, nyanya na mboga za majani, mayai-hakieleweki. Bustani hazidumu, kikaroti -kimzizi hakina nyamba. Mbolea wafugaji imewajalia kibao. Wakipata hela kidogo-nauli kuja Dar kufanya ulinzi; tender ya kupeleka mboga hotelini-haikidhi haja wala kufanikishwa. Mayai ya kuku-kama ya mjusi; inabidi hoteli zikanunue Arusha sokoni-kisha tunalalama.Hatuoni vibanzi vyetu na hatukubali kuambiwa.
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, 3 September 2013, 9:55
Subject: Re: [wanabidii] Hii ni dharau na fedheha kubwa kwa Taifa
Sent: Tuesday, 3 September 2013, 9:55
Subject: Re: [wanabidii] Hii ni dharau na fedheha kubwa kwa Taifa
Halafu hela nyingi zinazokuja kwa ajili ya miradi ya gesi ni ya mikopo ya muda mrefu na dhamana yake si mchezo , lazima watanzania wakubali katika hilo laba wajiunge wengi kidogo na si mmoja mmoja .
Nina mifano kadhaa ya watanzania walioshindwa kupeleka hata lita 1000 kwa siku kwenye mgodi mmoja wa dhahabu badala yake maziwa yanatoka nchi jirani , maembe yanayoka sudan au afrika kusini kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kuzalisha na kuuzia migodi .
2013/9/3 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Wapi Shingela Aloyce?--2013/9/3 erick maro <rikmaro@gmail.com>
Sinahakika Nilichosikia kama ndicho waziri wa nishati na madini alichokisema akiwa timamu wa akili, huku akimaanisha alichosema. Kama alisema haya "Watanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi na mafuta, bali waendelee na biashara ya matunda na juice, na pia hana muda wa kujadiliana chochote na Watanzania wale wanaofikiria kuwekeza katika mafuta na gesi ".Hii ni kauli yake, ya serekali ilitoko madarakani au ya chama chake cha Ccm?--
Kama alizungumza hayo akiwa timamu bila kutumia kilevi chochote wala kuagizwa na Serikali anayoitumikia au chama chake, hakika atakuwa ni mshenzi, mpuuzi na mpumbavu wa mwisho Duniani. Kama si kauli ya Serikali, wala chama chake basi nategemea awajibishwe ipasavyo na mabosi wake kwa kuutukana Umma wa Watanzania na Taifa letu kwa ujumla. Hata kama kweli hatuwezi si lugha ya kuitumia kwa Wananchi wenzako. Lakini siamini kama Serikali ikiweka mazingira rafiki, na sera bora zinazosimamiwa vyema tutashindwa kuwekeza katika gesi na mafuta. Hapa napata wasiwasi na uraia wa ndugu Sospeter Muhogo waziri wa nishati na madini, kwa kauli hii, pia serikali na chama chake.
Tujithamini, tujipende, tujikubali, tutumie kile tulichonacho kwa faida ya Taifa letu.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment