Wednesday, 24 July 2013

Re: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA

Mimi umenikumbusha "Saving Private Ryan", it was something very costful.

On Wednesday, July 24, 2013 10:00:12 AM UTC+3, Yona F Maro wrote:
Maoni yangu ni nukuu toka kwa habari kama hiyo iliyoletwa kwa lugha ya kiingereza tembelea www.wanabidii.net utaona habari ya kwanza , kwa sababu nyie hamsomi mnaanza kunishambulia , hata hivyo sitishiki na vitisho hivi mengi yamepita .

Tungekuwa na mifumo bora na ya kuaminika ya utumishi wa umma basi mtu aliyeleta habari hii angeweza kuipeleka panapo stahili na vile vile kulindwa kwa hili jambo nyeti .

Naomba niishie hapa kwa kuelewa zaidi unaweza kuangalia tamthilia za 25 kuna rais mmoja anaitwa Charles Logan alivyomfanya rais palmer lakini akachunguzwa akatiwa hatiani , pia tazama filamu ya saving private ryan jinsi Yule mwalimu wa shule ya msingi alivyolindwa kwa kutoa siri ya alipo askari wa marekani na sasa hivi huyu mwalimu yuko marekani ni raia wa nchi hiyo na jina amebadilisha yeye na familia yake .




On Wed, Jul 24, 2013 at 9:55 AM, godfred mbanyi <mban...@yahoo.com> wrote:

Uhuru bila heshima ni upuuzi!!! Nadhani hii mitandao inaelekea pabaya!!!
Nosense!!!!!!!!!!!!!!!

--------------------------------------------
On Tue, 7/23/13, Deodatus Balile <deob...@yahoo.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA
 To: wana...@googlegroups.com
 Date: Tuesday, July 23, 2013, 12:45 PM

 Niliwahi kusema kuwa jukwaa hili
 linastahili kulinda heshima yake kwa kukemea habari za
 kipuuzi na umbea wa aina hii. Uingereza wiki iliyopita
 wameingiza mitandao ya kijamii kundi moja na magazeti vyote
 viwe chini ya sheria moja.

 Mimi nadhani wakati umefika tutunge sheria ya kudhibiti
 umbea hadi kwenye mitandao ya kijamii. Jambo asilokuwa na
 uhakika nalo mtu akilisema na ikathibitika kuwa ni uongo
 aadhibiwe mara moja.

 Mkurugenzi huyu anaongoza chombo nyeti. Kuzushiwa jambo la
 hivi ni hatari si kwake tu, bali kwa taifa zima.

 Tujieshimu, tulete mada za kweli na si upuuzi kama huu.

 Balile

  ----------
 Sent from my Nokia phone

 ------Original message------
 From: RICHARD MGAMBA <rmgam...@yahoo.com>
 To: "wana...@googlegroups.com"
 <wana...@googlegroups.com>
 Date: Tuesday, July 23, 2013 10:00:14 AM GMT-0700
 Subject: Re: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA
 TAIFA

 Dear wanabidii members,
  
 Please let us also be fair to men and women who have
 sacrificed their lives to save this country. The person in
 question holds a very sensitive position in this country and
 therefore discussing allegations, which have raised against
 him without proper evidence is very unfair.


 >________________________________
 > From: Yona Maro <oldm...@gmail.com>
 >To: wanabidii <wana...@googlegroups.com>;
 Wanazuoni <wana...@yahoogroups.com>

 >Sent: Tuesday, July 23, 2013 7:39 PM
 >Subject: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA
 TAIFA
 > 
 >
 >
 >Ndugu zangu
 >Kuna Habari imeingizwa kwenye mtandao huu zinazomhusu
 mkurugenzi wa usalama wa taifa anazohusishwa nazo katika
 mambo machafu kabisa ,
 habari hizo sio za kuangalia na kuacha hivi hivi tu haswa
 ukizingatia matukio
 ambayo yameikumba nchi yetu katika kipindi cha mwaka mmoja
 uliopita .
 >NUKUU YA UJUMBE WENYEWE 
 >Dear Officer,
 >I would like to bring to your attention the following:
 >The Chief of Tanzania Intelligence Services is trying
 to
 assassinate Mama Maria Nyerere.
 >He has been given sensitive information about the War
 on
 Terror by an American Security Agency. He has recklessly and
 dangerously
 disclosed this information to his subordinates who have been
 using it for
 personal use.
 >He has been trying to blackmail a dignified Indian lady
 into
 marrying her. Her and her Indian relatives have threatened
 to leave Tanzania
 and have shared concerns about their safety with the
 American and British
 embassies and diplomats in Dar-Es-Salaam.
 >He has been personally trying to emigrate out of
 Tanzania and
 to the United States since 2009.
 >Mletaji wa habari ametaja kuhusu tuhuma za mkurugenzi
 kutaka
 kumuuwa mama maria nyerere ingawa hajasema ni kwa sababu
 gani ila ukirudi
 nyumba wakati wa chaguzi moja ndogo mkoani arusha kuna
 baadhi ya viongozi
 waliwahi kurushiwa maneno yanayohusiana na kifo cha mwalimu
 nyerere .
 >Mtaalamu mmoja wa masuala ya siasa aliwahi kuhoji
 kwanini
 nyerere alipelekwa st Thomas badala ya Sweden ambapo ndio
 kulikuwa na mabingwa
 wa ugonjwa uliokuwa unamsumbua ?
 >Pia ameongelea suala la mkurugenzi kupewa taarifa
 zinazohusiana na ugaidi nchini halafu akaamua kukaa kimya na
 baadhi ya
 washirika wake , kwahili tunajua matukio 3 yaliyotokea kwa
 kipindi cha miaka 2
 iliyopita , lile la padre kuuwawa Zanzibar , bomu kurushwa
 kanisani arusha na
 bomu kurushwa katika mkutano wa kampuni wa CHADEMA .
 >Kwenye hili la mwisho la mkurugenzi kuficha taarifa
 zinazohusiana na ugaidi nakumbuka mwanachama mmoja wa
 mtandao huu aliwahi
 kuonya kwamba suala la mabomu arusha linahusisha vyombo
 vyetu vya usalama na
 waliofanya unyama huo hawatakamatwa au kutiwa mikononi .
 >Hizi ni habari za kutisha na kusikitisha sana kama
 taifa
 tumefika katika hali hii na kama watu walioapa kulinda raia
 na mali zao nao
 wanageuka kuwa wazinzi wa raia na mali zao .
 >Hili halikubaliki na tunaomba mkurugenzi aachie wadhifa
 wake
 kupisha uchunguzi dhidi yake na ashitakiwe kwenye mahakama
 husika .
 >
 >--
 >
 >Find Jobs in Africa Jobs in Africa
 >International Job Opportunities International Job
 Opportunities
 >Jobs in Kenya Jobs in Kenya
 >
 >
 --
 >Send Emails to wana...@googlegroups.com
 > 
 >Kujiondoa Tuma Email kwenda
 >wanabidii+...@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 > 
 >Disclaimer:
 >Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility for any legal consequences of his or her
 postings, and hence statements and facts must be presented
 responsibly. Your continued membership signifies that you
 agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
 and Guidelines.
 >---
 >You received this message because you are subscribed to
 the Google Groups "Wanabidii" group.
 >To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
 >For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 > 
 > 
 >
 >
 >   

 --
 Send Emails to wana...@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+...@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
 For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



 --
 Send Emails to wana...@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+...@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
 For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.




--
Send Emails to wana...@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.





--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment