Friday 6 September 2013

Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali

Kunyaranyara,
 Mimi nimekaa nje muda mrefu. Ninafahamiana na maafisa wizara ya mambo ya nje ya Marekani. Na uzuri wa Marekani hawana siri.
Ukweli si kwamba wanaona tuna uongozi mzuri. Wanaona tuna uongozi unaopenda kutumikia maslahi yao. That is the difference.
Wamarekani hawakumpenda Mwalimu Nyerere, lakini walimheshimu. Wanampenda Kikwete, lakini hawamheshimu. Go figure.
em

On Fri, Sep 6, 2013 at 9:45 AM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:

EM

Wapo tatizo ni mitizamo na mapenzi ya watu kuliko nchi. Siasa za nguvu zinapofusha watu wasione kariba ya uongozi tulionao. Iweje wa nje waone kwamba tuna uongozi mzuri sana na sisi tusiuone? Ni kwamba tumeamua kujifanya vipofu ambapo kwa siasa tulizoamua kufanya ni sawa.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali
Sent: Fri, Sep 6, 2013 12:15:31 PM

Mimi bado nina swali kwa wale wanaoamini kuwa lazima twende Kigali. Ili iweje? Collin Powell aliwahi kusema "you break it, you own it."
Tukienda Kigali, tukishinda vita then what? Do we colonize Rwanda? Do we choose its leaders for them? Baada ya vita vya Uganda, Mwalimu hakutaka kui-own Uganda. Aliwashauri wale waliotaka polisi wetu watoe mafunzo kwa polisi wa Uganda, waombe msaada wa Uingereza. Na aliharakisha kuondoa jeshi letu kule ili tusionekane we own Uganda. Do we today have the leadership ya calibre ya Mwalimu?
em

2013/9/6 mngonge <mngonge@gmail.com>
Kunyaranyara

Sasa nimekuelewa vizuri na hata mimi nimekwishadokeza kwamba watu hutofautiana kimtazamo. Hata mimi kuonewa au kuonea sipendelei ila ni busara kupima ukubwa wa kuonewa. Pia inatubidi kuchagua njia za kujitetea baada ya kupima faida na hasara za njia hizo.

Pamoja na utofauti wetu kimtizamo bado tunaweza kukubaliana katika mambo kadhaa ikiwemo kupima faida na hasara za muda mfupi na mrefu kama tutachagua kutumia njia fulani kujitetea. Wakati mwingine kukubaliana kutokubaliana ni resolution nzuri. Kwa mtizamo wangu mgogoro wa JK na PK ulikuwa haujafikia mahala pa kusema umeshindikana kumalizwa kidiplomasia na hivyo isingekuwa busara kukimbilia njia ya vita. Afterall kulikuwa na uonevu gani kwetu PK kukataa ushauri wa rais wetu JK?

Kuhusu ako unakokaita kadigrii ka Manzese tena ka zamani nafikiri ukikaundermine unakaonea, japo sijajua hiyo ni zamani ya tangu lini. Lakini nijuavyo mimi miaka kama 15 na kuendelea iliyopita bado wahitimu walikuwa wanatumia nguvu zaidi kusoma na kufikiri kuliko sasa tunapotumia electronics. Kujua kutumia kompyuta kwa sana haina maana kwamba kompyuta zimereplace human brains la hasha. Pia ukumbuke waliokuwa wanachaguliwa kujiunga wakati huo walikuwa ni cream ya watu wachache walioendana na vyumba pamoja na vifaa vya kufundishia na kujifunzia. Ukiondoa mapenzi yako ya chama fulani mawazo yako huwa nayakubali sana na yanaonyesha kwamba kichwani mwako digrii imo.

Cheers

2013/9/6 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Mngonge
 
Ni bahati mbaya sana mtizamo wako wa mambo ni tofauti sana na ninavyotizama mimi. Na hivi ndivyo tulivyo binadamu wote. Kuwa tofauti kimtizamo lakini bado tukabakia wamoja ni sifa ambayo tunajaribu kuijenga hapa na baadaye kwamba kuwa tofauti katika kufikiri hakufanyi sisi kutokuwa watanzania. natamani sana hii iwe ni moja ya sifa za watanzania wa sasa na wajao.
 
Hoja yangu kama unasoma ndani ya mistari kwa kifupi sipendi kuonewa na sipendi kumuonea mtu hasa pale anapokuwa amesababisha shida kwa maslahi yake binafsi. Mimi siyo mbabe kama unavyojaribu kuweka hoja yako kudhani kwamba kwa JKkuzungumza na PK mimi nitakasirika, siko hivyo, huwa nakubali hata mitizamo ya wengine kama mimi nilivyo na misimamo tofauti na wao.
 
JK anazo njia nyingi za kupata habari na ushauri, na wengine ni wa kariba kubwa za kitaifa na kimataifa kuliko mimi mkulima na mtu niliyepata nafasi kidogo tu ya kaelimu ka chuo cha manzese enzi hizo. Nilichokuwa nafanya na bado naendelea kufanya ni kuchangia mawazo yangu. Niliwahi kusema watanzania wote hatuwezi kuwa na mtizamo wa aina moja kama ninyi mnavyotaka tuwe, eti mtu akiwa na mawazo tofauti kwenu ni balaa. Hii siyo, hata mapacha hutofautiana akili na uwezo wa kufikiri.
 
Hivi ndivyo nilivyo, siamui kwa haraka kama unavyodhani, nafikiri nikisema jambo nina uhakika nalo (kwa upande wangu).
 
Kwa hiyo kwa kifupi mimi sina tatizo na kilichofanyika kwa JK afterall alishauriwa na watu wengi aliwamo Ban-ki moon pia kuwa aongee na PK sembuse mimi mwenye mtizamo wa wafugaji na wavuvi.
 
Mwisho bado naamini vita kwa Rwanda ndio njia pekee ya kuondoa kadhia hii iliyopo na itakayokuja kama haitashughulikiwa kwa vizazi vijavyo. Unaweza kuahirisha kwa sasa lakini kama hata huo uchumi mnaousema hautakuwepo kama hakutakuwa na njia ya kudumu ya kuondosha shida na kadhia hii iliyopo kwa sasa.
 
K.E.M.S.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 6 September 2013, 10:31
Subject: Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali
Mimi siamini kama Kunyaranyara wanataka vita hasa. Cha msingi hapa si Jk kukutana na PK ila wameongea nini Siamini kama JK hakumwambia PK alimaanisha nini kumwambia aongee na FDLR. kwa hiyo walichoongea iwe isiwe siri ndocho muhimu. Hajamuudhi mtu kwa kukutana naye lakini kama amemuomba msamaha ametuudhi wengi. Hakuna anayependa vita. Hata anayelazimika kupigana anakuwa amelazimika. Moja kati ya mazingira yaliyopelekea watu kuona heri kwenda vitani ni mwelekeo wa PK na kuyasoma mazingira ya East DRC. yakiachiwa kuamuliwa na PK basi na tanzania tunakuwa watarajiwa wa mgogoro kama huo  miaka mingi ijayo. Hilo ndilo wengine wakaona heri kupigana leo kuliko miaka 50 ijayo maana hatujui silaha za wakati huo zitakuwa zinafananaje

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, September 6, 2013 9:58 AM
Subject: Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali
Nafikiri JK jana katumia busara kuongea na PK kuepusha vita. Bila shaka JK kawaudhi sana akina Kunyaranyara kwa tukio hilo, maana wao wanachotaka vita. Sishangai sana maana kundi kama hili tunalo hata mitaani hata kwa kitu kidogo wao dawa wanaona ni kupigana tu. Tatizo ni pale wanajiamini na kuanzisha ugomvi ambao mwisho wake wanapigwa. Nawaomba akina Kunyaranyara watwambie hasara tutakazopata kwa hatua ya JK kuamua kuongea na PK badala ya kuwaamuru JWTZ kuwavurumishia risasi na mabomu Wanyarwanda
On Thu, Sep 5, 2013 at 6:34 PM, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
Mungu apishilie mbali tusije ingia kwenye vita za kijinga kabisa...................
2013/9/5 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Woga wao wanajikuta wanafanya kazi ya adui hawa bila kujua. Wasiwakatishe tamaa watu wengine. Hatuwezi kupigwa viboko bila sababu halafu tubakie tunalalamika eti tunaomba tuzungumze.
Hata katika vitabu vyetu vya dini vinapiga vita woga. Hakuna njia ya mkato katika hili, msitukatisshe tamaa. Mnaweza tuwe pamoja hamuwezi basi kaeni kimya wanaoweza waitetee nchi yetu.
Sent from Yahoo! Mail on Android
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

4 comments:

  1. Do you need a loan/financial assistance ? We can help you secure your future
    financially within 72 hrs.
    For additional questions and to submit an application for this loan offer
    send your replies to : musungu.andrewfirm@yahoo.com
    Mr Andrew Musungu

    ReplyDelete
  2. LOAN BINAFSI NA BIASHARA LOAN Offer KUOMBA sasa. 3%.

    Hello, Je, unahitaji mkopo kutoka kampuni kuaminiwa zaidi na ya kuaminika
    katika dunia? kama ndiyo basi wasiliana nasi sasa kwa sisi kutoa mkopo kwa wote
    makundi ya watu wanaotafuta kuwa ni makampuni au kwa ajili ya matumizi ya wafanyakazi. Tunatoa
    mkopo kwa kiwango 3% riba, Wasiliana nasi kupitia barua pepe:
    qmank011@gmail.com

    (1) Jina kamili
    (2) Full mitaani
    (3) Nchi
    (4) Umri
    (5) Kazi
    (6) Mwambie namba ya simu
    (7) Jinsia:
    (8) Loan Kiasi inahitajika:
    (9) Loan Duration

    Email yetu katika: qmank011@gmail.com

    ReplyDelete
  3. LOAN BINAFSI NA BIASHARA LOAN Offer KUOMBA sasa. 3%.

    Hello, Je, unahitaji mkopo kutoka kampuni kuaminiwa zaidi na ya kuaminika
    katika dunia? kama ndiyo basi wasiliana nasi sasa kwa sisi kutoa mkopo kwa wote
    makundi ya watu wanaotafuta kuwa ni makampuni au kwa ajili ya matumizi ya wafanyakazi. Tunatoa
    mkopo kwa kiwango 3% riba, Wasiliana nasi kupitia barua pepe:
    qmank011@gmail.com

    (1) Jina kamili
    (2) Full mitaani
    (3) Nchi
    (4) Umri
    (5) Kazi
    (6) Mwambie namba ya simu
    (7) Jinsia:
    (8) Loan Kiasi inahitajika:
    (9) Loan Duration

    Email yetu katika: qmank011@gmail.com

    ReplyDelete

  4. Do you need an urgent loan we offer worldwide loan to who in need of loan the business opportunity you having being looking for is here again. email us now at: mohanmendserves@gmail.com
    LOAN APPLICATION FORM
    1) Full Name:
    2) Gender:
    3) Loan Amount Needed:.
    4) Loan Duration:
    5) Country:
    6) Home Address:
    7) Mobile Number:
    8)Monthly Income:
    9)Occupation:
    )Which did you here about us.

    Best Regards.

    ReplyDelete