Friday, 6 September 2013

Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali

Kunyaranyara. nafikiri si swala msimamo mahala pengine. Ni Swala la kuona na kutoona tatizo na kiini chake.
Wanaoshabikia kueposha vita sasa nina hakika hawajui kuwa vita imeahirishwa. Mimi na wewe tunaoona hii vita ipo (sasa au baadaye) ndio tunaamini amani ya baadaye ni kuchapana sasa. Wakati huo hatujui Rwanda itakuwa ina silaha gani au Tanzania.
Kwa kusema hivyo si kuwa nashabikia vita. ninachotaka ni tufanyeje tuepushe vita.
Kama Kabila atalazimishwa kupatana na M23 na Kagame akaachwa kuiunga mkono tumeahirisha vita.
Kama wanyarwanda hawatakaa chini na kuongea (FDLR na serikali iliyo madarakani Rwanda) tumeahirisha vita. Haina maana yeyeote kumuonea Kabila na wakongo kwa kumheshimu Kagame halafu tuseme diplomasia imeshindwa. If we dont put in our fingers we will oneday put in our heads. It is a matter of time.

From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, September 6, 2013 2:28 PM
Subject: Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali
Mngonge
 
Ni bahati mbaya sana mtizamo wako wa mambo ni tofauti sana na ninavyotizama mimi. Na hivi ndivyo tulivyo binadamu wote. Kuwa tofauti kimtizamo lakini bado tukabakia wamoja ni sifa ambayo tunajaribu kuijenga hapa na baadaye kwamba kuwa tofauti katika kufikiri hakufanyi sisi kutokuwa watanzania. natamani sana hii iwe ni moja ya sifa za watanzania wa sasa na wajao.
 
Hoja yangu kama unasoma ndani ya mistari kwa kifupi sipendi kuonewa na sipendi kumuonea mtu hasa pale anapokuwa amesababisha shida kwa maslahi yake binafsi. Mimi siyo mbabe kama unavyojaribu kuweka hoja yako kudhani kwamba kwa JKkuzungumza na PK mimi nitakasirika, siko hivyo, huwa nakubali hata mitizamo ya wengine kama mimi nilivyo na misimamo tofauti na wao.
 
JK anazo njia nyingi za kupata habari na ushauri, na wengine ni wa kariba kubwa za kitaifa na kimataifa kuliko mimi mkulima na mtu niliyepata nafasi kidogo tu ya kaelimu ka chuo cha manzese enzi hizo. Nilichokuwa nafanya na bado naendelea kufanya ni kuchangia mawazo yangu. Niliwahi kusema watanzania wote hatuwezi kuwa na mtizamo wa aina moja kama ninyi mnavyotaka tuwe, eti mtu akiwa na mawazo tofauti kwenu ni balaa. Hii siyo, hata mapacha hutofautiana akili na uwezo wa kufikiri.
 
Hivi ndivyo nilivyo, siamui kwa haraka kama unavyodhani, nafikiri nikisema jambo nina uhakika nalo (kwa upande wangu).
 
Kwa hiyo kwa kifupi mimi sina tatizo na kilichofanyika kwa JK afterall alishauriwa na watu wengi aliwamo Ban-ki moon pia kuwa aongee na PK sembuse mimi mwenye mtizamo wa wafugaji na wavuvi.
 
Mwisho bado naamini vita kwa Rwanda ndio njia pekee ya kuondoa kadhia hii iliyopo na itakayokuja kama haitashughulikiwa kwa vizazi vijavyo. Unaweza kuahirisha kwa sasa lakini kama hata huo uchumi mnaousema hautakuwepo kama hakutakuwa na njia ya kudumu ya kuondosha shida na kadhia hii iliyopo kwa sasa.
 
K.E.M.S.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 6 September 2013, 10:31
Subject: Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali
Mimi siamini kama Kunyaranyara wanataka vita hasa. Cha msingi hapa si Jk kukutana na PK ila wameongea nini Siamini kama JK hakumwambia PK alimaanisha nini kumwambia aongee na FDLR. kwa hiyo walichoongea iwe isiwe siri ndocho muhimu. Hajamuudhi mtu kwa kukutana naye lakini kama amemuomba msamaha ametuudhi wengi. Hakuna anayependa vita. Hata anayelazimika kupigana anakuwa amelazimika. Moja kati ya mazingira yaliyopelekea watu kuona heri kwenda vitani ni mwelekeo wa PK na kuyasoma mazingira ya East DRC. yakiachiwa kuamuliwa na PK basi na tanzania tunakuwa watarajiwa wa mgogoro kama huo  miaka mingi ijayo. Hilo ndilo wengine wakaona heri kupigana leo kuliko miaka 50 ijayo maana hatujui silaha za wakati huo zitakuwa zinafananaje

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, September 6, 2013 9:58 AM
Subject: Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali
Nafikiri JK jana katumia busara kuongea na PK kuepusha vita. Bila shaka JK kawaudhi sana akina Kunyaranyara kwa tukio hilo, maana wao wanachotaka vita. Sishangai sana maana kundi kama hili tunalo hata mitaani hata kwa kitu kidogo wao dawa wanaona ni kupigana tu. Tatizo ni pale wanajiamini na kuanzisha ugomvi ambao mwisho wake wanapigwa. Nawaomba akina Kunyaranyara watwambie hasara tutakazopata kwa hatua ya JK kuamua kuongea na PK badala ya kuwaamuru JWTZ kuwavurumishia risasi na mabomu Wanyarwanda
On Thu, Sep 5, 2013 at 6:34 PM, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
Mungu apishilie mbali tusije ingia kwenye vita za kijinga kabisa...................
2013/9/5 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Woga wao wanajikuta wanafanya kazi ya adui hawa bila kujua. Wasiwakatishe tamaa watu wengine. Hatuwezi kupigwa viboko bila sababu halafu tubakie tunalalamika eti tunaomba tuzungumze.
Hata katika vitabu vyetu vya dini vinapiga vita woga. Hakuna njia ya mkato katika hili, msitukatisshe tamaa. Mnaweza tuwe pamoja hamuwezi basi kaeni kimya wanaoweza waitetee nchi yetu.
Sent from Yahoo! Mail on Android
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment