Tanzania ni yetu sote, tuko kwenye wakati mgumu wa mabadiliko. sasa tukianza kuzungumzia uvumi na tetesi kama hizi, naamini taifa letu litazama na sisi ndio tutakuwa chanzo hicho - tunautoboa mtumbwi wetu. kwa maslahi ya nani basi? uzalendo kwanza, tusiwe tunakurupuka kusikiliza uvumi na uzushi kama huu.
2013/7/25 Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com>
MbegaYona sijakuelewa, na sitaweza kuelewa. nadhani taarifa za namna hii zinapaswa kuangaliwa kwa makini. Mama Maria Nyerere ana nafasi gani ya kiserikali hata astahili kuuawa, tena na mkuu wa Idara nyeti kama hiyo? au ana siri gani zinazotishia usalama wa nchi mpaka ifikie hatua awindwe na mkuu wa idara?Jamani, nchi hii tunakoelekea nadhani kuna balaa zaidi, tujaribu kuwa makini. hebu tutangulize uzalendo katika baadhi ya masuala yanayotuhusu badala ya kuyajadili hivi. halafu ni vyema masuala yawe yanafanyiwa uchunguzi wa kina kabla ya kuanza kuyajadili, vinginevyo tunautoboa mtumbwi ambao sote tumo ndani yake.
--2013/7/25 Frank Lema <savedlema@gmail.com>
Mimi umenikumbusha "Saving Private Ryan", it was something very costful.
On Wednesday, July 24, 2013 10:00:12 AM UTC+3, Yona F Maro wrote:Maoni yangu ni nukuu toka kwa habari kama hiyo iliyoletwa kwa lugha ya kiingereza tembelea www.wanabidii.net utaona habari ya kwanza , kwa sababu nyie hamsomi mnaanza kunishambulia , hata hivyo sitishiki na vitisho hivi mengi yamepita .Tungekuwa na mifumo bora na ya kuaminika ya utumishi wa umma basi mtu aliyeleta habari hii angeweza kuipeleka panapo stahili na vile vile kulindwa kwa hili jambo nyeti .Naomba niishie hapa kwa kuelewa zaidi unaweza kuangalia tamthilia za 25 kuna rais mmoja anaitwa Charles Logan alivyomfanya rais palmer lakini akachunguzwa akatiwa hatiani , pia tazama filamu ya saving private ryan jinsi Yule mwalimu wa shule ya msingi alivyolindwa kwa kutoa siri ya alipo askari wa marekani na sasa hivi huyu mwalimu yuko marekani ni raia wa nchi hiyo na jina amebadilisha yeye na familia yake .On Wed, Jul 24, 2013 at 9:55 AM, godfred mbanyi <mban...@yahoo.com> wrote:
Uhuru bila heshima ni upuuzi!!! Nadhani hii mitandao inaelekea pabaya!!!
Nosense!!!!!!!!!!!!!!!
--------------------------------------------
To: wana...@googlegroups.comOn Tue, 7/23/13, Deodatus Balile <deob...@yahoo.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA
Date: Tuesday, July 23, 2013, 12:45 PM
Niliwahi kusema kuwa jukwaa hili
linastahili kulinda heshima yake kwa kukemea habari za
kipuuzi na umbea wa aina hii. Uingereza wiki iliyopita
wameingiza mitandao ya kijamii kundi moja na magazeti vyote
viwe chini ya sheria moja.
Mimi nadhani wakati umefika tutunge sheria ya kudhibiti
umbea hadi kwenye mitandao ya kijamii. Jambo asilokuwa na
uhakika nalo mtu akilisema na ikathibitika kuwa ni uongo
aadhibiwe mara moja.
Mkurugenzi huyu anaongoza chombo nyeti. Kuzushiwa jambo la
hivi ni hatari si kwake tu, bali kwa taifa zima.
Tujieshimu, tulete mada za kweli na si upuuzi kama huu.
Balile
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------From: RICHARD MGAMBA <rmgam...@yahoo.com>> From: Yona Maro <oldm...@gmail.com>
To: "wana...@googlegroups.com"
<wana...@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 23, 2013 10:00:14 AM GMT-0700
Subject: Re: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA
TAIFA
Dear wanabidii members,
Please let us also be fair to men and women who have
sacrificed their lives to save this country. The person in
question holds a very sensitive position in this country and
therefore discussing allegations, which have raised against
him without proper evidence is very unfair.
>________________________________
>To: wanabidii <wana...@googlegroups.com>;
Wanazuoni <wana...@yahoogroups.com>>Send Emails to wana...@googlegroups.com
>Sent: Tuesday, July 23, 2013 7:39 PM
>Subject: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA
TAIFA
>
>
>
>Ndugu zangu
>Kuna Habari imeingizwa kwenye mtandao huu zinazomhusu
mkurugenzi wa usalama wa taifa anazohusishwa nazo katika
mambo machafu kabisa ,
habari hizo sio za kuangalia na kuacha hivi hivi tu haswa
ukizingatia matukio
ambayo yameikumba nchi yetu katika kipindi cha mwaka mmoja
uliopita .
>NUKUU YA UJUMBE WENYEWE
>Dear Officer,
>I would like to bring to your attention the following:
>The Chief of Tanzania Intelligence Services is trying
to
assassinate Mama Maria Nyerere.
>He has been given sensitive information about the War
on
Terror by an American Security Agency. He has recklessly and
dangerously
disclosed this information to his subordinates who have been
using it for
personal use.
>He has been trying to blackmail a dignified Indian lady
into
marrying her. Her and her Indian relatives have threatened
to leave Tanzania
and have shared concerns about their safety with the
American and British
embassies and diplomats in Dar-Es-Salaam.
>He has been personally trying to emigrate out of
Tanzania and
to the United States since 2009.
>Mletaji wa habari ametaja kuhusu tuhuma za mkurugenzi
kutaka
kumuuwa mama maria nyerere ingawa hajasema ni kwa sababu
gani ila ukirudi
nyumba wakati wa chaguzi moja ndogo mkoani arusha kuna
baadhi ya viongozi
waliwahi kurushiwa maneno yanayohusiana na kifo cha mwalimu
nyerere .
>Mtaalamu mmoja wa masuala ya siasa aliwahi kuhoji
kwanini
nyerere alipelekwa st Thomas badala ya Sweden ambapo ndio
kulikuwa na mabingwa
wa ugonjwa uliokuwa unamsumbua ?
>Pia ameongelea suala la mkurugenzi kupewa taarifa
zinazohusiana na ugaidi nchini halafu akaamua kukaa kimya na
baadhi ya
washirika wake , kwahili tunajua matukio 3 yaliyotokea kwa
kipindi cha miaka 2
iliyopita , lile la padre kuuwawa Zanzibar , bomu kurushwa
kanisani arusha na
bomu kurushwa katika mkutano wa kampuni wa CHADEMA .
>Kwenye hili la mwisho la mkurugenzi kuficha taarifa
zinazohusiana na ugaidi nakumbuka mwanachama mmoja wa
mtandao huu aliwahi
kuonya kwamba suala la mabomu arusha linahusisha vyombo
vyetu vya usalama na
waliofanya unyama huo hawatakamatwa au kutiwa mikononi .
>Hizi ni habari za kutisha na kusikitisha sana kama
taifa
tumefika katika hali hii na kama watu walioapa kulinda raia
na mali zao nao
wanageuka kuwa wazinzi wa raia na mali zao .
>Hili halikubaliki na tunaomba mkurugenzi aachie wadhifa
wake
kupisha uchunguzi dhidi yake na ashitakiwe kwenye mahakama
husika .
>
>--
>
>Find Jobs in Africa Jobs in Africa
>International Job Opportunities International Job
Opportunities
>Jobs in Kenya Jobs in Kenya
>
>
--
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+...@googlegroups.comfrom it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com. Send Emails to wana...@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.comfrom it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com. Send Emails to wana...@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.--Find Jobs in Africa Jobs in AfricaInternational Job Opportunities International Job OpportunitiesJobs in Kenya Jobs in Kenya--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
"Kama hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?" ~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, 1995

0 comments:
Post a Comment