Na Maggid Mjengwa,
Kwa furaha tena naendelea na simulizi hizi za Mzee wetu Madiba. Na hapa kuna bashraf ya tulikoishia jana...
"Mandela akajikuta amesimama miongoni mwa waheshimiwa na kukaribishwa chai. Na ghafla kukawa na foleni ya waheshimiwa wabunge mbele yake Mandela. Naye Mandela akashangazwa sana kuona wabunge wale wamejipanga mstari, na mmoja baada ya mwingine anakwenda mbele yake kumshika mkono na kumsalimu kwa heshima kubwa.
Wakati tukio hilo likiendelea kumshangaza Mandela, basi, ilipofika zamu ya Mbunge wa tatu kwenye mstari kumsalimu Mandela akasikia sauti ikimtamkia kutoka kwa Mbunge huyo;
" It is a great honour to shake the hand of the revered Chief Luthuli, winner of the Nobel Peace Prize." ( Nelson Mandela, Long Walk To Freedom, pg. 357.)
Kwamba mbunge huyo alitamka kuwa ilikuwa heshima kubwa kwake kushikana mikono na Chifu Luthuli, mshindi wa tuzo ya Amani ya Nobeli. Ndipo hapo Mandela akafahamu, kuwa Karani yule wa Bunge alichanganya mambo! .. Endelea..
Mwaka bado ni 1962, Mandela akafika mpaka nchi ya Liberia, huko akakutana na...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/4175-simulizi-za-mzee-madiba-mandela-alipochacha-mfukoni-akiwa-safarini.html#.UfC7x22CDTo
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment